Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Wasafi media ina shareholders watatu. Kusaga ana share 50+ ambae katika finance huyu ndie mmiliki mkuu wa kampuni. Diamond ana share 40+ na kuna mtu mwingine ambae simkumbuki ndie ana share hizo zingine.SIO kweli KIPIND mondi anaa
anzisha wasafi alikua na bifu na clouds isinge kua simple kusaga KUSUPORT, ila KUHUSU share HAPO SAWA jaPO BADO mondi ndio last say,
Nimethibitisha kwamba ni KIKI baada ya kufungua Instagram kuona wamepostiwa wakiaga ,kuna mdau alisema kwamba wanahama jengo so for now wanapiga muziki tu....Ni Kiki Kabisa watakuja na vipindi vingine maana styles ya uagaji wao naona ni ya BASHASHA.Mkuu boss BADO YUPO SANA HAPO na pesa ZIPO, hao ni kiki TU kuwajua hao ngumu sana
Duuh ulikuwa unalipa nauli ya mwanafunzi na chakula ilikuwa bure hapo kazini?Kipindi nafanya KAZI KWA mwaarabu flani pale ilala boma kwenye HOTELI NILIKUA nalipwa EF HAMSINI KWA MWEZI afu NILIKUA serious na KAZI hatari
Sidhani kama ni hivyo...Nimethibitisha kwamba ni KIKI baada ya kufungua Instagram kuona wamepostiwa wakiaga ,kuna mdau alisema kwamba wanahama jengo so for now wanapiga muziki tu....Ni Kiki Kabisa watakuja na vipindi vingine maana styles ya uagaji wao naona ni ya BASHASHA.
Hiyo sauti sikuisikia mkuu. Naomba unifowadie niisikilize.Kuna kipindi hapa hapa JF ilivuka voice note yao jamaa wanalalamika hakuna mshahara miezi mitatu, Kuna mwenzako akawa anawatuliza.
Hata wakiongea kuna cha maana wanachoongea zaidi ya kuongea utumboutumbo tu? Bora hizi redio za kipuuzi zife tu!Mnataka nini zaidi ya hiyo miziki ya kishetani?
Kwani huwa kuna vipindi tofauti na miziki kwenye hii redio?
Wapeane 'joto la asubuhi', siyo? 😂Aiseee inasikitisha sana ,namuhurumia Mussa Kipanya ,katema Big G(Efm) kwa karanga za kuonjeshwa(Wachafu FM) ,haya sasa kavamia mtumbwi wa vibwengo amezama nao.
Majizo mrudishe Mussa Kipanya akaungane na Baby Mama.
Hiyo sauti sikuisikia mkuu. Naomba unifowadie niisikilize.
Asante kwa kunisogezea huu ushahidi mkuu