Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli aiseeMambo yake na dadake tuwaachie wenyewe
Dada kanihuzunisha sana πππππππMambo yake na dadake tuwaachie wenyewe
Anazingua naye ππππMpaka sahivi bila bila
ππππ Ila shem Bob unazingua kumbe upo kwenye mwaka wa kuforceNisamehe mama yangu Fanya mpango tuhamie zetu zap
π€£π€£π€£ Ngoja nikuite shosti Unique Flower aje aone unafiki unaoufanya LeoππππNamsaidia dada kulia, kaumizwa sana πππππππππππππππππ
Da Pridah vp umeamka salama?? Km mmepatana na shemeji njoo uninyamazishe toka jana naendelea kulia
ππππ Da mau kanikataza kuchekaπ€£π€£π€£ Ngoja nikuite shosti Unique Flower aje aone unafiki unaoufanya Leoππππ
Sasa na kulia pia atakukataza!π€£π€£ππππ Da mau kanikataza kucheka
Kulia ruksa ππππSasa na kulia pia atakukataza!π€£π€£
π€£π€£π€£π€£Asikuchoshe,kuchafuliwa wa kucheka nao huo mtihani mzitoKulia ruksa ππππ
Ss hivi katulia nimeacha kucheka, ngoja nianze uone atakavyoanza gubu lake. Lamomy mnafiki yupo kundi moja na wanaosema nna id nyingine ya katoto kazuri, anacheka na kulike.!!! Yani da mau ananichagulia wa kucheka nao
We unaona jf ni kampuni ya maana kuliko fb! Hebu ukapimwe mkojo chapPeleka Facebook
Rudi FacebookWe unaona jf ni kampuni ya maana kuliko fb! Hebu ukapimwe mkojo chap
Dada kwanza mbona zawadi yangu haijafika ya valentines ππ€£π€£π€£π€£Asikuchoshe,kuchafuliwa wa kucheka nao huo mtihani mzito
Huamini katika uchawi ila una mawazo yakichawiHellow.
Kuibiwa na wafanyakazi ni moja ya changamoto tulizo nazo wafanyabiashara.
Nimefunga CCTV camera ila mfumo nilioweka mimi umeme ukikatika camera hazifanyi kazi.Moja ya ofisi ina standby generetor ila nyingine zinategemea umeme wa tanesco tu.
Nishawatisha sana hadi kulaza wengine selo ili iwe mfano kwa wengine,nishakata sana mishahara,nishafukuza sana ila bado hawa watu wanaiba tu.
Kilichoniokoa nisiibiwe ni kitu cha kijinga sana aisee. "USHIRIKINA' ndo ulioniokoa.
Mimi siamini katika uchawi wala majini.Sijawahi kwenda wala sitawahi kwenda kufanyiwa ndumba na kimtu nilichokizidi elimu.Uchawi na ushirikina ni sehemu ya ujinga wetu waafrika.Ni hadithi za kufikirika havifanyi kazi ila wafanyakazi wangu wanaamini sana katika uchawi.Wenyewe wanaamini kuwa wananilogaga nisiwafukuze kazi no mara what zey doππ ila nafukuzaga siku yeyote nionapo mtu huyu hana maslahi yeyote kwangu.Wananichota hadi nyayo ila siku nikiamua unaondoka ni unaondoka.
Baada ya kuona ushirikina ni kitu wanachokiamini sana nikapata idea, nikakutana na shoga yangu mmoja nikamueleza wazo langu akacheka sana halafu akasema hii inaweza kufanya kazi.
Tuka rehersal pale halafu tukaachana then baadae akaja moja ya ofisi yangu akijifanya alikua anapita zake tu akaona aingie anipe hi.
Basi tukajifanya hatujaonana siku nyingi then akajifanya kuniuliza vipi biashara inaendaje.
Mimi nikamjibu biashara inaenda vizuri ila tatizo wafanyakazi wananiibia sana.Akasema kwani si una camera hapa nikamwambia umeme ukikatika hazifanyi kazi.
Kumbuka tulichagua kukaa karibu ya alipokua amekaa mmoja wa staffs ili asikie tunachoongea akawahadithie wenzie ila tulikua tunajifanya hatutaki asikie tukawa kama tunaongea kwa kunong'ona hivi.
.Alipoona tunanong'ona akatega masikio vizuri ila akawa anajifanya yuko busy na simu yake.
Sasa tulipohakikisha anasikia shoga angu akaanza kusema"Ujue kama wanakuibia ndio vizuri?Nitakupeleka kwa mtaalamu fulani hivi wafanyabiashara wengi wanaenda kwake kuwageuza wafanyakaz wao chuma ulete ila sharti huyo mfanyakazi awe anakuibia ndo dawa itafanya kazi.
Mimi nikajifanya kushangaa pale then shoga yangu akasema, yaani ukifanyiwa hiyo dawa mtu yeyote akikuibia anakua kama kala kiapo cha kukuuzia nyota yake so kila anachopata kinakuja kwako.Hata ukimlipa mshahara utarudi kwako kimazingara hivyo atashangaa anapata mshahara plus kukuibia ila miaka itaenda hana cha maana anachofanya na hata akiacha kazi huko anakoenda bado atakua chuma ulete wako tu.
Nikajifanya, shogaangu kwa nilivyochoka kuibiwa,kesho naomba unipeleke kwa huyo mtu.
Hiyo ilikua Nov. last year.Tokea siku hiyo, mapato yangu yameongezeka.
Good evening.