Wafanyakazi wako wanakuibia? Jaribu mbinu niliyotumia wangu wakaacha

Haina shida hata nikiukutia uzi katikati nakustua tuanzie hapo hapo
Nimepika, nimefua nguo za Mr zimekauka nimenyoosha…….naingia na karanga zangu za mayai nisome uzi mpya siuoni??? Bff hebu njoo umwambie afungue basi kabla mida ya kwenda kuhudumia ndoa bado haijafika 😂😂😂😂
 
mmh asante sana mdogo wangu
 
Kuna nyakati ni vigumu sana kuwa mwanamke.Its so hard😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
mmh asante sana mdogo wangu
Kwani da Pridah mna ugomvi gani na Bob?? 😜
Mana analalamika kusema hasemi, anatuambia tukufunde…!! Tukimuuliza anasema atafungua uzi..!!
Ndio nasubiri uzi ili nione chanzo cha tatizo lenu. Au shemeji?? 😜
 
Kuna nyakati ni vigumu sana kuwa mwanamke.Its so hard😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Basi dada usilie na mi ntalia 🥹🥹
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Kuna nyakati ni vigumu sana kuwa mwanamke.Its so hard😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Nimefuta Kila kitu lkn sitaki kukuona tena humu na ukipotea humu na Mimi sitakaa nionekane tena humu hlf pasikuche unajua Cha kufanya.
 
Na hao wahuni wanaonidhalilisha ni wahuni gani ?
 
Ona Sasa unajifunza na ujeuri zile heshima na unyenyekevu umetupia wapi?Sasa umeziba Kila sehemu unadhan ningefanyaje kupata attention Yako?Iam sorry.Najua unajiheshimu sana na huwezi kuruhusu wahuni wakuchezee sikua na pakuongelea mama angu
Ndo unidhalilishe hivi?😭😭
 
Nisamehe mama yangu Fanya mpango tuhamie zetu zap
Pia waambie watu wako unaowaambie kuwa nachagua nyoka naacha samaki ni sbb nilikuomba unipe muda niwe na uhakika kama nimemove on na mpenzi wangu wa nyuma na nikaogopa kukukubalia sbb najua akirudi anytime nitakuacha.Nilitaka tuwe marafiki kwanza ukawa unafosi mambo ndo mana nikakublock nikarudisha na vitu vyako vyote.Na kwa hili ulilofanya leo mmmh acha tu niendelee kumsubiri nyoka wangu na huo uzi wewe rusha tu ingekua umewahi ona utupu wangu ndo ningeogopa🙏
 
Hebu FUTA hii bana.
Wewe umepaniki tu sbab ulidhani Mimi sijui kama unatumia JF ila nimefanya nilicho Fanya sbabu najali na sifurahii wewe kuwa huku unajifunza vitu vibaya vinakubadilisha niamini na watu wengi wa mitandaoni sio wazuri has wanaume ni jukumu langu kukulinda usiharibikiwe.Kwani ukijitoa humu utapungukiwa nini?Nakubali kubaki rafiki ila nifungulie kule basi
 
Nimepika, nimefua nguo za Mr zimekauka nimenyoosha…….naingia na karanga zangu za mayai nisome uzi mpya siuoni??? Bff hebu njoo umwambie afungue basi kabla mida ya kwenda kuhudumia ndoa bado haijafika 😂😂😂😂
She is a good woman siwezi kumfanyia hivyo,sorry shemu kamhudumie ndugu yangu sasa
 
T
Bob uzi bado?? Tunataka kulala mbona unachelewa sasa?? 🤣
Halafu Shemegi yangu mzuri mzuri naomba ufute sehemu zote ulizonikwoti basi na ukitaka ya usumbufu ipo daa nahisi walinichanganyia kitu kwenye kinywaji changu Mimi sio. Wa hivi
 
Nimepika, nimefua nguo za Mr zimekauka nimenyoosha…….naingia na karanga zangu za mayai nisome uzi mpya siuoni??? Bff hebu njoo umwambie afungue basi kabla mida ya kwenda kuhudumia ndoa bado haijafika 😂😂😂😂
Mpaka sahivi bila bila
 
Back
Top Bottom