Wafanyakazi wako wanakuibia? Jaribu mbinu niliyotumia wangu wakaacha

Wafanyakazi wako wanakuibia? Jaribu mbinu niliyotumia wangu wakaacha

Pridah kupitia hii thread yako nimegundua una roho nzuri na utu ndani yake, ila wafanyakazi wako wanakuangusha,
Kitu pekee nnacho amini kwenye biashara bila kusimama mwenyewe 100% kuibiwa hakuepukiki

Kuna namna nyingi sana za kuibiwa, mfano kuna wafanyakazi ambao hawaibi hela kabisa ila wanakuja na product zao wanauza kupitia frame yako,

Mfano una liquor store ,mfanyakazi anakuja na na konyagi zake 5, vant 5, mteja akija anaanza kuuza za kwake, hapo unategemea nini

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Asante mkuu😍.

Ni kweli ukiwepo mwenyewe sio kuibiwa tu hata mambo mengine mengi yanaenda vile inatakiwa tatizo kwa upande wangu haiwezekani kukaa sehemu moja muda wote.
 
Back
Top Bottom