Pridah
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 1,495
- 3,453
- Thread starter
- #101
Kwa kweli tunacholipa sisi sio kikubwa cha kujivunia ila pia sio kidogo kiasi hicho ulichotaja mkuuBila shaka mtoa mada ana miliki supermarket...
Hua wanalipa wafanyakazi 120,000/= hadi 150,000/= huwezi kukwepa kuibiwa kwa mshahara huo...
Maana wafanyakazi wanaona pesa wanayokuingizia kwa siku ni nyingi sana then mwisho wa mwezi unawalipa 120 na wengine wana familia.