Wafanyakazi wako wanakuibia? Jaribu mbinu niliyotumia wangu wakaacha

Hellow.

Kuibiwa na wafanyakazi ni moja ya changamoto tulizo nazo wafanyabiashara.

Nimefunga CCTV camera ila mfumo nilioweka mimi umeme ukikatika camera hazifanyi kazi.Moja ya ofisi ina standby generetor ila nyingine zinategemea umeme wa tanesco tu.

Nishawatisha sana hadi kulaza wengine selo ili iwe mfano kwa wengine,nishakata sana mishahara,nishafukuza sana ila bado hawa watu wanaiba tu.

Kilichoniokoa nisiibiwe ni kitu cha kijinga sana aisee. "USHIRIKINA' ndo ulioniokoa.

Mimi siamini katika uchawi wala majini.Sijawahi kwenda wala sitawahi kwenda kufanyiwa ndumba na kimtu nilichokizidi elimu.Uchawi na ushirikina ni sehemu ya ujinga wetu waafrika.Ni hadithi za kufikirika havifanyi kazi ila wafanyakazi wangu wanaamini sana katika uchawi.Wenyewe wanaamini kuwa wananilogaga nisiwafukuze kazi no mara what zey do😂😁 ila nafukuzaga siku yeyote nionapo mtu huyu hana maslahi yeyote kwangu.Wananichota hadi nyayo ila siku nikiamua unaondoka ni unaondoka.

Baada ya kuona ushirikina ni kitu wanachokiamini sana nikapata idea, nikakutana na shoga yangu mmoja nikamueleza wazo langu akacheka sana halafu akasema hii inaweza kufanya kazi.

Tuka rehersal pale halafu tukaachana then baadae akaja moja ya ofisi yangu akijifanya alikua anapita zake tu akaona aingie anipe hi.

Basi tukajifanya hatujaonana siku nyingi then akajifanya kuniuliza vipi biashara inaendaje.
Mimi nikamjibu biashara inaenda vizuri ila tatizo wafanyakazi wananiibia sana.Akasema kwani si una camera hapa nikamwambia umeme ukikatika hazifanyi kazi.

Kumbuka tulichagua kukaa karibu ya alipokua amekaa mmoja wa staffs ili asikie tunachoongea akawahadithie wenzie ila tulikua tunajifanya hatutaki asikie tukawa kama tunaongea kwa kunong'ona hivi.

.Alipoona tunanong'ona akatega masikio vizuri ila akawa anajifanya yuko busy na simu yake.

Sasa tulipohakikisha anasikia shoga angu akaanza kusema"Ujue kama wanakuibia ndio vizuri?Nitakupeleka kwa mtaalamu fulani hivi wafanyabiashara wengi wanaenda kwake kuwageuza wafanyakaz wao chuma ulete ila sharti huyo mfanyakazi awe anakuibia ndo dawa itafanya kazi.

Mimi nikajifanya kushangaa pale then shoga yangu akasema, yaani ukifanyiwa hiyo dawa mtu yeyote akikuibia anakua kama kala kiapo cha kukuuzia nyota yake so kila anachopata kinakuja kwako.Hata ukimlipa mshahara utarudi kwako kimazingara hivyo atashangaa anapata mshahara plus kukuibia ila miaka itaenda hana cha maana anachofanya na hata akiacha kazi huko anakoenda bado atakua chuma ulete wako tu.

Nikajifanya, shogaangu kwa nilivyochoka kuibiwa,kesho naomba unipeleke kwa huyo mtu.

Hiyo ilikua Nov. last year.Tokea siku hiyo, mapato yangu yameongezeka.

Good evening.
Bora nimepita hapa nimesoma huu uzi maana tulitishwa sana na mfanyakazi mwezetu sasa jipange lazima maji uite ummma....!
 
Kumbe ilikuwa janja janja ngoja nikawaambie wafanyakazi wenzangu pia nitawaonyesha huu uzi kama watakuwa hawaamini maneno yangu. Aksante.
 
😃😁😁
 
Mshahara Ninaolipwa Ni Kutokana na makubaliano ya majukumu ninayoyafanya na niliyoyakubali mwenyewe. Nikimuibia namtia hasara hivyo biashara haikui na uwezo wake wa kuajiri/kulipa mishahara utapungua. Nikikamatwa pia nafukuzwa kazi kwa aibu kubwa.

Mwisho Kabisa Wizi kwa Mwajiri ni Dhambi na Laana.

Vijay Kumar Rao alias Victor Joseph ni Mkristo Mkatoliki kutoka India.
Umenikumbusha shemeji yangu aliiba mno hadi tukapata hasara tukafunga mradi toka siku hiyo yupo hana shughul
 
Itakua unawakipa mshahara kiduchu mkuu...

Nakuhakikishia wataendelea kuiba.
Mswahili na Muhindi siku zote wanataka wapate wao na wafanyakazi wawe watumwa wao.
Mimi Boss Mswahili namuibia vizuri tu,wengi ni wabinafsi na wanyonyaji ila Mzungu simuibii kwasababu huwa wamenyooka sana mambo yao.
 
Hellow.

Kuibiwa na wafanyakazi ni moja ya changamoto tulizo nazo wafanyabiashara.

Nimefunga CCTV camera ila mfumo nilioweka mimi umeme ukikatika camera hazifanyi kazi.Moja ya ofisi ina standby generetor ila nyingine zinategemea umeme wa tanesco tu.

Nishawatisha sana hadi kulaza wengine selo ili iwe mfano kwa wengine,nishakata sana mishahara,nishafukuza sana ila bado hawa watu wanaiba tu.

Kilichoniokoa nisiibiwe ni kitu cha kijinga sana aisee. "USHIRIKINA' ndo ulioniokoa.

Mimi siamini katika uchawi wala majini.Sijawahi kwenda wala sitawahi kwenda kufanyiwa ndumba na kimtu nilichokizidi elimu.Uchawi na ushirikina ni sehemu ya ujinga wetu waafrika.Ni hadithi za kufikirika havifanyi kazi ila wafanyakazi wangu wanaamini sana katika uchawi.Wenyewe wanaamini kuwa wananilogaga nisiwafukuze kazi no mara what zey do😂😁 ila nafukuzaga siku yeyote nionapo mtu huyu hana maslahi yeyote kwangu.Wananichota hadi nyayo ila siku nikiamua unaondoka ni unaondoka.

Baada ya kuona ushirikina ni kitu wanachokiamini sana nikapata idea, nikakutana na shoga yangu mmoja nikamueleza wazo langu akacheka sana halafu akasema hii inaweza kufanya kazi.

Tuka rehersal pale halafu tukaachana then baadae akaja moja ya ofisi yangu akijifanya alikua anapita zake tu akaona aingie anipe hi.

Basi tukajifanya hatujaonana siku nyingi then akajifanya kuniuliza vipi biashara inaendaje.
Mimi nikamjibu biashara inaenda vizuri ila tatizo wafanyakazi wananiibia sana.Akasema kwani si una camera hapa nikamwambia umeme ukikatika hazifanyi kazi.

Kumbuka tulichagua kukaa karibu ya alipokua amekaa mmoja wa staffs ili asikie tunachoongea akawahadithie wenzie ila tulikua tunajifanya hatutaki asikie tukawa kama tunaongea kwa kunong'ona hivi.

.Alipoona tunanong'ona akatega masikio vizuri ila akawa anajifanya yuko busy na simu yake.

Sasa tulipohakikisha anasikia shoga angu akaanza kusema"Ujue kama wanakuibia ndio vizuri?Nitakupeleka kwa mtaalamu fulani hivi wafanyabiashara wengi wanaenda kwake kuwageuza wafanyakaz wao chuma ulete ila sharti huyo mfanyakazi awe anakuibia ndo dawa itafanya kazi.

Mimi nikajifanya kushangaa pale then shoga yangu akasema, yaani ukifanyiwa hiyo dawa mtu yeyote akikuibia anakua kama kala kiapo cha kukuuzia nyota yake so kila anachopata kinakuja kwako.Hata ukimlipa mshahara utarudi kwako kimazingara hivyo atashangaa anapata mshahara plus kukuibia ila miaka itaenda hana cha maana anachofanya na hata akiacha kazi huko anakoenda bado atakua chuma ulete wako tu.

Nikajifanya, shogaangu kwa nilivyochoka kuibiwa,kesho naomba unipeleke kwa huyo mtu.

Hiyo ilikua Nov. last year.Tokea siku hiyo, mapato yangu yameongezeka.

Good evening.
UBaya ni kwamba tunaosoma Hii makala wote Ni wafanyakazi siyo maboss kwahiyo umefeli Chief
 
Mswahili na Muhindi siku zote wanataka wapate wao na wafanyakazi wawe watumwa wao.
Mimi Boss Mswahili namuibia vizuri tu,wengi ni wabinafsi na wanyonyaji ila Mzungu simuibii kwasababu huwa wamenyooka sana mambo yao.
Bila shaka mtoa mada ana miliki supermarket...

Hua wanalipa wafanyakazi 120,000/= hadi 150,000/= huwezi kukwepa kuibiwa kwa mshahara huo...

Maana wafanyakazi wanaona pesa wanayokuingizia kwa siku ni nyingi sana then mwisho wa mwezi unawalipa 120 na wengine wana familia.
 
Ahaa kumbe yule shoga yako ni muongo siyo!

Mshahara unalipa kiduchu halafu tukichukua hela za kula unasema tunaakuibia?

Mikazi yote ile kweli boss huna huruma na sisi!
 
Mswahili na Muhindi siku zote wanataka wapate wao na wafanyakazi wawe watumwa wao.
Mimi Boss Mswahili namuibia vizuri tu,wengi ni wabinafsi na wanyonyaji ila Mzungu simuibii kwasababu huwa wamenyooka sana mambo yao.
Mara nyingi uwezo wa waajiri wengi wa kizungu ni mkubwa kulinganisha na waajiri wa kiafrika.Kuwaza hivyo ni kutuonea na kurudishana nyuma mkuu
 
Back
Top Bottom