Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha unawalipa 10M na bado wanakuibia km wafanyakazi wa Serikali?Siwezi kukubishia mkuu sbb kuna wanaolipwa 10M na bado wanalalamika mshahara ni mdogo
Ulicho changanya ni kudhani elimu yako ya vyeti ya kujaza makorokoro yasiyo na tija kichwani mwako ni kila kitu katika maisha hapo tuu, lakini amini ubaweza kusaidiwa na mtu ambaye hajui hata darasa moja na akawa msaada mkubwa sana kwako kiasi kwamba hayo makaratasi yako ukaona ni uchafu tu. Shirki ilikuwepo hadi kwenye vitabu vitakatifu uchawi umeelezwa vyema kabisaHellow.
Kuibiwa na wafanyakazi ni moja ya changamoto tulizo nazo wafanyabiashara.
Nimefunga CCTV camera ila mfumo nilioweka mimi umeme ukikatika camera hazifanyi kazi.Moja ya ofisi ina standby generetor ila nyingine zinategemea umeme wa tanesco tu.
Nishawatisha sana hadi kulaza wengine selo ili iwe mfano kwa wengine,nishakata sana mishahara,nishafukuza sana ila bado hawa watu wanaiba tu.
Kilichoniokoa nisiibiwe ni kitu cha kijinga sana aisee. "USHIRIKINA' ndo ulioniokoa.
Mimi siamini katika uchawi wala majini.Sijawahi kwenda wala sitawahi kwenda kufanyiwa ndumba na kimtu nilichokizidi elimu.Uchawi na ushirikina ni sehemu ya ujinga wetu waafrika.Ni hadithi za kufikirika havifanyi kazi ila wafanyakazi wangu wanaamini sana katika uchawi.Wenyewe wanaamini kuwa wananilogaga nisiwafukuze kazi no mara what zey do😂😁 ila nafukuzaga siku yeyote nionapo mtu huyu hana maslahi yeyote kwangu.Wananichota hadi nyayo ila siku nikiamua unaondoka ni unaondoka.
Baada ya kuona ushirikina ni kitu wanachokiamini sana nikapata idea, nikakutana na shoga yangu mmoja nikamueleza wazo langu akacheka sana halafu akasema hii inaweza kufanya kazi.
Tuka rehersal pale halafu tukaachana then baadae akaja moja ya ofisi yangu akijifanya alikua anapita zake tu akaona aingie anipe hi.
Basi tukajifanya hatujaonana siku nyingi then akajifanya kuniuliza vipi biashara inaendaje.
Mimi nikamjibu biashara inaenda vizuri ila tatizo wafanyakazi wananiibia sana.Akasema kwani si una camera hapa nikamwambia umeme ukikatika hazifanyi kazi.
Kumbuka tulichagua kukaa karibu ya alipokua amekaa mmoja wa staffs ili asikie tunachoongea akawahadithie wenzie ila tulikua tunajifanya hatutaki asikie tukawa kama tunaongea kwa kunong'ona hivi .
.Alipoona tunanong'ona akatega masikio vizuri ila akawa anajifanya yuko busy na simu yake.
Sasa tulipohakikisha anasikia shoga angu akaanza kusema"Ujue kama wanakuibia ndio vizuri?Nitakupeleka kwa mtaalamu fulani hivi wafanyabiashara wengi wanaenda kwake kuwageuza wafanyakaz wao chuma ulete ila sharti huyo mfanyakazi awe anakuibia ndo dawa itafanya kazi.
Mimi nikajifanya kushangaa pale then shoga yangu akasema,yaani ukifanyiwa hiyo dawa mtu yeyote akikuibia anakua kama kala kiapo cha kukuuzia nyota yake so kila anachopata kinakuja kwako.Hata ukimlipa mshahara utarudi kwako kimazingara hivyo atashangaa anapata mshahara plus kukuibia ila miaka itaenda hana cha maana anachofanya na hata akiacha kazi huko anakoenda bado atakua chuma ulete wako tu.
Nikajifanya,shogaangu kwa nilivyochoka kuibiwa,kesho naomba unipeleke kwa huyo mtu.
Hiyo ilikua Nov. last year.Tokea siku hiyo, mapato yangu yameongezeka.
Good evening.
Ulicho changanya ni kudhani elimu yako ya vyeti ya kujaza makorokoro yasiyo na tija kichwani mwako ni kila kitu katika maisha hapo tuu, lakini amini ubaweza kusaidiwa na mtu ambaye hajui hata darasa moja na akawa msaada mkubwa sana kwako kiasi kwamba hayo makaratasi yako ukaona ni uchafu tu. Shirki ilikuwepo hadi kwenye vitabu vitakatifu uchawi umeelezwa vyema kabisa
Wewe ni dini gani?Hellow.
Kuibiwa na wafanyakazi ni moja ya changamoto tulizo nazo wafanyabiashara.
Nimefunga CCTV camera ila mfumo nilioweka mimi umeme ukikatika camera hazifanyi kazi.Moja ya ofisi ina standby generetor ila nyingine zinategemea umeme wa tanesco tu.
Nishawatisha sana hadi kulaza wengine selo ili iwe mfano kwa wengine,nishakata sana mishahara,nishafukuza sana ila bado hawa watu wanaiba tu.
Kilichoniokoa nisiibiwe ni kitu cha kijinga sana aisee. "USHIRIKINA' ndo ulioniokoa.
Mimi siamini katika uchawi wala majini.Sijawahi kwenda wala sitawahi kwenda kufanyiwa ndumba na kimtu nilichokizidi elimu.Uchawi na ushirikina ni sehemu ya ujinga wetu waafrika.Ni hadithi za kufikirika havifanyi kazi ila wafanyakazi wangu wanaamini sana katika uchawi.Wenyewe wanaamini kuwa wananilogaga nisiwafukuze kazi no mara what zey do😂😁 ila nafukuzaga siku yeyote nionapo mtu huyu hana maslahi yeyote kwangu.Wananichota hadi nyayo ila siku nikiamua unaondoka ni unaondoka.
Baada ya kuona ushirikina ni kitu wanachokiamini sana nikapata idea, nikakutana na shoga yangu mmoja nikamueleza wazo langu akacheka sana halafu akasema hii inaweza kufanya kazi.
Tuka rehersal pale halafu tukaachana then baadae akaja moja ya ofisi yangu akijifanya alikua anapita zake tu akaona aingie anipe hi.
Basi tukajifanya hatujaonana siku nyingi then akajifanya kuniuliza vipi biashara inaendaje.
Mimi nikamjibu biashara inaenda vizuri ila tatizo wafanyakazi wananiibia sana.Akasema kwani si una camera hapa nikamwambia umeme ukikatika hazifanyi kazi.
Kumbuka tulichagua kukaa karibu ya alipokua amekaa mmoja wa staffs ili asikie tunachoongea akawahadithie wenzie ila tulikua tunajifanya hatutaki asikie tukawa kama tunaongea kwa kunong'ona hivi .
.Alipoona tunanong'ona akatega masikio vizuri ila akawa anajifanya yuko busy na simu yake.
Sasa tulipohakikisha anasikia shoga angu akaanza kusema"Ujue kama wanakuibia ndio vizuri?Nitakupeleka kwa mtaalamu fulani hivi wafanyabiashara wengi wanaenda kwake kuwageuza wafanyakaz wao chuma ulete ila sharti huyo mfanyakazi awe anakuibia ndo dawa itafanya kazi.
Mimi nikajifanya kushangaa pale then shoga yangu akasema,yaani ukifanyiwa hiyo dawa mtu yeyote akikuibia anakua kama kala kiapo cha kukuuzia nyota yake so kila anachopata kinakuja kwako.Hata ukimlipa mshahara utarudi kwako kimazingara hivyo atashangaa anapata mshahara plus kukuibia ila miaka itaenda hana cha maana anachofanya na hata akiacha kazi huko anakoenda bado atakua chuma ulete wako tu.
Nikajifanya,shogaangu kwa nilivyochoka kuibiwa,kesho naomba unipeleke kwa huyo mtu.
Hiyo ilikua Nov. last year.Tokea siku hiyo, mapato yangu yameongezeka.
Good evening.
Ni kweli kabisa, mshahara haujawahi kuwa mkubwa kwa mfanyakazi husika...kila siku ni mshahara mdogo, bila kuangalia uzalishaji....Siwezi kukubishia mkuu sbb kuna wanaolipwa 10M na bado wanalalamika mshahara ni mdogo
ananilipa tena kwa muda muafaka ila katabia kapo kwenye damuDuuuh.
Hakulipi nini mkuu?
Sawa mkuu.Hakikisha unatengeneza system inayotagemea technology ku track biashara yako tofauti na hapo kuibiwa kupo pale pale. Integrity haipo Africa.
Hiyo mbinu uliyotumia itakusogeza tu ila haitakufikisha popote.
Ungekuwa na dini usingekuwa na mawazo ya kijinga kama uliyonayoNaomba tujadili bila kutumia dini mkuu🙏
Wewe una akili nyingi ujue!!!Hellow.
Kuibiwa na wafanyakazi ni moja ya changamoto tulizo nazo wafanyabiashara.
Nimefunga CCTV camera ila mfumo nilioweka mimi umeme ukikatika camera hazifanyi kazi.Moja ya ofisi ina standby generetor ila nyingine zinategemea umeme wa tanesco tu.
Nishawatisha sana hadi kulaza wengine selo ili iwe mfano kwa wengine,nishakata sana mishahara,nishafukuza sana ila bado hawa watu wanaiba tu.
Kilichoniokoa nisiibiwe ni kitu cha kijinga sana aisee. "USHIRIKINA' ndo ulioniokoa.
Mimi siamini katika uchawi wala majini.Sijawahi kwenda wala sitawahi kwenda kufanyiwa ndumba na kimtu nilichokizidi elimu.Uchawi na ushirikina ni sehemu ya ujinga wetu waafrika.Ni hadithi za kufikirika havifanyi kazi ila wafanyakazi wangu wanaamini sana katika uchawi.Wenyewe wanaamini kuwa wananilogaga nisiwafukuze kazi no mara what zey do😂😁 ila nafukuzaga siku yeyote nionapo mtu huyu hana maslahi yeyote kwangu.Wananichota hadi nyayo ila siku nikiamua unaondoka ni unaondoka.
Baada ya kuona ushirikina ni kitu wanachokiamini sana nikapata idea, nikakutana na shoga yangu mmoja nikamueleza wazo langu akacheka sana halafu akasema hii inaweza kufanya kazi.
Tuka rehersal pale halafu tukaachana then baadae akaja moja ya ofisi yangu akijifanya alikua anapita zake tu akaona aingie anipe hi.
Basi tukajifanya hatujaonana siku nyingi then akajifanya kuniuliza vipi biashara inaendaje.
Mimi nikamjibu biashara inaenda vizuri ila tatizo wafanyakazi wananiibia sana.Akasema kwani si una camera hapa nikamwambia umeme ukikatika hazifanyi kazi.
Kumbuka tulichagua kukaa karibu ya alipokua amekaa mmoja wa staffs ili asikie tunachoongea akawahadithie wenzie ila tulikua tunajifanya hatutaki asikie tukawa kama tunaongea kwa kunong'ona hivi.
.Alipoona tunanong'ona akatega masikio vizuri ila akawa anajifanya yuko busy na simu yake.
Sasa tulipohakikisha anasikia shoga angu akaanza kusema"Ujue kama wanakuibia ndio vizuri?Nitakupeleka kwa mtaalamu fulani hivi wafanyabiashara wengi wanaenda kwake kuwageuza wafanyakaz wao chuma ulete ila sharti huyo mfanyakazi awe anakuibia ndo dawa itafanya kazi.
Mimi nikajifanya kushangaa pale then shoga yangu akasema, yaani ukifanyiwa hiyo dawa mtu yeyote akikuibia anakua kama kala kiapo cha kukuuzia nyota yake so kila anachopata kinakuja kwako.Hata ukimlipa mshahara utarudi kwako kimazingara hivyo atashangaa anapata mshahara plus kukuibia ila miaka itaenda hana cha maana anachofanya na hata akiacha kazi huko anakoenda bado atakua chuma ulete wako tu.
Nikajifanya, shogaangu kwa nilivyochoka kuibiwa,kesho naomba unipeleke kwa huyo mtu.