Wafanyakazi wako wanakuibia? Jaribu mbinu niliyotumia wangu wakaacha

Sijakuelwa
Namaanisha kuwa ni eidha hausali sana ama hauna kitu CHOCHOTE kama nguzo Yako ya kiroho.

Mali zako ndio wewe na zinapotapanywa ni wewe unatapanywa, na Ili Hilo lifanyike lazima uwe na uchafu wa kiroho.

Rais aliyelala aliogopwa na kuheshimika ni Kwa sababu ya nguvu nayoizungumzia.

Hv Kwa mfano kama kuna mtu mwenye nguvu sana, unaweza kirahisi kuanzisha nae ugomvi mfano amekuchokoza kwelikweli?

Nguvu...!!!
 
Anhaa.
Asante kwa ufafanuzi mkuu🙏
 
Back
Top Bottom