Wafanyakazi wako wanakuibia? Jaribu mbinu niliyotumia wangu wakaacha

Sawa mkuu.

Sijui kwanini ngozi nyeusi hatuoni aibu kuwa vijizi jizi.
Kama unalipa kiduchu tengeneza mfumo walau wa ku support chakula na nauli hapo atleast utakuwa safe. Imagine unamlipa mtu 150,000 halafu unataka kila siku aje kazini kwa nauli yake na ajitegemee kula. Hapo lazma utapigwa, watu hawakatai kazi sababu ya njaa tu ila kimsingi mtu akikubali mkataba wa hivyo lazma akuibie tu.
 
Mara nyingi uwezo wa waajiri wengi wa kizungu ni mkubwa kulinganisha na waajiri wa kiafrika.Kuwaza hivyo ni kutuonea na kurudishana nyuma mkuu
Licha ya uwezo tu waafrika hamna utu, mtu unamlipa kiduchu weka budget ya kula basi. Unataka ale na kila asubuhi awahi biasharani kwako hata kumpa nauli humpi. Tubadilike tutapigwa sana tu.

Tunakosea padogo sana ndo maana tunapigwa.
 
Kama unalipa kiduchu tengeneza mfumo walau wa ku support chakula na nauli hapo atleast utakuwa safe. Imagine unamlipa mtu 150,000 halafu unataka kila siku aje kazini kwa nauli yake na ajitegemee kula. Hapo lazma utapigwa, watu hawakatai kazi sababu ya njaa tu ila kimsingi mtu akikubali mkataba wa hivyo lazma akuibie tu.
Uko sahihi na imekuelewa vizuri sana mkuu ila sisi hatuwezi kulipa zaidi ya uwezo wa ofisi.Kinachotakiwa ni mtu aridhike na mlichokubaliana,kufosi kupata zaidi ya uwezo wa ofisi ni kukwamishana
 
Licha ya uwezo tu waafrika hamna utu, mtu unamlipa kiduchu weka budget ya kula basi. Unataka ale na kila asubuhi awahi biasharani kwako hata kumpa nauli humpi. Tubadilike tutapigwa sana tu.

Tunakosea padogo sana ndo maana tunapigwa.
Ni kweli ila sisi tunajitahidi sana kuwa fair ila ndo hivyo hatuna uwezo wa kulipa zaidi ya tunavyolipa.
 
Licha ya uwezo tu waafrika hamna utu, mtu unamlipa kiduchu weka budget ya kula basi. Unataka ale na kila asubuhi awahi biasharani kwako hata kumpa nauli humpi. Tubadilike tutapigwa sana tu.

Tunakosea padogo sana ndo maana tunapigwa.
Mkuu huwaga hupindishi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Pridah kupitia hii thread yako nimegundua una roho nzuri na utu ndani yake, ila wafanyakazi wako wanakuangusha,
Kitu pekee nnacho amini kwenye biashara bila kusimama mwenyewe 100% kuibiwa hakuepukiki

Kuna namna nyingi sana za kuibiwa, mfano kuna wafanyakazi ambao hawaibi hela kabisa ila wanakuja na product zao wanauza kupitia frame yako,

Mfano una liquor store ,mfanyakazi anakuja na na konyagi zake 5, vant 5, mteja akija anaanza kuuza za kwake, hapo unategemea nini

Back
Top Bottom