Wafanyakazi wako wanakuibia? Jaribu mbinu niliyotumia wangu wakaacha

Basi dada usilie na mi ntalia πŸ₯ΉπŸ₯Ή
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Missy Gf njoo mmbembeleze shoo wako analia sanaaaaaaaaa in Mange VoiceπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Missy Gf njoo mmbembeleze shoo wako analia sanaaaaaaaaa in Mange VoiceπŸ˜‚πŸ˜‚
Namsaidia dada kulia, kaumizwa sana 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Da Pridah vp umeamka salama?? Km mmepatana na shemeji njoo uninyamazishe toka jana naendelea kulia
 
🀣🀣🀣 Ngoja nikuite shosti Unique Flower aje aone unafiki unaoufanya LeoπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Sasa na kulia pia atakukataza!🀣🀣
Kulia ruksa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ss hivi katulia nimeacha kucheka, ngoja nianze uone atakavyoanza gubu lake. Lamomy mnafiki yupo kundi moja na wanaosema nna id nyingine ya katoto kazuri, anacheka na kulike.!!! Yani da mau ananichagulia wa kucheka nao
 
🀣🀣🀣🀣Asikuchoshe,kuchafuliwa wa kucheka nao huo mtihani mzito
 
Huamini katika uchawi ila una mawazo yakichawi

Wajinga ndio waliwao!!!
 
Kumbe ni uongo. Sasa ngoja kesho tukifungua ofisi utajua hujui na hivi mimi ndo umenipa kitengo cha pesa nitakunyoosha boss hamna rangi utaacha kuona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…