Wafanyakazi wanne wa taasisi ya mikopo ya OYA wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya kukusudia

Wafanyakazi wanne wa taasisi ya mikopo ya OYA wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya kukusudia

Kwa hii case acha wakome sio siri unapata wapi ujasiri wakupiga mtu na kuua kisa 40000 mbaya zaidi sio madeni wako...
 
FB_IMG_1729093690760.jpg
 
Yawezekana mdaiwa alitumia nguvu nyingi sana ikapelekea na wao kutumia nguvu zaidi Ili kumdhibiti vinginevyo pengine angewauwa wao ni bora afe mmoja kuliko wangekufa watu wanne
Naona samia ameshawapa msemo mpya wa kutetea mauaji,kwa hiyo wewe kufa mmoja kwako siyo tatizo ila wakifa wanne ndiyo tatizo siyo?

Na kwani sehemu ya tukio iliokotwa bunduki kiasi iwe marehemu alitishia uhai wao kwa silaha wakamuwahi?vitu vya hovyo kabisa inasikitisha zaidi inaonekana pana vijana mapacha kutoka familia moja
 
Back
Top Bottom