Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Haimake sense kabisa hapo gari ziliumana face to face aisee ama la hash hio fuso jamaa aliwafanyia uhuni akakanyagaa brakes ghafla TRA akiwa anajaribu kutoka kumu overtake ili akampige pini mbele😸 akaila fuso kwa nyuma pembeni kabisa sababu ile body ya fuso ni chuma kigumu kama container tu huenda ndio ilimenya cruiser namna hio!Mi sio trafiki, ila hawa jamaa wanaonekana walikua wana overtake wakakutana face to face.. maana wapo upande wa kulia.. yaan ugonge gari kwa nyuma uchakae hivo?