Ugumu wangu
JF-Expert Member
- May 6, 2021
- 1,685
- 3,552
Ninazo Sana mmojawapo ni kijana wa Nyumbani family friend na Nina kila taarifa hizo Ila sio za hapa mkuu nisameheKivipi mkuu? Inaonesha una taarifa zaidi, tujuze.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninazo Sana mmojawapo ni kijana wa Nyumbani family friend na Nina kila taarifa hizo Ila sio za hapa mkuu nisameheKivipi mkuu? Inaonesha una taarifa zaidi, tujuze.
Mpaka land cruiser mkonga imekuwa hivyo aisee hiyo spidi haikuw aya kitoto
Kaka. Kaa mbali na wafanyabiashara wa Makete, Njombe, Mbeya na Mbozi.Hii ajali ya ajabu aisee! Sasa inakuwaje dereva anagonga gari kwa nyuma alikuwa haoni ama ni mambo ya mzizioloji 👻?
Eeh jamani. Kuelewa kugumu. Walikuwa wanakimbiza gari waliyohisi ina magendo wakagonga Fuso kwa nyuma, sio walikuwa wanakimbiza Fuso wakaigonga kwa nyuma.Inaelekea walikuwa wanalikimbiza hilo fuso badala ya kuchukua namba za Gari.
Kweli kabisa. TRA wajiulize kwa nini wakimbizane na watu wa kulipa kodi barabarani ndani ya mipaka ya Tanzania. Kama hao watu wamefanikiwa kuingia nchini kwa kuwa TRA wameshindwa kudhibiti mambo mipakani basi waachwe. Mambo ya kufukuzana barabarani ndani ya Tanzania matokeao ndio haya.Kuna mahali watumishi wa kila idara nchi hii wafundishwe namna ya kutekeleza majukumu yao na ikiwa yamewazidi unga ni hatua ipi ifanywe na idara nyingine,
Wewe huyo huyo mtoza ushuru wewe huyo huyo unataka uwe polisi na wewe huyo huyo unataka uwe usalama daah nchi yangu wapi inakwenda😭😭😭😭😭😭
Aaah mkuu saa 11 asubuhi bado Giza, LC imeachiwa kama 160kph mara kicheche hiki hapa Mita 5 dereva anajaribu kutoka kulia upande wa kushoto unabaki unapigwa mbele mpaka nyuma na gari inaishia hapoMi sio trafiki, ila hawa jamaa wanaonekana walikua wana overtake wakakutana face to face.. maana wapo upande wa kulia.. yaan ugonge gari kwa nyuma uchakae hivo?
Dah walishapanga jinsi ya kugawana rushwa. Poleni sana sana Wafiwa
Hajawahi pata ajali labda niliwahi jikuta juu ya mti huku naimba wimbo Mungu ni pendo ilihali nilikuwa nakula upepo mwanana kwenye vx amazonAaah mkuu saa 11 asubuhi bado Giza, LC imeachiwa kama 160kph mara kicheche hiki hapa Mita 5 dereva anaharibu kutoka kulia upande wa kushoto unabaki unapigwa mbele mpaka nyuma na gari inaishia hapo
Mkonge hio haifiki huko ila ni kweli speed ilikuwa kubwa sanaPoleni familia na TRA. Ukiangalia hiyo gari baada ya ajali inaonekana mwendokasi wake ulikuwa karibia 200km/hour.
Ungeyasikia mkuu usingemkoment kuyo jamaa hapo😢😢😢😢 basi tufanye ni kazi ya Mungu haina makosa Ila Kuna mda Mungu atatukana pia hukoKwanini kuwawazia mabaya kwa kiasi kikubwa hivi tena kwa kuhisi tuu?
Dah
Ungeyasikia mkuu usingemkoment kuyo jamaa hapo😢😢😢😢 basi tufanye ni kazi ya Mungu haina makosa Ila Kuna mda Mungu atatukana pia huko
Ameen! Japo hatujahukumu maana hakimu wetu ni mmoja tu mkuuKusikia tunasikia mengi sana ya watu kama wanavyosikia mengi yetu wengine
Kama tusivyopenda kuhukumiwa basi na sisisisi tusihukumu
acha aisee,RIP to them.
Mungu awape faraja wategemezi na wanafamilia.