Haimake sense kabisa hapo gari ziliumana face to face aisee ama la hash hio fuso jamaa aliwafanyia uhuni akakanyagaa brakes ghafla TRA akiwa anajaribu kutoka kumu overtake ili akampige pini mbele😸 akaila fuso kwa nyuma pembeni kabisa sababu ile body ya fuso ni chuma kigumu kama container tu huenda ndio ilimenya cruiser namna hio!Mi sio trafiki, ila hawa jamaa wanaonekana walikua wana overtake wakakutana face to face.. maana wapo upande wa kulia.. yaan ugonge gari kwa nyuma uchakae hivo?
STL wanajionaga kings wa road kinoma. Mafuta wanachota bohari na spare wanapeleka tu kwa quotation. Yaani sema ndio ivo wapumzike kwa amani.Haimake sense kabisa hapo gari ziliumana face to face aisee ama la hash hio fuso jamaa aliwafanyia uhuni akakanyagaa brakes ghafla TRA akiwa anajaribu kutoka kumu overtake ili akampige pini mbele😸 akaila fuso kwa nyuma
Wameisha vibaya sana hapo alikuwa hatoki mtu!STL wanajionaga kings wa road kinoma. Mafuta wanachota bohari na spare wanapeleka tu kwa quotation. Yaani sema ndio ivo wapumzike kwa amani.
Giza limechangia nadhani..kuja kushtuka chuma hiki hapa na yuko speed anawahi mlungula wa m10..hahaha..Wamefanikiwa kufariki kabla ya kulifikia sasa au ni dereva wa fuso kawafanyia cheusi chekundu kakazia mguu kati ghafla?
TRA inakimbizana na wafanya biashara haramu/magendo. Walishindwaje kutoa taarifa kwa polisi waliyokuwa doria kulifukuza hilo gari? Acha wapumzike watu wapate ajira maana kufukuzia magendo lazims uchoke hivyo yakubidi upumzikeWalikuwa wakilikimbiza gari lililohisiwa kubeba magendo.
Ajira sio ajali. Mtoa maoni anakumbusha kuna nafasi 5 za kazi zimebaki wazi huko TRA kufuatia ajali hiyo
Wamefanikiwa kufariki kabla ya kulifikia sasa au ni dereva wa fuso kawafanyia cheusi chekundu kakazia mguu kati ghafla?
Kivipi mkuu? Inaonesha una taarifa zaidi, tujuze.Poleni wafiwa lakini pia, upande wa pili Kuna ujinga ulifanyika mkubwa na uzembe mkubwa.
Mwizi anapomkimbiza mwizi mwenzake unategemea Nini😢😢😢
Inaelekea walikuwa wanalikimbiza hilo fuso badala ya kuchukua namba za Gari.
Wafanyakazi watano wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) kikosi kazi cha Fast Track wamefariki dunia kwa ajali ya gari aina ya Landcluser lililogonga kwa nyuma Lori aina Fuso. Walikuwa wakifukuzana na gari iliyodhaniwa kubeba magendo
Ajali hiyo imetokea leo Agosti 23, 2021 saa 11 alfajiri katika barabara ya Mbeya Tunduma eneo la Hanseketwa Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe.
Polisi imethibitisha.