TANZIA Wafanyakazi watano wa TRA wafariki dunia kwenye ajali

TANZIA Wafanyakazi watano wa TRA wafariki dunia kwenye ajali

Mwingine ana marufuku ya kuchana nywele, mwingine kuvaa suti mwiko na mwingine asilalie kitanda asilani. Jamani jamani...
Mimi nawapenda wale wahanga wanaokuambia
Usile nyama Safi kiafya, kiuchumi
Epuka michepuko Safi kiuchumi
Usivae suti......kiuchumi Ni Safi
Ila wananichefua tu wanapokuja kusema utembee na binti yako au mama yako Mara nne. Wanajua Mara moja binti anaweza kuipotezea lkn Mara NNE?
 
Actually huu ndio utaratibu wa majirani zetu hapo Kigali. Gari likiharibikia barabarani; Trafiki anakuja kukusimamia utengeneze. Kama halijapona ndani ya masaa matatu; anaita zile gari za kuvuta ili zije kukutoa barabarani; na hizo gharama utalipia.
Exactly.... barabara haipaswi kugeuzwa garage. Tatizo tunapenda sana kudekezana. Gari bovu, weka nyumbani. Ukipata bahati mbaya, tengeneza faster, ukishindwa tupishe, ukishindwa tukusaidie kukuondoa.
 
Rest In Piece kwa ndugu zetu ..Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi. Amina!
 
Hizi ni picha chache zikionyesha majeneza ya maiti za vijana watano na watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA walivyoagwa kwenye viwanja vya TRA jijini Mbeya siku ya tarehe 24/08/2021.

Vijana hawa walifariki baada ya kupata ajali wakati wakifukuza gari lililodaiwa kubeba shehena ya magendo.

Picha hizi nilizinasa kutokea orofa ya juu ya jengo la NHIF lililopo mkabala na ofisi za TRA Mbeya.

Wapumzike kwa amani.
 
Mhariri naomba nipandishie juu hizi pics
20210824_091507.jpg
20210824_091507.jpg
 
hii ajari inaonyesha hipo upande wa jicho la tatu.

[mention]Mshana Jr [/mention] labda hata tueleza.

pitapita zangu kwa wapenda uchawahi wanadai gari lilokimbizwa la magendo lilikuwa fiti kwenye dawa ,hata yoyote hawezi kulikamata.

nikaona bora kuweka hapa tujue
 
Wapumzike kwa amani. Next time haina haja kufukuza gari. Warecord tu number plate waipeleke polisi uchunguzi utaendelea.
 
Wakihisi kuna jambo la magendo wawe wanawasiliana na polisi waliopo mbele ili waweke kizuizi/ukaguzi halafu wao wafuatilie taratibu.

Kukimbizana namna hii haya ndio madhara yake
 
Inaweza kuwa kweli maana kwa kipande kile watu wapo vizuri hasa katika jambo lenyewe lenye hatari ya kuishia mikononi mwa vyombo vya dola lazima watu wajizatiti na ukiangalia ufundi katika eneo husika upo na hata ukiwa hautoshi ufundi unapatikana border tu hapo. Dah lakin very sad r.i.p kwa waliopoteza maisha
 
Back
Top Bottom