Mimi nawapenda wale wahanga wanaokuambiaMwingine ana marufuku ya kuchana nywele, mwingine kuvaa suti mwiko na mwingine asilalie kitanda asilani. Jamani jamani...
Usile nyama Safi kiafya, kiuchumi
Epuka michepuko Safi kiuchumi
Usivae suti......kiuchumi Ni Safi
Ila wananichefua tu wanapokuja kusema utembee na binti yako au mama yako Mara nne. Wanajua Mara moja binti anaweza kuipotezea lkn Mara NNE?