Wafanyakazi WATATU waliopo DAR (vijana smart) Wanahitajika HARAKA iwezekanavyo..

Vigezo kibao kuzidi mshahara, acha us3nge
 
Nimecheka hapo aliposema vijana watatu smart upstairs nimecheka sana 🤣🤣🤔🤣

vijana smart walipwe laki mbili hapa nilipo nalipwa laki tano tu lakini naona kama nachinjwa kuamka tu mzozo
Mm kuna mahali najitolea lkn nakunja zaidi ya hiyo 200k yake, cjui ni kijana gn Smart anayemtaka kwahy pesa yake
 
Amesema hamna hela nyingine zaidi ya mshahara .Tufanye nauli kwenda kurudi ni 1400 chai 1000 mchana 1500 dinner 1500 maji 1000
1400+1000+1500+1500+1000=6400
6400×30=192,000/=
Lakini kazi ni kazi vijana tusichague
 
Mbona mtembeza kandoro anauwezo wa kukunja kiasi hicho na jua hili kali kwa siku🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…