Kabisa hiyo mizunguko sio mchezo..sasa serikali ya mtaa mtu akija leo ndani ya wiki akihama mtaa mtajua kaenda wapi!Me nadhani nida Inatosha Mkuu... serikali za Mitaa ni kuchoshana. Wana wa Cuba Washaelewa.
My friendKukaa tu, hushiki jembe.
Kukaa tu.
Wajinga hawajui hilo, huyu ni master slave anatafuta watumwa watatu wa kumtajirisha harakaMy friend
Unajua kwanini kazini kuna likizo??
Unaijua work fatique? Utachukia kazi nakwambia
Mfanye mtu aifurahie kazi, aifanye kwa amani. Ila mtoa mada hapa anatafuta kazi zifanywe ili mradi tu, mwishowe ndo wale wanakuja kuibiwa.Wajinga hawajui hilo, huyu ni master slave anatafuta watumwa watatu wa kumtajirisha haraka
200,000Mfanye mtu aifurahie kazi, aifanye kwa amani. Ila mtoa mada hapa anatafuta kazi zifanywe ili mradi tu, mwishowe ndo wale wanakuja kuibiwa.
Mahali fulani hv private, nikikusanya Pesa za nauli nazopewa + pesa ya msosi + pesa ndogo ndogo nazopewa za kusogeza siku mbele n.k Inafika hy pesa japokuwa sio permanent kuwa Inafika Kila mweziWapi hiyo mkuu maan mm mwenyew najitolea mahala
Fatique = Fatigue.My friend
Unajua kwanini kazini kuna likizo??
Unaijua work fatique? Utachukia kazi nakwambia
Hii 👆 kazi Bora ufanye wewe mwenyewe Tu 😂, ili uonje joto ya jiweOfisi ipo Dar es Salaam, Kimara inahitaji wafanyakazi watatu vijana "Very Smart Upstairs"
SIFA ZA WAHITAJIKA
-Elimu Form Four Na Kuendelea
-Ujue Kutumia Computer 100%
-Ujue Kingereza Kusoma Na Kuandika (Kuongea achia Wazungu)
-Usiwe Bonge
-Uwe Mwaminifu
-Ujue Customer Care
OFISI INAJIHUSISHA NA NINI?
MOVIE STORE yenye huduma tofauti ndani yake.
UZOEFU NA KAZI (nyongeza)
-Ambae amewahi Fanya Kazi ya Kuingiza Movie kwa Wateja na anaezijua Movie na Series Kali kwa ajili ya Wateja Atapewa kipaumbele.
-Ambae amewahi Fanya Kazi ya Uwakala wa Kibenki,Mitandao Ya Simu anaezijua changamoto zake Atapewa Kipaumbele.
Jinsia Wanahitajika : Wanaume Wawili + Mwanamke Mmoja
MSHAHARA : 200,000 kwa mwezi
MUDA WA KAZI :
J3 - Ijumaa : Saa 1 Asubuhi Hadi 5 Usiku
J2 - Saa 4 Asubuhi Hadi 5 Usiku
NOTE : HAMNA OFF wala HAMNA HELA NYONGEZA INAYOTOLEWA KWA MFANYAKAZI TOFAUTI NA MSHAHARA WAKE.
UDHAMINI :
Kwa wanaohitaji Kazi ukija PM Uwe na Barua 3
1.Mdhamini 1 (Barua yake ya utambulisho toka serikali ya Mtaa)
2.Mdhamini 2 (Barua yake ya utambulisho toka serikali ya Mtaa)
3.Barua yako ya Utambulisho Toka Serikali ya Mtaa.
PM ipo Wazi kwa wahitajk Kazi ni ya HARAKA Kwa Mwenye Sifa na amekamilika Kazi utaanza HAPO HAPO pindi umemaliza wasiliana na mimi.
Asanteni.
Unataka vijana 'upstairs' then unataka kuwalipa 200k TZS.Ofisi ipo Dar es Salaam, Kimara inahitaji wafanyakazi watatu vijana "Very Smart Upstairs"
SIFA ZA WAHITAJIKA
-Elimu Form Four Na Kuendelea
-Ujue Kutumia Computer 100%
-Ujue Kingereza Kusoma Na Kuandika (Kuongea achia Wazungu)
-Usiwe Bonge
-Uwe Mwaminifu
-Ujue Customer Care
OFISI INAJIHUSISHA NA NINI?
MOVIE STORE yenye huduma tofauti ndani yake.
UZOEFU NA KAZI (nyongeza)
-Ambae amewahi Fanya Kazi ya Kuingiza Movie kwa Wateja na anaezijua Movie na Series Kali kwa ajili ya Wateja Atapewa kipaumbele.
-Ambae amewahi Fanya Kazi ya Uwakala wa Kibenki,Mitandao Ya Simu anaezijua changamoto zake Atapewa Kipaumbele.
Jinsia Wanahitajika : Wanaume Wawili + Mwanamke Mmoja
MSHAHARA : 200,000 kwa mwezi
MUDA WA KAZI :
J3 - Ijumaa : Saa 1 Asubuhi Hadi 5 Usiku
J2 - Saa 4 Asubuhi Hadi 5 Usiku
NOTE : HAMNA OFF wala HAMNA HELA NYONGEZA INAYOTOLEWA KWA MFANYAKAZI TOFAUTI NA MSHAHARA WAKE.
UDHAMINI :
Kwa wanaohitaji Kazi ukija PM Uwe na Barua 3
1.Mdhamini 1 (Barua yake ya utambulisho toka serikali ya Mtaa)
2.Mdhamini 2 (Barua yake ya utambulisho toka serikali ya Mtaa)
3.Barua yako ya Utambulisho Toka Serikali ya Mtaa.
PM ipo Wazi kwa wahitajk Kazi ni ya HARAKA Kwa Mwenye Sifa na amekamilika Kazi utaanza HAPO HAPO pindi umemaliza wasiliana na mimi.
Asanteni.
Naunga mkono hojaWaangalieni sana hao wa haya matangazo, wengi ni matapeli
Kama sikosei waliwahi kumtoa dada mmoja mwanza hadi dar, ajira ikawa bla bla, yule dada aliwapeleka polisiNaunga mkono hoja
Huyu jamaa tapeli wa kimataifa