dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Embu toa maelezo utaingizaje hyo laki mbili kwa masaa mawili Kama siyo kuomba rushwa na kuuiba kwa kutumia silahaMaisha bhana.. Laki mbili naweza kuipata ndani ya masaa 2..
Usikae bila kazi vijana fursa hiyo..
Kama han kazi akafanye bhana kuliko kubeti akabanwe huko Huko had akitoka saa tano Hana nguvu za kiume za kufikiriaa mademu[emoji3][emoji1787][emoji23]Kijana wa kiume laki 2 kwa mwezi atapata wapi pesa ya kuhonga na kumwagilia moyo.??
Au unataka awe memba wa CHAPUTA??
Mkuu laki mbili ndefuNimecheka hapo aliposema vijana watatu smart upstairs Dah nimecheka sana [emoji1787][emoji1787][emoji848][emoji1787]
vijana smart walipwe laki mbili ha ha ha ha hapa nilipo nalipwa laki tano tu lakini naona kama nachinjwa Tu maana kuamka tu mzozo
Imagine jmnHuu ni unyonyaji wa wazi. Hata wahindi hawafanyi hivi!
Inawezekana Kuna marupurupu na hyo Kaz anaeweza kufanya na akaiba Sana kwa siku hakozi elf 1500 yakeAmesema hamna hela nyingine zaidi ya mshahara .Tufanye nauli kwenda kurudi ni 1400 chai 1000 mchana 1500 dinner 1500 maji 1000
1400+1000+1500+1500+1000=6400
6400Γ30=192,000/=
Lakini kazi ni kazi vijana tusichague
AiseeeMkuu laki mbili ndefu
Kina mama Ana mghahawa hapa anawalipa wadadaa kwa siku elf 3000 na wako miezi sita zote hzi
It's trueLaki 2 Dar?? Tena mda ulivyo ubana ivyo .vijana bora mfanye mambo mengne akili ita dumaa kwenye movie hapa
Imagine jmnHakuna OFF, hao wafanya kazi nguo zao wataosha mda gan?
Kuhusu malazi na chakula je? Hii kazi au utumwaaa? Lol.
Njoo temeke uje upige kazi ya ukuli au njoo bandarin kuna mizingo ya kushusha kwenye meliEmbu toa maelezo utaingizaje hyo laki mbili kwa masaa mawili Kama siyo kuomba rushwa na kuuiba kwa kutumia silaha
Halafu unakuta mapimbi yanakuja kutoa povu eti ooh kwenda Israel kufanya kazi mashambani ni utumwa! Sasa ona huyu mfanyabiashara ya utumwa yupo hapahapa Tanzania na anatangaza.Ofisi ipo Dar es Salaam, Kimara inahitaji wafanyakazi watatu vijana "Very Smart Upstairs"
SIFA ZA WAHITAJIKA
-Elimu Form Four Na Kuendelea
-Ujue Kutumia Computer 100%
-Ujue Kingereza Kusoma Na Kuandika (Kuongea achia Wazungu)
-Usiwe Bonge
-Uwe Mwaminifu
-Ujue Customer Care
OFISI INAJIHUSISHA NA NINI?
MOVIE STORE yenye huduma tofauti ndani yake.
UZOEFU NA KAZI (nyongeza)
-Ambae amewahi Fanya Kazi ya Kuingiza Movie kwa Wateja na anaezijua Movie na Series Kali kwa ajili ya Wateja Atapewa kipaumbele.
-Ambae amewahi Fanya Kazi ya Uwakala wa Kibenki,Mitandao Ya Simu anaezijua changamoto zake Atapewa Kipaumbele.
Jinsia Wanahitajika : Wanaume Wawili + Mwanamke Mmoja
MSHAHARA : 200,000 kwa mwezi
MUDA WA KAZI :
J3 - Ijumaa : Saa 1 Asubuhi Hadi 5 Usiku
J2 - Saa 4 Asubuhi Hadi 5 Usiku
NOTE : HAMNA OFF wala HAMNA HELA NYONGEZA INAYOTOLEWA KWA MFANYAKAZI TOFAUTI NA MSHAHARA WAKE.
UDHAMINI :
Kwa wanaohitaji Kazi ukija PM Uwe na Barua 3
1.Mdhamini 1 (Barua yake ya utambulisho toka serikali ya Mtaa)
2.Mdhamini 2 (Barua yake ya utambulisho toka serikali ya Mtaa)
3.Barua yako ya Utambulisho Toka Serikali ya Mtaa.
PM ipo Wazi kwa wahitajk Kazi ni ya HARAKA Kwa Mwenye Sifa na amekamilika Kazi utaanza HAPO HAPO pindi umemaliza wasiliana na mimi.
Asanteni.
Robot la laki 2 unalitengeneza na matope?Tengeneza maroboti tu yakupigie kazi
Huoni hata aibu mtu afanye kazi saa 1 asubuhi hadi 5 usiku kisha umlipe 200kOfisi ipo Dar es Salaam, Kimara inahitaji wafanyakazi watatu vijana "Very Smart Upstairs"
SIFA ZA WAHITAJIKA
-Elimu Form Four Na Kuendelea
-Ujue Kutumia Computer 100%
-Ujue Kingereza Kusoma Na Kuandika (Kuongea achia Wazungu)
-Usiwe Bonge
-Uwe Mwaminifu
-Ujue Customer Care
OFISI INAJIHUSISHA NA NINI?
MOVIE STORE yenye huduma tofauti ndani yake.
UZOEFU NA KAZI (nyongeza)
-Ambae amewahi Fanya Kazi ya Kuingiza Movie kwa Wateja na anaezijua Movie na Series Kali kwa ajili ya Wateja Atapewa kipaumbele.
-Ambae amewahi Fanya Kazi ya Uwakala wa Kibenki,Mitandao Ya Simu anaezijua changamoto zake Atapewa Kipaumbele.
Jinsia Wanahitajika : Wanaume Wawili + Mwanamke Mmoja
MSHAHARA : 200,000 kwa mwezi
MUDA WA KAZI :
J3 - Ijumaa : Saa 1 Asubuhi Hadi 5 Usiku
J2 - Saa 4 Asubuhi Hadi 5 Usiku
NOTE : HAMNA OFF wala HAMNA HELA NYONGEZA INAYOTOLEWA KWA MFANYAKAZI TOFAUTI NA MSHAHARA WAKE.
UDHAMINI :
Kwa wanaohitaji Kazi ukija PM Uwe na Barua 3
1.Mdhamini 1 (Barua yake ya utambulisho toka serikali ya Mtaa)
2.Mdhamini 2 (Barua yake ya utambulisho toka serikali ya Mtaa)
3.Barua yako ya Utambulisho Toka Serikali ya Mtaa.
PM ipo Wazi kwa wahitajk Kazi ni ya HARAKA Kwa Mwenye Sifa na amekamilika Kazi utaanza HAPO HAPO pindi umemaliza wasiliana na mimi.
Asanteni.
Kama hapati faida kubwa afanye kazi mwenyewe ili apunguze matumizi.Naona wadau wanataka wapewe mshahara mkubwa, je umejiuliza muajiri anapata faida kiasi gani?
Hao wanakula hapo, pia wanakaa karibu, pia mara nyingi wasaidizi huwa hawana majukumu mengi maana huwa ni 20sMkuu laki mbili ndefu
Kina mama Ana mghahawa hapa anawalipa wadadaa kwa siku elf 3000 na wako miezi sita zote hzi
Ujasiriamali ni mgumu, ndio maana wengi wanapenda kuajiriwaKama hapati faida kubwa afanye kazi mwenyewe ili apunguze matumizi.
Au afunge ofisi ππ