Wafanyakazi WATATU waliopo DAR (vijana smart) Wanahitajika HARAKA iwezekanavyo..

Mkuu laki mbili ndefu
Kina mama Ana mghahawa hapa anawalipa wadadaa kwa siku elf 3000 na wako miezi sita zote hzi
Hiyo elfu 3 kwa siku na bado anakunywa Chai hapo kazini na chakula anakula sio kwa huyu Tapeli
 
Sa1 moja hadi saa 5 ?

Seriously?

Hamna off ?

Laki 2 ? Maisha ya daslam ?

Utawapa lunch na malazi ??

Vijana nawashauri bora kufanya vibarua, ama saidia fundi ,,,, sio kwa huu unyonyaji !

Kuna mda mwajiri anatengeneza mazingira ya kuibiwa kwa lazima !

Mungu tunusuru na hili janga la umasikini
 
Boss naomba kazi hiyo nipo tayari elimu form six na ujuzi wa computer ninao.
 
Yupo Dodoma mwenye uhitaji Boss, ni mtaalamu wa Computer ila sio mtaalamu wa Movie, ni mtaalamu wa mimala ya simu mitandao yote kwa 100%. Ila hana ndugj Dar.
laki mbili utaishia kuwa mwizi mjini.
 
Kuna group ukipost hili tangazo cm itajaa msg hadi ushindwe kusoma maisha ni magumu sana kazi hamna.
 
Acheni kulia ntie life gumu saiv
200k pesa nyingi kabisa izo,watu wanasota kinoma kwa wahindi kule mbagala kampuni ya rasta
tena kule unakula efu 5 tu kwa siku,kazi zake millioni
 
Ningekua kijana sifanyi hiyo kazi hata kama nina sifa. Hiyo kazi kijana utakufa masikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…