Wafikishwa Mahakamani kwa kudukua Mfumo wa Kompyuta wa CRDB

Miaka 22 ameshaanza kuiba? Atafika kweli huyo, inasikitisha badala atumie hiyo akili kuzalisha uchumi upae yeye anatumia akili kuiba kazi iliyolaaniwa na mwenyenzi Mungu.
Nionyeshe tajiri msafi...nikuonyeshe mama mwenye watoto 6 Ambae ni bikra
 
Ana miaka 22 apambane na Mishe izo izo Dogo atafika mbali, kwenye kuchota ma B na ma Tri
 
Hayo maelezo nimetoa Mimi au wametoa wao si wametoa wao wewe unaelewa nini maana ya udukuzi
Unauliza tena ? Sasa kwanini ulinikosoa wakati hujui maana yake ?

Wabongo kwa kujifanya 'much know' mpo vizuri
 
Msimamo wangu ni ule ule maelezo hayajajitosheleza kudukua sio 'kutumia line ya simu kwa jina la mtu mwingine bila kutoa taarifa kwenye mtandao' elewa ninachomaanisha sio kusema vibaya tu km kitu hujui omba uelekezwe kuna maelezo wameyaficha ndio maana nakwambia maelezo yao hayajajitosheleza

Kauingilia mfumo wa bank kauingiliaje kwa kutumia line ya simu na wao wamejuaje km ni yeye ndio ameuingilia mfumo wa bank?

Wangeeleza kinagaubaga sio kufichaficha, km hujaelewa na hapa wewe una kichwa kizito
 
Haya maelezo hapa chini yanaonyesha ni udukuzi, kama sio basi niambie maana ya udukuzi ni ipi ?

👇
Wakili wa Serikali,Titus Aron akiwasomea mashtaka hayo amedai kati ya Januari 3, 2023 na Juni 3, 2023 mshtakiwa Riziki akiwa Mikocheni wilaya ya Kinondoni kwa nia ovu aliingilia mfumo wa kompyuta wa benki ya CRDB kisha kujipatia kiasi cha Sh.Milioni 13.8.
 
Basi baki na kile unachokiamini sikuelekezi kichwa kizito wewe tutakesha hapa mara 100 unione sijui kitu
 
Mtu kakaa kituo cha polisi zaidi ya wiki then kesi inafunguliwa Mahakamani mwisho wa siku unaambiwa upelelezi haujakamilika.
Police hawataki kuachia ulaji kwa Waendesha Mashitaka na wao wanataka kwenye plea bargain wachungulie kitakachotoka, ingekuwa victim ni raia wa kawaida upelelezi ungesha kamilika!!
 
Back
Top Bottom