Wafuasi CHADEMA wadai mabadiliko ya katiba ya chama kwanza

Mbona hao ni mataga, mkuu vp?
 
Huyu ndiye aliyekuwa anaongea
 
kwani chadema ni nchi? We fala kweli
 
Wasikilize mwenyewe wajumbe wa baraza kuu la chadema wanaotoka mkoa wa Dar es Salaam walichokisema wao kuhusu katiba ya chama chao.


My take: Chama kimepasuka.
 
Maria Sarungi, Godbless Lema na Tundu Lissu wanapaswa kuunganishwa kwenye hii kesi ya ugaidi. Nchi yetu inapaswa kuheshimiwa. Tusikubali nchi yetu kuvurugwa na kikundi hiki cha ugaidi.

We must say no. It is more than any nation in this planet can swallow. Hakuna nchi ye yote duniani iliyoruhusu kitu kama hichi. Demokrasi haiko hivyo hata kidogo.
 
Wasikilize mwenyewe wajumbe wa baraza kuu la chadema wanaotoka mkoa wa Dar es Salaam walichokisema wao kuhusu katiba ya chama chao...
Hawa wataitwa kila jina, lakini kiukweli wameonesha kukomaa zaidi kisiasa kuliko wale wenye dhamana ya kitaifa ya kuongoza Chadema.

Ninajua Mbowe na washirika wake wa karibu hawawezi kukubaliana na ushauri wa hawa vijana, kwasababu agenda ya Katiba Mpya ndiyo kichaka au ngao wanayoitumia (kujikinga dhidi ya tuhuma za makosa ya jinai zinazowakabili) kwa kuwahadaa watu kwamba wanabambikizwa kesi kwa vile wanajihusisha na harakati za kudai katiba mpya. Nonsense!
 
EeenHeee!

Huu ndio 'uDaktari wa Akili', mkuu Dr Akili!
Natumaini kwenye 'udaktari' kukawa ni nafuu zaidi ya huku. Kwa nini usikazanie huko huko ukakuboresha zaidi kuliko kusambaza nguvu hafifu sehemu kubwa kiasi hiki?
 
Reactions: BAK
Ninawafahamu hao wote, tuko nao CCM wote, nimeamini chama chetu cha CCM kinatumia propaganda za kizamani, kwani hatujui kuwa hawa vijana kila siku wana shinda pale Lumumba wakiwa na sare? Ona sasa jinsi chadema walivyotuumbua kwa kuwaonesha wale vijana wakiwa na sare zetu za kijani.
 
Hiyo mijinga ni ya CCM hakuna kijana anayeweza kumpinga Mwenyekiti Mbowe hadharani kutoka Chadema ..tunaenda kufunga na kuomba wapenda demokrasia huyo mama yenu na mpaka piko wakivuka huu mwaka wakachinje ng'ombe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…