Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,189
- 6,140
Kuna wakati CHADEMA hawakuwa watu wanyonge namna hii, Askari anakamata viongozi wa chama bila maelezo na kinyume na sheria na wafuasi mmekaa mnatazama tu! Askari wanajifanyia wanavyojisikia na kutumiwa na CCM lakini CHADEMA mmekuwa wanyonge mno!
Huenda viongozi wana sababu kujiweka mbali na maandamano ya tarehe 29 ili kuionesha serikali kwamba haya ni maandamano ya wananchi na ili wasijiweke mtegoni kwa chama kufutwa, Sikatai ni maamuzi ya viongozi, Ila wanachama walipaswa kuunga mkono kwa nguvu sana kwa sababu hawalazimishwi kuvaa gwanda za CHADEMA wakati wa maandamano na hiyo ni faida kwao kwani wamepata support kutoka kwa wananchi pili maandamano yanajulikana ni ya wananchi si ya CHADEMA jambo ambalo ni faida kubwa kwao hivyo wao wanapaswa kuwa mstari wa mbele!
Kukamatwa viongozi wakuu waliobaki wali/wanatakiwa kuorganize na kutumia kila mbinu kupambana na udhalimu huu mkubwa!
Kwanza kabisa, Uchaguzi hamjashiriki means hamtapata uwakilishi bungeni wala mahala popote, Pili viongozi wenu wamekamatwa wengine kama Kibao wameuawa! Kwa kifupi you have nothing to loose!
Nampongeza HECHE kwa kujitokeza na kukemea hadharani udhalimu huu unaoendelea! Wana CHADEMA you have to man up! Msisubiri kutangaziwa au kupewa maelezo maalum na viongozi wenu! TAKE ACTION!