macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Backup ya aina gani?Kama jinsi ulivyoona na kusikia kwamba maandamano yanayopangwa si ya CHADEMA bali raia wameamua kupambana na udhalimu. CHADEMA kama chama kinachojinasibu kusimamia uhuru na haki na kupinga ukandamizaji nadhani kinapaswa kutoa back up kwa watu hawa.