Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,189
- 6,140
Sawa endeleeni kufuata utaratibu vizuri sana kumbe mnaadabu🤣🤣🤣🤣🤣CHADEMA hawakuwahi kuwa watu wa vurugu.Hayo yalifanywa na ccm wakati wa michakato miingi ya kisiasa.Ni watu wa kufuatq utaratibu ila ccm ndo fujo wamehalalisha.
Kuna wakati CHADEMA hawakuwa watu wanyonge namna hii, Askari anakamata viongozi wa chama bila maelezo na kinyume na sheria na wafuasi mmekaa mnatazama tu! Askari wanajifanyia wanavyojisikia na kutumiwa na CCM lakini CHADEMA mmekuwa wanyonge mno!
Huenda viongozi wana sababu kujiweka mbali na maandamano ya tarehe 29 ili kuionesha serikali kwamba haya ni maandamano ya wananchi na ili wasijiweke mtegoni kwa chama kufutwa, Sikatai ni maamuzi ya viongozi, Ila wanachama walipaswa kuunga mkono kwa nguvu sana kwa sababu hawalazimishwi kuvaa gwanda za CHADEMA wakati wa maandamano na hiyo ni faida kwao kwani wamepata support kutoka kwa wananchi pili maandamano yanajulikana ni ya wananchi si ya CHADEMA jambo ambalo ni faida kubwa kwao hivyo wao wanapaswa kuwa mstari wa mbele!
Kukamatwa viongozi wakuu waliobaki wali/wanatakiwa kuorganize na kutumia kila mbinu kupambana na udhalimu huu mkubwa!
Kwanza kabisa, Uchaguzi hamjashiriki means hamtapata uwakilishi bungeni wala mahala popote, Pili viongozi wenu wamekamatwa wengine kama Kibao wameuawa! Kwa kifupi you have nothing to loose!
Nampongeza HECHE kwa kujitokeza na kukemea hadharani udhalimu huu unaoendelea! Wana CHADEMA you have to man up! Msisubiri kutangaziwa au kupewa maelezo maalum na viongozi wenu! TAKE ACTION!
CHADEMA hawakuwahi kuwa watu wa vurugu.Hayo yalifanywa na ccm wakati wa michakato miingi ya kisiasa.Ni watu wa kufuatq utaratibu ila ccm ndo fujo wamehalalisha.
Hivi unafikiri kila kitu huanza mara moja ? Uzuri imejulikana kachukuliwa na vyombo vya ulinzi , sasa acha waendelee kujichanganya , nani alikua hajui kwamba kabla ya 29 , viongozi wenngi wa chadema yatatokea ya kutokea.Kuna wakati CHADEMA hawakuwa watu wanyonge namna hii, Askari anakamata viongozi wa chama bila maelezo na kinyume na sheria na wafuasi mmekaa mnatazama tu! Askari wanajifanyia wanavyojisikia na kutumiwa na CCM lakini CHADEMA mmekuwa wanyonge mno!
Huenda viongozi wana sababu kujiweka mbali na maandamano ya tarehe 29 ili kuionesha serikali kwamba haya ni maandamano ya wananchi na ili wasijiweke mtegoni kwa chama kufutwa, Sikatai ni maamuzi ya viongozi, Ila wanachama walipaswa kuunga mkono kwa nguvu sana kwa sababu hawalazimishwi kuvaa gwanda za CHADEMA wakati wa maandamano na hiyo ni faida kwao kwani wamepata support kutoka kwa wananchi pili maandamano yanajulikana ni ya wananchi si ya CHADEMA jambo ambalo ni faida kubwa kwao hivyo wao wanapaswa kuwa mstari wa mbele!
Kukamatwa viongozi wakuu waliobaki wali/wanatakiwa kuorganize na kutumia kila mbinu kupambana na udhalimu huu mkubwa!
Kwanza kabisa, Uchaguzi hamjashiriki means hamtapata uwakilishi bungeni wala mahala popote, Pili viongozi wenu wamekamatwa wengine kama Kibao wameuawa! Kwa kifupi you have nothing to loose!
Nampongeza HECHE kwa kujitokeza na kukemea hadharani udhalimu huu unaoendelea! Wana CHADEMA you have to man up! Msisubiri kutangaziwa au kupewa maelezo maalum na viongozi wenu! TAKE ACTION!
Thread ifungwe umehitimisha kwa jibu murua kabisaCHADEMA hawakuwahi kuwa watu wa vurugu.Hayo yalifanywa na ccm wakati wa michakato miingi ya kisiasa.Ni watu wa kufuatq utaratibu ila ccm ndo fujo wamehalalisha.
Thread ifungwe kwani wewe umemaliza kila kitu. Asante sana. Siku zote binadamu mwenye akili anatakiwa kukemea injustice, bila kujali amefanyiwa nani. Wenye akili za kuku tu ndiyo wanaweza kudhani kinachoendelea Tanzania sasa hivi kinawahusu CHADEMA tu. Kuku ndiyo huona mwenzao anachnjwa wao wanaona haiwahusu. Polepole alikuwa ni CCM kindakindaki.Na hilo ndio Tatizo lenu kuu kama Watanzania (WAO na SISI)
Haipaswi kuunga mkono au kutokupigia kelele unyama au unyanyasaji wowote wa Mtanzania yoyote hata kama ni adui yako au haukubaliani na anachosema; VILEVILE haupaswi kutetea ujinga wowote anaofanya yoyote hata kama unakubaliana na Itikadi zake au ni So called mwenzako.
UFUASI inabidi uwe wa kufuata haki na kuhakikisha kila mtu anaishi kwa uhuru...
Bila ya hivyo mtaendelea kunyanyaswa na kugawanywa mmoja mmoja (Wao na Sisi) wakati watawala kwa zamu wanaendelea kula Keki ya Taifa....; Kunyanyasika kwa Zamu
Tuwe wafuasi wa Haki na Uhuru na sio Wafuasi wa Vyama (ukizingatia Vyama vyenyewe practically, ki-Itikadi havina tofauti) zaidi ya platforms za Ulaji
Hatusemi CHADEMA wafanye vurugu , bali watumie haki za kisheria ikiwemo maandamano ili kuungana na wananchi katika kukemea udhalimu.CHADEMA hawakuwahi kuwa watu wa vurugu.Hayo yalifanywa na ccm wakati wa michakato miingi ya kisiasa.Ni watu wa kufuatq utaratibu ila ccm ndo fujo wamehalalisha.
AMANI bila HAKI?Wakinyamaza mnawaona Wajinga ..... wakitaka kutake action Mnawakamata kwa kisingizio cha AMANI.
Intelijensia ya chama ilipoyaona haya ilibidi pia iwe na mpango mwingine madhubuti dhidi ya udhalimuCCM wamejaribu kila mbinu kuwahusisha Chadema na fujo, wamejaribu kuwaprovoke ili tu wawafutie usajili lakini hawa wao roho inawasuta.
Kama jinsi ulivyoona na kusikia kwamba maandamano yanayopangwa si ya CHADEMA bali raia wameamua kupambana na udhalimu. CHADEMA kama chama kinachojinasibu kusimamia uhuru na haki na kupinga ukandamizaji nadhani kinapaswa kutoa back up kwa watu hawa.Na hilo ndio Tatizo lenu kuu kama Watanzania (WAO na SISI)
Haipaswi kuunga mkono au kutokupigia kelele unyama au unyanyasaji wowote wa Mtanzania yoyote hata kama ni adui yako au haukubaliani na anachosema; VILEVILE haupaswi kutetea ujinga wowote anaofanya yoyote hata kama unakubaliana na Itikadi zake au ni So called mwenzako.
UFUASI inabidi uwe wa kufuata haki na kuhakikisha kila mtu anaishi kwa uhuru...
Bila ya hivyo mtaendelea kunyanyaswa na kugawanywa mmoja mmoja (Wao na Sisi) wakati watawala kwa zamu wanaendelea kula Keki ya Taifa....; Kunyanyasika kwa Zamu
Tuwe wafuasi wa Haki na Uhuru na sio Wafuasi wa Vyama (ukizingatia Vyama vyenyewe practically, ki-Itikadi havina tofauti) zaidi ya platforms za Ulaji
Kama jinsi ulivyoona na kusikia kwamba maandamano yanayopangwa si ya CHADEMA bali raia wameamua kupambana na udhalimu. CHADEMA kama chama kinachojinasibu kusimamia uhuru na haki na kupinga ukandamizaji nadhani kinapaswa kutoa back up kwa watu hawa.Watu kama nyie mnasikitisha sana.
Mtu anakamatwa kwa uonevu, linaonekana ni suala la CHADEMA wakati ni suala la kubagaza HAKI za watu.
Hamjajifunza Kwa slow slow, Ukikaa kimya wakati wengine wanabagazwa ni dhahiri kua kesho au kesho kutwa itakua zamu yako na sisi tutakaa kimya.
Kumbuka ya Spika, Kumbuka ya Slow slow, Kumbuka ya Bashiru, Kumbuka ya Jiwe, Kumbuka ya Katelephone
Kama jinsi ulivyoona na kusikia kwamba maandamano yanayopangwa si ya CHADEMA bali raia wameamua kupambana na udhalimu. CHADEMA kama chama kinachojinasibu kusimamia uhuru na haki na kupinga ukandamizaji nadhani kinapaswa kutoa back up kwa watu hawa.Thread ifungwe kwani wewe umemaliza kila kitu. Asante sana. Siku zote binadamu mwenye akili anatakiwa kukemea injustice, bila kujali amefanyiwa nani. Wenye akili za kuku tu ndiyo wanaweza kudhani kinachoendelea Tanzania sasa hivi kinawahusu CHADEMA tu. Kuku ndiyo huona mwenzao anachnjwa wao wanaona haiwahusu. Polepole alikuwa ni CCM kindakindaki.
''First they came for the Communists
And I did not speak out
Because I was not a Communist
Then they came for the Socialists
And I did not speak out
Because I was not a Socialist
Then they came for the trade unionists
And I did not speak out
Because I was not a trade unionist
Then they came for the Jews
And I did not speak out
Because I was not a Jew
Then they came for me
And there was no one left
To speak out for me''
AMANI bila HAKI?