Wafuasi wa CHADEMA walioandamana mitaa ya Mahakama ya Kisutu wadhibitiwa na polisi

Katika hao waliokamatwa ikatokea wamefikishwa mahakamani hakuna atakayewakilishwa na wakili ambaye amepata maelekezo ya chama.
 
Yaani acha tu kiongozi.....inaaminika kuwa binadamu ni kiumbe mwenye akili sana. Hii ni kweli lkn nawaambia ukiwa na maarifa ya kuichezea akili hiyo nzuri ya binadamu, ni kiumbe mmoja mdhaifu na mpumbavu sana!
 
Polosi mnawachekea hawa wahuni, watieni adabu ili iwe fundisho kwa wengine, hawato rudia tena.
mchelea mwana hulia mwenyewe.

Ila wamezingua badala mtu atafute rizq yeye anaandamana
 
Ila wamezingua badala mtu atafute rizq yeye anaandamana
hao ndio wajinga kweli.
unakuta mtoto wa mbowe na familia yake mida hii wamekaa kwenye sofa wanaangalia tv wewe mlala hoi Zuzu unachezea kichapo na kuishia mahabusu.
akili ndogo sana , wanatumiwa bila kujitambua, wamejazwa upepo, hapo huwezi kumkuta mke wa Myika wala mke wa mrema,
kuweni na akili acheni kutumiwa.
 
Shida ya sisi wabongo ukiongea km hv utasikia ww ni mataga
 
Riziki ya mtu mwingine nini wewe mwenye akili?

Hapo utakuta ww ukiambiwa ukajiunge nao na uhakika utakata utakimbia lkn huku mtandaoni unaleta ujuaji mm sina chama chochote ila mm nipo kweny haki pale panapostahili leo hii unakamatwa upo sero ww unafkr utamlaum nan!?
 
Kwanini kiroho safi usitambue kuwa hayupo anayeyahitaji mawazo yako yaliyojaa utopolo mtupu?
 
Hawana cha kufanya mkuu

wangekua busy wasingehangaika na huo upupu
 
Kwanini kiroho safi usitambue kuwa hayupo anayeyahitaji mawazo yako yaliyojaa utopolo mtupu?

Kwan vipi nnshida!!! mbona hasira asubh yote hii kwanza ushapata chai au ndio unabwabwaja tu usitafute majibizano mm siwez kubishana kwajil ya kitu kisichokuwa na manufaa kwangu ww km unauchungu nenda kapeleke hiyo pua sas mm ndio police niliowakamata!!tumia akili leta coment zenye impact na sio upuuz
 
Message sent and delivered - mawazo yako kaa nayo tu mkuu. Asante sana ila hayahitajiki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!

Hiiiiii bagosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…