Wafuasi wa CHADEMA walioandamana mitaa ya Mahakama ya Kisutu wadhibitiwa na polisi

Chadema vemaaa....chadema ilikuwa kigoma enzi za marehemu dr.kabouru....baada ya kuleta ubinafsi na kumuondoa mtu mwenye akili chadema haiwezi kufanya jambo tena imebaki ni chaga party na wafuasi wasiojielewa....mbowe aache usumbufu.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 


Kipindi tunadai Uhuru babu yako nae alikuwa hivi hivi anakatisha tamaa wakina nyerere lakini wapigania Uhuru hawakukata tamaa.

Najua unaufurahia Uhuru.

ebu sema bigup kwa wapigania Uhuru wa kwelii.
 
Watu wako wapi hapo, naona waandishi wa habari ndio wengi karibu na polisi, watu wa chadema mbona hakuna.
 
nimeshuhudia kuna jamaa alienda kutolewa kwenye gari ya mnyika kwakushika bango wakamfuata kwenye deffender kashakalishwa chini wanampa maneno ya ajabu kweli eti nenda tu kuwa na amani tutakuja kukutoa polisi au mahakamani yaani mwenzenu anaenda kunyea ndoo mpaka mje kumtoa kasota sana wao sasahivi wanaenda kugonga chias sehemu hawana shida yoyote yeye watoto wake na mkewake wanahaha baba yuko wapi niujinga wa kiwango kikubwa sana
 
Watu wako wapi hapo, naona waandishi wa habari ndio wengi karibu na polisi, watu wa chadema mbona hakuna.
huo ndiyo umati wanaosema wamejazana mahakamani yaani chadema wanajipaga matumaini ya kijinga sana
 
Mbona hakuna nyomi?

tuliambiwa jiji litasimama leo

wale wa mikoani vipiii
Pole,
Kwa jinsi wewe, Sirro na Muliro mlivyotumia ujuzi na uwezo wenu kuwatishia, nilidhani hawatakuja kabisa.
Sasa hata mapolisi wameoneka vizuri na jumbe za mabango kusomeka duniani kupitia BBC, VOA, CFI, ...............
Lengo namba moja limetimia vizuri.
 

Unaonekana kuumia kuliko walio wahanga wenyewe. Usichojua ni kuwa tu tayari kulipa gharama:


Dunia inaona na tuko tayari kulipa gharama yoyote. Tambua hayo katika bold.

Kumbuka hatutakuwa wa mwanzo kurusha ngumi kwa sasa. Ila haitaendelea hivyo hadi kurudi kwa nabii Issa.
 
Yaonekana unapendwa sana na Sirro, Muliro na Shetani, nawe unawapenda.
 
Point ya kunote hapo Ni kuwa pamoja na Mkwara wote ule wa Sirro bado Kuna watu wametokea,huko tuendako mambo Kuna Siku yatakuja kuwa sio mambo
 
Wingi wetu na umoja wetu ndiyo ngao na silaha yetu kuu.

Waandae magereza zaidi.
Hahahaahahahahah

Mkuu wewe ni mjanja sana. Yaani umewachuuza wenzio washaswekwa wewe upo huku unaperuzi tu kimya kimya uzi wa kula tunda kimasihara

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Nimeamini wajinga ndio waliwao

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kitu pekee polisi yetu inaweza kufanya,
Polisi wenyewe hoe hae,kamshahara laki 3,anakamata maskini wenzie Ili akawakamue,na anaona amefanya kazi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…