Akhera hakuna kupumzika kule ni kipondo kwa kwenda kila upande aliishi kama Mungu mtu sasa kamkuta Allah na pakutokea hakunaDah! Jamani wamwache apumzike.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akhera hakuna kupumzika kule ni kipondo kwa kwenda kila upande aliishi kama Mungu mtu sasa kamkuta Allah na pakutokea hakunaDah! Jamani wamwache apumzike.
Ni miaka miwili sasa tangu Magufuli afariki dunia, huku baadhi ya wafuasi halisi wa Magufuli wakigoma kuamini katika mioyo yao au kutambua katika akili zao kuwa, kwa hakika Magufuli alishakufa na milele hataweza kurejea tena huku siasa zake mbovu taratibu zikizikwa na rais Samia Suluhu.
Hao watu wanaamini kuwa japokuwa Magufuli kimwili alishakufa lakini kiroho bado anaishi katikati yetu, hivyo anaweza kuendelea kuathiri maisha yetu au ipo siku utawala na siasa zake zitafufuliwa upya na kuendelea kuongoza Tanzania!
Wapo wanasiasa wajanja waliokuwa wafuasi kindaki ndaki wa Magufuli waliweza kutambua kiuhalisia Magufuli hayupo tena na siasa zake hazina nafasi na kwa haraka sana wakaanza kuimba nyimbo mpya za kumsifia Samia huku wakimdhihaki kimtindo Magufuli na siasa zake.
Wafuasi hao wa Magufuli hawafurahishwi na hatua yoyote ya maendeleo (kisiasa, kiuchumi, kijamii) inayopigwa na mama Samia ambayo Magufuli hakuifikia au hatua yoyote ya kufutwa kwa baadhi yq siasa za Magufuli zisizokuwa na maana kwa watanzania.
Wao wanataka kuona Magufuli akisifiwa katikati ya utawala wa Samia (wakati Magufuli alikuwa kinara wa kubeza serikali zote za Tanzania zilizomtangulia) au kuona utawala wa Samia ukianguka kwa namna yoyote.
Haswa Kaskazini hawatomsahau...... yule mtu alikuwa na chuki kupitiliza; sijui alikuwa na matatizo gani. Anaweza kuvunja rekodi kama mtanzania mwenye chuki zaidi kuwahi kutokea.
Confirmed zimeshazikwa.Ni miaka miwili sasa tangu Magufuli afariki dunia, huku baadhi ya wafuasi halisi wa Magufuli wakigoma kuamini katika mioyo yao au kutambua katika akili zao kuwa, kwa hakika Magufuli alishakufa na milele hataweza kurejea tena huku siasa zake mbovu taratibu zikizikwa na rais Samia Suluhu.
Hao watu wanaamini kuwa japokuwa Magufuli kimwili alishakufa lakini kiroho bado anaishi katikati yetu, hivyo anaweza kuendelea kuathiri maisha yetu au ipo siku utawala na siasa zake zitafufuliwa upya na kuendelea kuongoza Tanzania!
Wapo wanasiasa wajanja waliokuwa wafuasi kindaki ndaki wa Magufuli waliweza kutambua kiuhalisia Magufuli hayupo tena na siasa zake hazina nafasi na kwa haraka sana wakaanza kuimba nyimbo mpya za kumsifia Samia huku wakimdhihaki kimtindo Magufuli na siasa zake.
Wafuasi hao wa Magufuli hawafurahishwi na hatua yoyote ya maendeleo (kisiasa, kiuchumi, kijamii) inayopigwa na mama Samia ambayo Magufuli hakuifikia au hatua yoyote ya kufutwa kwa baadhi yq siasa za Magufuli zisizokuwa na maana kwa watanzania.
Wao wanataka kuona Magufuli akisifiwa katikati ya utawala wa Samia (wakati Magufuli alikuwa kinara wa kubeza serikali zote za Tanzania zilizomtangulia) au kuona utawala wa Samia ukianguka kwa namna yoyote.
... yule mtu alikuwa na chuki kupitiliza; sijui alikuwa na matatizo gani. Anaweza kuvunja rekodi kama mtanzania mwenye chuki zaidi kuwahi kutokea.
Magufuli hakuwa mwanasiasa hata chembe. Alilewa madaraka mapema sana.
... "theisis" ya jamaa iko wapi? Inatakiwa itumike kama rejea kwenye maandiko ya kisomi but that "public" document is nowhere to be seen. Lile ndio lilikuwa jizi #1 la elimu.
Ndiyo hajafa. Yupo chato anachunga ng'ombeNi miaka miwili sasa tangu Magufuli afariki dunia, huku baadhi ya wafuasi halisi wa Magufuli wakigoma kuamini katika mioyo yao au kutambua katika akili zao kuwa, kwa hakika Magufuli alishakufa na milele hataweza kurejea tena huku siasa zake mbovu taratibu zikizikwa na rais Samia Suluhu.
Hao watu wanaamini kuwa japokuwa Magufuli kimwili alishakufa lakini kiroho bado anaishi katikati yetu, hivyo anaweza kuendelea kuathiri maisha yetu au ipo siku utawala na siasa zake zitafufuliwa upya na kuendelea kuongoza Tanzania!
Wapo wanasiasa wajanja waliokuwa wafuasi kindaki ndaki wa Magufuli waliweza kutambua kiuhalisia Magufuli hayupo tena na siasa zake hazina nafasi na kwa haraka sana wakaanza kuimba nyimbo mpya za kumsifia Samia huku wakimdhihaki kimtindo Magufuli na siasa zake.
Wafuasi hao wa Magufuli hawafurahishwi na hatua yoyote ya maendeleo (kisiasa, kiuchumi, kijamii) inayopigwa na mama Samia ambayo Magufuli hakuifikia au hatua yoyote ya kufutwa kwa baadhi yq siasa za Magufuli zisizokuwa na maana kwa watanzania.
Wao wanataka kuona Magufuli akisifiwa katikati ya utawala wa Samia (wakati Magufuli alikuwa kinara wa kubeza serikali zote za Tanzania zilizomtangulia) au kuona utawala wa Samia ukianguka kwa namna yoyote.
KALIME ACHA JANJA JANJA ZA VYETI FEKI.
Unazungumzia majizi yaliyochoya tirion 1.5 hadi yakamfukuza prof Asadi sio?Watu wanaoumizwa na kifo cha Magufuli ni hawa MAJIZI ambao wameshindwa kumshahau. Nafikiri aliwaachia aina fulani ya UJAUZITO WA KISIASA.
Wazalendo wa nchi hii waliutambua mchango wa Magufuli, na sasa wamemuachia nafasi samia ili na yeye afanye yake.
LAKINI MAJIZI HAYALALI YANAMUWAZA MAGUFULI WAKIDHANI ATAFUFUKA WAENDELEE KULA KICHAPO!
Nafikiri ni aina fulani ya MENTAL DISORDER inayosababisha MARUWERUWE, kiasi kwamba muda wote mtu anahisi kufuatwa na MIZIMU au KUNYUKWA.
Weka evidence ya unachokisema.Unazungumzia majizi yaliyochoya tirion 1.5 hadi yakamfukuza prof Asadi sio?
Alichukia majizi sisi wengine tuliendelea kumuunga mkono kwenye kuinyoosha nchiwMagufuli kama mwanasiasa mwenzangu ndani ya CCM,kosa lake kubwa likikuwa ni kuasisi siasa za chuki
Mingine namsamehe ila ilon hapana
Ni kweli Mama anazika siasa za Magufuli na ndiyo maana nchi inamshinda kuongoza. Kila kiongozi anayemchagua is a joker na wanamdharau.Ni miaka miwili sasa tangu Magufuli afariki dunia, huku baadhi ya wafuasi halisi wa Magufuli wakigoma kuamini katika mioyo yao au kutambua katika akili zao kuwa, kwa hakika Magufuli alishakufa na milele hataweza kurejea tena huku siasa zake mbovu taratibu zikizikwa na rais Samia Suluhu.
Hao watu wanaamini kuwa japokuwa Magufuli kimwili alishakufa lakini kiroho bado anaishi katikati yetu, hivyo anaweza kuendelea kuathiri maisha yetu au ipo siku utawala na siasa zake zitafufuliwa upya na kuendelea kuongoza Tanzania!
Wapo wanasiasa wajanja waliokuwa wafuasi kindaki ndaki wa Magufuli waliweza kutambua kiuhalisia Magufuli hayupo tena na siasa zake hazina nafasi na kwa haraka sana wakaanza kuimba nyimbo mpya za kumsifia Samia huku wakimdhihaki kimtindo Magufuli na siasa zake.
Wafuasi hao wa Magufuli hawafurahishwi na hatua yoyote ya maendeleo (kisiasa, kiuchumi, kijamii) inayopigwa na mama Samia ambayo Magufuli hakuifikia au hatua yoyote ya kufutwa kwa baadhi yq siasa za Magufuli zisizokuwa na maana kwa watanzania.
Wao wanataka kuona Magufuli akisifiwa katikati ya utawala wa Samia (wakati Magufuli alikuwa kinara wa kubeza serikali zote za Tanzania zilizomtangulia) au kuona utawala wa Samia ukianguka kwa namna yoyote.
Na hawa majizi ndiyo yaliyomuuaAlichukia majizi sisi wengine tuliendelea kumuunga mkono kwenye kuinyoosha nchiw
Hakuwa Mtanzania, ni Mrundi, tabia za Watanzania zinaongozwa na utu, yule alikuwa ni next to Lucifer.... yule mtu alikuwa na chuki kupitiliza; sijui alikuwa na matatizo gani. Anaweza kuvunja rekodi kama mtanzania mwenye chuki zaidi kuwahi kutokea.
Taarifa.... Kilo ya mvhele 3200 hadi 3500Wewe ni miongoni mwa wale wasiokuwa na hekima au kichwanj wewe ni kichaa. Kauli zenu hizi zinamletea mazingira magumu sana kisiasa Rais Dr Samia. Kwa ufupi Rais Samia kura za kanda ya ziwa mpaka sasa hana kabisa na asikudanganye mtu.
Na kilichosababisha ni kauli za kijinga namna hii. Hakuna anayesema eti siasa za Dkt Magufuli zilikuwa nzuri sijui. Watu wanachoangalia ni umakini wake ktk kuendesha serikali, vitu vilifanyika kwa uwazi. Ni ngumu sana mtu aliyekuwa ana nunua mchele kilo.
Kwa shs 1200 leo hii 2500 umuambie eti Dkt Magufuli alikuwa mtu mbaya, labda uwe kichaa utajaribu kuongea hivyo. Ndiyo maana hata mbowe na genge lake wanatumia nguvu sana ila watu wanawaona nao wamenunuliwa na akili zao hazipo sawa. Kwa ufupi moto uliopo chini juu ya upinzani wa Dkt Samia ni mkubwa sana tena hali yake kisiasa ni mbaya sana kwa sababu ya kuwaendekeza mijitu kama wewe yenye kudhani kumdhihaki Dkt Magufuli unaongeza umaarufu wa Dkt Samia.