Wafuasi wa Hayati Magufuli bado hawajaamini kikamilifu kuwa alishafariki na siasa zake nyingi zinazikwa na Rais Samia

 

Attachments

  • Magufuli.jpg
    133.3 KB · Views: 1
... yule mtu alikuwa na chuki kupitiliza; sijui alikuwa na matatizo gani. Anaweza kuvunja rekodi kama mtanzania mwenye chuki zaidi kuwahi kutokea.
Haswa Kaskazini hawatomsahau...
 
Confirmed zimeshazikwa.
 
Akirud nishtue
... "theisis" ya jamaa iko wapi? Inatakiwa itumike kama rejea kwenye maandiko ya kisomi but that "public" document is nowhere to be seen. Lile ndio lilikuwa jizi #1 la elimu.
 
Ndiyo hajafa. Yupo chato anachunga ng'ombe
 
Unazungumzia majizi yaliyochoya tirion 1.5 hadi yakamfukuza prof Asadi sio?
 
Ni kweli Mama anazika siasa za Magufuli na ndiyo maana nchi inamshinda kuongoza. Kila kiongozi anayemchagua is a joker na wanamdharau.
 
Magu aliniudh siasa za chuki na visasi, mauji ya wasiojulikana na uonevu kwa baadh ya watu kukithiri, kutoajiri, kufukuza baadh wa walioajiriwa kwa madai ya fyet feki. Kwa hayo niliona magufuli hafai hata kidogo bora mara 100 mama Samia yeye ana kosa moja tu kuwaacha wezi basi
 
... yule mtu alikuwa na chuki kupitiliza; sijui alikuwa na matatizo gani. Anaweza kuvunja rekodi kama mtanzania mwenye chuki zaidi kuwahi kutokea.
Hakuwa Mtanzania, ni Mrundi, tabia za Watanzania zinaongozwa na utu, yule alikuwa ni next to Lucifer.
 
Taarifa.... Kilo ya mvhele 3200 hadi 3500
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…