Wafuasi wa Hayati Magufuli wanakubalika kuliko upinzani na CCM

bint white

Senior Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
168
Reaction score
323
Ukiachana na mihemko ya humu JF na Twitter kwa baadhi, ukweli ni kwamba kwa ground, SUKUMA GANG, wana mtaji wa watu wengi ambao ni tabaka la chini, kwa utafiti tu mdogo kati ya wananchi 10... wananchi 7 wanaamini maono na itikadi za Hayati JPM, huu ni ukweli ukitembelea wananchi kama mama ntilie, bodaboda, machinga ambao hili kundi lilikuwa mtaji wa CHADEMA.

Hata Lowassa alipata kura milion 6 kutoka kwenye hili kundi, now hili kundi limewapotezea CHADEMA na upinzani kwa ujumla kwa sababu kwanza wanampinga na kukejeri harakati za Hayati JPM.

Na ukweli ambao mama Samia Hassan Suluhu haambiwi, wananchi hawamkubali, wamekaa kimya, wengi wananung'unika, huku wakimkumbuka sana hayati.

Kituko kikubwa ni ndugu zangu UPINZANI kwa sasa imekuwa ngumu kuwarudia wananchi au lile kundi lililowahi kuwaamini na kuwazawadia kura takribani milioni 6+

Kwa sababu UPINZANI umekuwa ukifurahia hayati anaponangwa, wakati huohuo wananchi wengi wanaamini maono na itikadi za JPM zaidi, hivyo meseji inayokwenda kwa hilo kundi ni kuwa UPINZANI na mama Samia pamoja na CCM MASLAHI lao ni moja.

Kwa sasa asilimia kubwa ya wananchi hawana imani ni hii CCM MASLAHI, wala hawana imani na UPINZANI.

Nendeni kwa ground, imani kubwa ni kwenye maono ya JPM, wakiamini yule alikuwa mtu wao sahihi.

Hili kundi linaamini ndani ya system siku moja ataibuka mtu mwenye maono yale yale na atawainua tena.

Ukweli ni kwamba SUKUMA GANG, bado ipo ndani ya system, kwa sasa ipo kimya ,ikisubiri kujipenyeza na kurudi tena.

Kwa sasa kwenye uchaguzi ili upate kura nyingi na kukubalika, ukitembea na itikadi, maono ya JPM, huna mpinzani.

CCM MASLAHI na UPINZANI ni makundi mawili ambayo hayana ushawishi kwa wananchi.

Bado wananchi wanamkumbuka JPM alivyowapenda, alivyowafanya watembee kifua mbele wajione na wao ni wamiliki wa nchi yao, bado wanamkumbuka alivyowavusha kwenye Corona huku akikataa harakati za CHADEMA kutaka tufungiwe lockdown, bado wanamkumbuka alivyowapa fursa za kujiajiri bila kufukuzwa kama wakimbizi.

Twendeni kwa Ground, Wananchi hawamtaki mama, wamewapuuza UPINZANI
 
Ukiachana na mihemko ya humu JF na Twitter kwa baadhi , ukweli ni kwamba kwa ground , SUKUMA GANG , wana mtaji wa watu wengi ambao ni tabaka la chini , kwa utafiti tu mdogo kati ya wananchi 10 ...wananchi 7 wanaamini maono na itikadi za Hayati JPM, huu ni ukweli ukitembelea wananchi kama mama ntilie.,boda boda, machinga ,ambao hili kundi lilikuwa mtaji wa Chadema .

Hata Lowassa alipata kura million 6 kutoka kwenye hili kundi, now hili kundi Limewapotezea Chadema na UPINZANI kwa ujumla kwa sababu Kwanza wanampinga na kukejeri harakati za Hayati JPM,

Na ukweli ambao mama Samia Hassan suluhu haambiwi , wananchi hawamkubali, wamekaa kimya, wengi wananung'unika , huku wakimkumbuka sana Hayati,

Kituko kikubwa ni ndugu zangu UPINZANI kwasasa imekuwa Ngumu kuwarudia wananchi au lile kundi lililowahi kuwaamini na kuwazawadia kura takribani million 6+

Kwasababu UPINZANI umekuwa ukifurahia Hayati anaponangwa , wakati huo huo wananchi wengi wanaamini maono na itikadi za Jpm zaidi, hivyo meseji inayokwenda kwa Hilo kundi ni kuwa UPINZANI na mama Samia pamoja na CCM MASLAHI lao ni moja.

Kwasasa asilimia kubwa Ya wananchi hawana imani ni hii CCM MASLAHI, Wala hawana imani na UPINZANI ,

Nendeni kwa ground , imani kubwa ni kwenye maono ya Jpm , wakiamini yule alikuwa mtu wao sahihi ,

Hili kundi linaamini ndani ya system siku moja ataibuka mtu mwenye maono yale Yale na atawainua tena.

Ukweli ni kwamba SUKUMA GANG , bado ipo ndani ya system ,kwasasa ipo kimya ,ikisubiri kujipenyeza na kurudi tena.

Kwasasa kwenye uchaguzi ili upate kura nyingi na kukubalika ,ukitembea na itikadi ,maono ya Jpm ,huna mpinzani.

CCM MASLAHI na UPINZANI kwasasa ni makundi mawili ambayo hayana ushawishi kwa wananchi ,

Bado wananchi wanamkumbuka Jpm alivyowapenda,alivyowafanyawatembee kifua mbele wajione na wao ni wamiliki wa nchi yao,bado wanamkumbuka alivyowavusha kwenye Corona huku akikataa harakati za Chadema kutaka tufungiwe lockdown, bado wanamkumbuka alivyowapa fursa za kujiajiri bila kufukuzwa kama wakimbizi.

Twendeni kwa Ground ,Wananchi hawamtaki mama ,wamewapuuza UPINZANI
Mama amepotea njia pale alipokubali kuishi kumtumikia mzee wa Msoga!

Imeisha kula kwake na kundi la walamba Asali.

Cha muhimu ni kujipanga bila Papara!

Wapinzani na Urafiki wao na Kinana wameturudisha 1995-2015.
 
Napenda nikiona Id mpya kwenye hili jukwaa, naamini hoja kinzani zinaongezeka na kuzidi kuifanya jf kuwa a better place to be.

Nikirudi kwenye hoja zako, naanza na hapa uliposema; "watu wa chini wanaamini upinzani, mama Samia, pamoja na CCM maslahi lao ni moja"

Hiyo nukuu yako hapo juu kwa namna fulani ina exist, hata huku jf kipo kikundi ndani ya upinzani kinachosema bora hawa waliopo sasa kuliko yule aliyekuwa muuaji.

Hawa ni "wapinzani" lakini ukiwaangalia kwa ndani zaidi ni kama "CCM maslahi B" wapo kwa ajili ya kurusha mawe kwa hao Sukuma Gang kila siku, wanatumika bila wao kujua, na mara nyingi nikiwatazama kwa makini nawaona wote wana uwezo sawa wa kufikiri, wanafanana.

Hapo nakuunga mkono.

Lakini nakuja kutofautiana na wewe pale unapoamini kwamba, hao uliowaita watu wa chini wana "last say" kwenye kuamua Rais wa nchi hii, nikwambie ukweli, hata JPM mwenyewe hakutegemea kura za hao ili kuingia ikulu, tume ya uchaguzi ndio kila kitu.

Zaidi bado sijajua umetumia kigezo gani kuamini kwamba upinzani kule field hauna nguvu, hasa wakati huu ambao mikutano ya hadhara hairuhusiwi, ni chama kimoja pekee kinachoruhusiwa kufanya shughuli zake za kisiasa.

Hapa kwa mtazamo wangu naona kitu kimoja, hoja yako ingepata nguvu inayostahili kama hao "Sukuma Gang" kama kweli wapo wangeanzisha chama chao cha siasa, ili tuwaone wanavyofanya mambo yao na uungwaji mkono wataoupata, lakini kusema tu kwa maneno naona haitoshi.
 
Kati ya wananchi hao saba ulitoa toa kutoka 10. 5 utakuta hawana elimu au hawana uelewa wa mambo. Wanafahamu tuu kupokea mambo pasipo kuhusisha fahamu zao
Hao unaowadharau ndio Chadema wanalilia kura zao

Ndio waliwapa Chadema kura million 6 wakapata ruzuku ya Kila million 300 kwa mwezi ,wakanunua magaru ya movement for change

Usiwadharau
 
Chadema bila kujua wamejiingiza kwenye mtego wa kumnanga jpm, matokeo yake wananchi wanawaona wao na mama ni wale wale
 
Kati ya wananchi hao saba ulitoa toa kutoka 10. 5 utakuta hawana elimu au hawana uelewa wa mambo. Wanafahamu tuu kupokea mambo pasipo kuhusisha fahamu zao
Tatizo mnaangaika na Intelligence quotient badala ya emotional Quotient. Naweza kuwa nimekosea kiingereza cha hayo maneno .Ujumbe ufike!
 
Hao unaowadharau ndio Chadema wanalilia kura zao
Ndio waliwapa Chadema kura million 6 wakapata ruzuku ya Kila million 300 kwa mwezi ,wakanunua magaru ya movement for change

Usiwadharau

Wapi nilipo wadharau unaweza onesha?
 
Oneni na sikieni siasa ni mchezo wenye mbinu nyingi sana!,ipo hivi hao unaosema wananchi wa chini hawamkubali ndio watakaokuja kupewa vihela vichache wamkubali!.. unaowaona leo wanampinga kesho ndio watakujakuwa viongozi wenu wa kusema mumkubali!.

Ufahamu wenu na upime vitu hivi kwa kina,maskini hana rafiki!
Fikiri pamoja na haya why is she still comfortable..? Nini plan yake nyuma ya tunayoyaona na tusiyoyaona..?
Someni hili yule dada hatishwi maana kesharizika na aliyonayo inawezakuwa hivyo Tena huenda kachoshwa kabisa!.

Hawamtaki!!!!! Walivyo rahisi kununulika watashikishwa tu!,Kuna michezo ya akili mtachezeshwa tu ipo na michezo ya nguvu mtadundwa tu!.
Mkuu dada hawezi jishughulisha kwa michezo ambayo anajua mtaicheza tu,ambacho hapendi ni kuchezeshwa yeye ile spika ikang'olewa kwa kujing'oa!.

Zimwi la awamu hii ni lile lililolala.
 
Ukiachana na mihemko ya humu JF na Twitter kwa baadhi, ukweli ni kwamba kwa ground, SUKUMA GANG, wana mtaji wa watu wengi ambao ni tabaka la chini, kwa utafiti tu mdogo kati ya wananchi 10... wananchi 7 wanaamini maono na itikadi za Hayati JPM, huu ni ukweli ukitembelea wananchi kama mama ntilie, bodaboda, machinga ambao hili kundi lilikuwa mtaji wa CHADEMA.

Hata Lowassa alipata kura milion 6 kutoka kwenye hili kundi, now hili kundi limewapotezea CHADEMA na upinzani kwa ujumla kwa sababu kwanza wanampinga na kukejeri harakati za Hayati JPM.

Na ukweli ambao mama Samia Hassan Suluhu haambiwi, wananchi hawamkubali, wamekaa kimya, wengi wananung'unika, huku wakimkumbuka sana hayati.

Kituko kikubwa ni ndugu zangu UPINZANI kwa sasa imekuwa ngumu kuwarudia wananchi au lile kundi lililowahi kuwaamini na kuwazawadia kura takribani milioni 6+

Kwa sababu UPINZANI umekuwa ukifurahia hayati anaponangwa, wakati huohuo wananchi wengi wanaamini maono na itikadi za JPM zaidi, hivyo meseji inayokwenda kwa hilo kundi ni kuwa UPINZANI na mama Samia pamoja na CCM MASLAHI lao ni moja.

Kwa sasa asilimia kubwa ya wananchi hawana imani ni hii CCM MASLAHI, wala hawana imani na UPINZANI.

Nendeni kwa ground, imani kubwa ni kwenye maono ya JPM, wakiamini yule alikuwa mtu wao sahihi.

Hili kundi linaamini ndani ya system siku moja ataibuka mtu mwenye maono yale yale na atawainua tena.

Ukweli ni kwamba SUKUMA GANG, bado ipo ndani ya system, kwa sasa ipo kimya ,ikisubiri kujipenyeza na kurudi tena.

Kwa sasa kwenye uchaguzi ili upate kura nyingi na kukubalika, ukitembea na itikadi, maono ya JPM, huna mpinzani.

CCM MASLAHI na UPINZANI ni makundi mawili ambayo hayana ushawishi kwa wananchi.

Bado wananchi wanamkumbuka JPM alivyowapenda, alivyowafanya watembee kifua mbele wajione na wao ni wamiliki wa nchi yao, bado wanamkumbuka alivyowavusha kwenye Corona huku akikataa harakati za CHADEMA kutaka tufungiwe lockdown, bado wanamkumbuka alivyowapa fursa za kujiajiri bila kufukuzwa kama wakimbizi.

Twendeni kwa Ground, Wananchi hawamtaki mama, wamewapuuza UPINZANI
Bila shaka wakati utazungumza.
Yaani wanachofanya sasa ni kusafiria nyota ya Magufuli.

Kama wanajiamini wangemuacha na madhaifu yake kwa maana hayupo tena duniani! Wao wangeonesha mema yao kwa vitendo!

Kadri wanavyomkosoa ndivyo wanavyozidi kumng'arisha.
Ipo siku ukweli utajulikana!
 
Napenda nikiona Id mpya kwenye hili jukwaa, naamini hoja kinzani zinaongezeka na kuzidi kuifanya jf kuwa a better place to be.

Nikirudi kwenye hoja zako, naanza na hapa uliposema; "watu wa chini wanaamini upinzani, mama Samia, pamoja na CCM maslahi lao ni moja"

Hiyo nukuu yako hapo juu kwa namna fulani ina exist, hata huku jf kipo kikundi ndani ya upinzani kinachosema bora hawa waliopo sasa kuliko yule aliyekuwa muuaji.

Hawa ni "wapinzani" lakini ukiwaangalia kwa ndani zaidi ni kama "CCM maslahi B" wapo kwa ajili ya kurusha mawe kwa hao Sukuma Gang kila siku, wanatumika bila wao kujua, na mara nyingi nikiwatazama kwa makini nawaona wote wana uwezo sawa wa kufikiri, wanafanana.

Hapo nakuunga mkono.

Lakini nakuja kutofautiana na wewe pale unapoamini kwamba, hao uliowaita watu wa chini wana "last say" kwenye kuamua Rais wa nchi hii, nikwambie ukweli, hata JPM mwenyewe hakutegemea kura za hao ili kuingia ikulu, tume ya uchaguzi ndio kila kitu.

Zaidi bado sijajua umetumia kigezo gani kuamini kwamba upinzani kule field hauna nguvu, hasa wakati huu ambao mikutano ya hadhara hairuhusiwi, ni chama kimoja pekee kinachoruhusiwa kufanya shughuli zake za kisiasa.

Hapa kwa mtazamo wangu naona kitu kimoja, hoja yako ingepata nguvu inayostahili kama hao "Sukuma Gang" kama kweli wapo wangeanzisha chama chao cha siasa, ili tuwaone wanavyofanya mambo yao na uungwaji mkono wataoupata, lakini kusema tu kwa maneno naona haitoshi.
Huna unalofahamu,uwezo wa kug'amua mambo ni mdogo sana.
 
Bila shaka wakati utazungumza.
Yaani wanachofanya sasa ni kusafiria nyota ya magufuli.
Kama wanajiamini wangemuacha na madhaifu yake kwa maana hayupo tena duniani! Wao wangeonesha mema yao kwa vitendo!
Kadri wanavyomkosoa ndivyo wanavyozidi kumng'arisha.
Ipo siku ukweli utajulikana!
Hata huyo marehemu wenu hakuacha kunawanga wenzie ili asafirie nyota zao mpaka pale alipodanja
 
Ukiachana na mihemko ya humu JF na Twitter kwa baadhi, ukweli ni kwamba kwa ground, SUKUMA GANG, wana mtaji wa watu wengi ambao ni tabaka la chini, kwa utafiti tu mdogo kati ya wananchi 10... wananchi 7 wanaamini maono na itikadi za Hayati JPM, huu ni ukweli ukitembelea wananchi kama mama ntilie, bodaboda, machinga ambao hili kundi lilikuwa mtaji wa CHADEMA.

Hata Lowassa alipata kura milion 6 kutoka kwenye hili kundi, now hili kundi limewapotezea CHADEMA na upinzani kwa ujumla kwa sababu kwanza wanampinga na kukejeri harakati za Hayati JPM.

Na ukweli ambao mama Samia Hassan Suluhu haambiwi, wananchi hawamkubali, wamekaa kimya, wengi wananung'unika, huku wakimkumbuka sana hayati.

Kituko kikubwa ni ndugu zangu UPINZANI kwa sasa imekuwa ngumu kuwarudia wananchi au lile kundi lililowahi kuwaamini na kuwazawadia kura takribani milioni 6+

Kwa sababu UPINZANI umekuwa ukifurahia hayati anaponangwa, wakati huohuo wananchi wengi wanaamini maono na itikadi za JPM zaidi, hivyo meseji inayokwenda kwa hilo kundi ni kuwa UPINZANI na mama Samia pamoja na CCM MASLAHI lao ni moja.

Kwa sasa asilimia kubwa ya wananchi hawana imani ni hii CCM MASLAHI, wala hawana imani na UPINZANI.

Nendeni kwa ground, imani kubwa ni kwenye maono ya JPM, wakiamini yule alikuwa mtu wao sahihi.

Hili kundi linaamini ndani ya system siku moja ataibuka mtu mwenye maono yale yale na atawainua tena.

Ukweli ni kwamba SUKUMA GANG, bado ipo ndani ya system, kwa sasa ipo kimya ,ikisubiri kujipenyeza na kurudi tena.

Kwa sasa kwenye uchaguzi ili upate kura nyingi na kukubalika, ukitembea na itikadi, maono ya JPM, huna mpinzani.

CCM MASLAHI na UPINZANI ni makundi mawili ambayo hayana ushawishi kwa wananchi.

Bado wananchi wanamkumbuka JPM alivyowapenda, alivyowafanya watembee kifua mbele wajione na wao ni wamiliki wa nchi yao, bado wanamkumbuka alivyowavusha kwenye Corona huku akikataa harakati za CHADEMA kutaka tufungiwe lockdown, bado wanamkumbuka alivyowapa fursa za kujiajiri bila kufukuzwa kama wakimbizi.

Twendeni kwa Ground, Wananchi hawamtaki mama, wamewapuuza UPINZANI

Hili jina sukuma gang si mmekuwa mnalipiga vita kuwa ni la kumpaka matope mwendazake kumbe mnalipenda?
 
Back
Top Bottom