Wafuasi wa Hayati Magufuli wanakubalika kuliko upinzani na CCM

Ukiachana na mihemko ya humu JF na Twitter kwa baadhi, ukweli ni kwamba kwa ground, SUKUMA GANG, wana mtaji wa watu wengi ambao ni tabaka la chini, kwa utafiti tu mdogo kati ya wananchi 10... wananchi 7 wanaamini maono na itikadi za Hayati JPM, huu ni ukweli ukitembelea wananchi kama mama ntilie, bodaboda, machinga ambao hili kundi lilikuwa mtaji wa CHADEMA.

Hata Lowassa alipata kura milion 6 kutoka kwenye hili kundi, now hili kundi limewapotezea CHADEMA na upinzani kwa ujumla kwa sababu kwanza wanampinga na kukejeri harakati za Hayati JPM.

Na ukweli ambao mama Samia Hassan Suluhu haambiwi, wananchi hawamkubali, wamekaa kimya, wengi wananung'unika, huku wakimkumbuka sana hayati.

Kituko kikubwa ni ndugu zangu UPINZANI kwa sasa imekuwa ngumu kuwarudia wananchi au lile kundi lililowahi kuwaamini na kuwazawadia kura takribani milioni 6+

Kwa sababu UPINZANI umekuwa ukifurahia hayati anaponangwa, wakati huohuo wananchi wengi wanaamini maono na itikadi za JPM zaidi, hivyo meseji inayokwenda kwa hilo kundi ni kuwa UPINZANI na mama Samia pamoja na CCM MASLAHI lao ni moja.

Kwa sasa asilimia kubwa ya wananchi hawana imani ni hii CCM MASLAHI, wala hawana imani na UPINZANI.

Nendeni kwa ground, imani kubwa ni kwenye maono ya JPM, wakiamini yule alikuwa mtu wao sahihi.

Hili kundi linaamini ndani ya system siku moja ataibuka mtu mwenye maono yale yale na atawainua tena.

Ukweli ni kwamba SUKUMA GANG, bado ipo ndani ya system, kwa sasa ipo kimya ,ikisubiri kujipenyeza na kurudi tena.

Kwa sasa kwenye uchaguzi ili upate kura nyingi na kukubalika, ukitembea na itikadi, maono ya JPM, huna mpinzani.

CCM MASLAHI na UPINZANI ni makundi mawili ambayo hayana ushawishi kwa wananchi.

Bado wananchi wanamkumbuka JPM alivyowapenda, alivyowafanya watembee kifua mbele wajione na wao ni wamiliki wa nchi yao, bado wanamkumbuka alivyowavusha kwenye Corona huku akikataa harakati za CHADEMA kutaka tufungiwe lockdown, bado wanamkumbuka alivyowapa fursa za kujiajiri bila kufukuzwa kama wakimbizi.

Twendeni kwa Ground, Wananchi hawamtaki mama, wamewapuuza UPINZANI
Hao wafuasi kama nani? Waambie waunde chama Chao afu tukutane 2025
 
Mtaji pekee wa Ccm ni Raia wenye umasikini na ujinga , na hawa ni wengi , angalia. Sehemu nyingi ccm inapopendwa utakuta ni zenye umasikini wa hali ya juu,
Umasikini ni kitu kibaya sana especially kama watu hawajitambua , maana una desturi ya kuhamisha mindset na hadi namna ya kufikiri, masikini anadhami kila kitu kibaya anasababishiwa na tajiri !! Na huwa haa mawazo ya kujikwamua kutoka alipo

Upinzani on the other handupo kwa the elites na wanaojitambua , hawa kwa idadi ni wachache .

Leo hii analaumiwa mama kuwa vitu vimepanda bei ,na mafuta kupanda bei kenya hapo diesel kwa bei ya leo ni karibu ksh 155 kwa lita , (3200tsh) na husikii raia wakimlaumu Uhuru.
 
Ukiachana na mihemko ya humu JF na Twitter kwa baadhi, ukweli ni kwamba kwa ground, SUKUMA GANG, wana mtaji wa watu wengi ambao ni tabaka la chini, kwa utafiti tu mdogo kati ya wananchi 10... wananchi 7 wanaamini maono na itikadi za Hayati JPM, huu ni ukweli ukitembelea wananchi kama mama ntilie, bodaboda, machinga ambao hili kundi lilikuwa mtaji wa CHADEMA.

Hata Lowassa alipata kura milion 6 kutoka kwenye hili kundi, now hili kundi limewapotezea CHADEMA na upinzani kwa ujumla kwa sababu kwanza wanampinga na kukejeri harakati za Hayati JPM.

Na ukweli ambao mama Samia Hassan Suluhu haambiwi, wananchi hawamkubali, wamekaa kimya, wengi wananung'unika, huku wakimkumbuka sana hayati.

Kituko kikubwa ni ndugu zangu UPINZANI kwa sasa imekuwa ngumu kuwarudia wananchi au lile kundi lililowahi kuwaamini na kuwazawadia kura takribani milioni 6+

Kwa sababu UPINZANI umekuwa ukifurahia hayati anaponangwa, wakati huohuo wananchi wengi wanaamini maono na itikadi za JPM zaidi, hivyo meseji inayokwenda kwa hilo kundi ni kuwa UPINZANI na mama Samia pamoja na CCM MASLAHI lao ni moja.

Kwa sasa asilimia kubwa ya wananchi hawana imani ni hii CCM MASLAHI, wala hawana imani na UPINZANI.

Nendeni kwa ground, imani kubwa ni kwenye maono ya JPM, wakiamini yule alikuwa mtu wao sahihi.

Hili kundi linaamini ndani ya system siku moja ataibuka mtu mwenye maono yale yale na atawainua tena.

Ukweli ni kwamba SUKUMA GANG, bado ipo ndani ya system, kwa sasa ipo kimya ,ikisubiri kujipenyeza na kurudi tena.

Kwa sasa kwenye uchaguzi ili upate kura nyingi na kukubalika, ukitembea na itikadi, maono ya JPM, huna mpinzani.

CCM MASLAHI na UPINZANI ni makundi mawili ambayo hayana ushawishi kwa wananchi.

Bado wananchi wanamkumbuka JPM alivyowapenda, alivyowafanya watembee kifua mbele wajione na wao ni wamiliki wa nchi yao, bado wanamkumbuka alivyowavusha kwenye Corona huku akikataa harakati za CHADEMA kutaka tufungiwe lockdown, bado wanamkumbuka alivyowapa fursa za kujiajiri bila kufukuzwa kama wakimbizi.

Twendeni kwa Ground, Wananchi hawamtaki mama, wamewapuuza UPINZANI
Genge la kisukuma limeharibu nchi hii sana wadhibitiwe.
 
Hao unaowadharau ndio Chadema wanalilia kura zao
Ndio waliwapa Chadema kura million 6 wakapata ruzuku ya Kila million 300 kwa mwezi ,wakanunua magaru ya movement for change

Usiwadharau
Chadema haijawahi kupata kura kutoka kwa sehemu zenye watu wa uelewa mdogo, ndo maana ilikuwa na wabunge wengi mijini na sehemu zenye muamko wa maisha
 
CHADEMA walimnanga sana Magufuli, hawawezi kuwa upande wake sasa hivi japo wanatamani sana.

CCM Masilahi walizibiwa mianya yao yote ya upigaji, ndio maana wamekuwa na hii a well organised smearing campaign against Magufuli.

Makundi haya mawili wana a common enemy - Magufuli.

Sukuma Gang (machinga, bodaboda, mama ntilie, wanyonge na vyombo vya ulinzi na usalama) walimuelewa sana Magufuli na ndio hawa wanamtetea hata sasa angali amepumzika.

Mtanange ndio kwanza umeanza ila kundi la Sukuma Gang wana uwezekano mdogo sana wa kushinda kwa sasa, watulie tu mpaka 2030.
 
Hili jina sukuma gang si mmekuwa mnalipiga vita kuwa ni la kumpaka matope mwendazake kumbe mnalipenda?
Sukuma gang ipo na iliwanufaisha sana wenye nayo, mwanzoni walikuwa wanaikataa kama kawaida ya unafiki ulivyo ,
Hivi sasa hali ni ngumu kwa mama na wao ndo wanajiexpose na kujibrand vizuri
Hata kwenye haya maisha ya mtaani maadui wako watajipambanua wazi wazi na utawajua pale yakikukuta magumu ya maisha
 
Waacheni wapinzani watumike pamoja na hasira ya wanapambana na Marehemu, ila ukweli ni huo huku chini kuna kura zinazagaa zinakosa umakini wa kutunzwa.

Ukiwa field ndipo unaweza kusema ukweli, vinginevyo mitandao inadanganya hamna kitu humu.

Angalia zitto anavyopambana na marehemu ahahahaaa, aya huko Washington napo kimenuka.

Real tungeonyeshwa mazuri yao badala ya kutumia nguvu isiyokuwepo.
 
Ukiachana na mihemko ya humu JF na Twitter kwa baadhi, ukweli ni kwamba kwa ground, SUKUMA GANG, wana mtaji wa watu wengi ambao ni tabaka la chini, kwa utafiti tu mdogo kati ya wananchi 10... wananchi 7 wanaamini maono na itikadi za Hayati JPM, huu ni ukweli ukitembelea wananchi kama mama ntilie, bodaboda, machinga ambao hili kundi lilikuwa mtaji wa CHADEMA.

Hata Lowassa alipata kura milion 6 kutoka kwenye hili kundi, now hili kundi limewapotezea CHADEMA na upinzani kwa ujumla kwa sababu kwanza wanampinga na kukejeri harakati za Hayati JPM.

Na ukweli ambao mama Samia Hassan Suluhu haambiwi, wananchi hawamkubali, wamekaa kimya, wengi wananung'unika, huku wakimkumbuka sana hayati.

Kituko kikubwa ni ndugu zangu UPINZANI kwa sasa imekuwa ngumu kuwarudia wananchi au lile kundi lililowahi kuwaamini na kuwazawadia kura takribani milioni 6+

Kwa sababu UPINZANI umekuwa ukifurahia hayati anaponangwa, wakati huohuo wananchi wengi wanaamini maono na itikadi za JPM zaidi, hivyo meseji inayokwenda kwa hilo kundi ni kuwa UPINZANI na mama Samia pamoja na CCM MASLAHI lao ni moja.

Kwa sasa asilimia kubwa ya wananchi hawana imani ni hii CCM MASLAHI, wala hawana imani na UPINZANI.

Nendeni kwa ground, imani kubwa ni kwenye maono ya JPM, wakiamini yule alikuwa mtu wao sahihi.

Hili kundi linaamini ndani ya system siku moja ataibuka mtu mwenye maono yale yale na atawainua tena.

Ukweli ni kwamba SUKUMA GANG, bado ipo ndani ya system, kwa sasa ipo kimya ,ikisubiri kujipenyeza na kurudi tena.

Kwa sasa kwenye uchaguzi ili upate kura nyingi na kukubalika, ukitembea na itikadi, maono ya JPM, huna mpinzani.

CCM MASLAHI na UPINZANI ni makundi mawili ambayo hayana ushawishi kwa wananchi.

Bado wananchi wanamkumbuka JPM alivyowapenda, alivyowafanya watembee kifua mbele wajione na wao ni wamiliki wa nchi yao, bado wanamkumbuka alivyowavusha kwenye Corona huku akikataa harakati za CHADEMA kutaka tufungiwe lockdown, bado wanamkumbuka alivyowapa fursa za kujiajiri bila kufukuzwa kama wakimbizi.

Twendeni kwa Ground, Wananchi hawamtaki mama, wamewapuuza UPINZANI
Mwenye macho haambiwi tazama !! Mmeshaambiwa msibwabwaje sana mitandaoni au maofisini " NENDENI KWA GROUND MKAJIONEE " maneno mazito sana ! Salaaleeh !!
 
CHADEMA walimnanga sana Magufuli, hawawezi kuwa upande wake sasa hivi japo wanatamani sana.

CCM Masilahi walizibiwa mianya yao yote ya upigaji, ndio maana wamekuwa na hii a well organised smearing campaign against Magufuli.

Makundi haya mawili wana a common enemy - Magufuli.

Sukuma Gang (machinga, bodaboda, mama ntilie, wanyonge na vyombo vya ulinzi na usalama) walimuelewa sana Magufuli na ndio hawa wanamtetea hata sasa angali amepumzika.

Mtanange ndio kwanza umeanza ila kundi la Sukuma Gang wana uwezekano mdogo sana wa kushinda kwa sasa, watulie tu mpaka 2030.
Utabiri wa Mwalimu unanukia !! Katika siasa wiki moja ni siku nyingi sana !! 2030 ni mbali sana !!
 
Kumbe Ile nguvu kazi ambayo Mh Bashe anaitegemea ilime alizeti kwaajili ya mafutà ya kupikia imejificha kwenye uvungu wa SUKUMA GANG ,bei ya mafutà ya kupikia haitashuka mpaka Sukuma gang ife.
 
Ukiachana na mihemko ya humu JF na Twitter kwa baadhi, ukweli ni kwamba kwa ground, SUKUMA GANG, wana mtaji wa watu wengi ambao ni tabaka la chini, kwa utafiti tu mdogo kati ya wananchi 10... wananchi 7 wanaamini maono na itikadi za Hayati JPM, huu ni ukweli ukitembelea wananchi kama mama ntilie, bodaboda, machinga ambao hili kundi lilikuwa mtaji wa CHADEMA.

Hata Lowassa alipata kura milion 6 kutoka kwenye hili kundi, now hili kundi limewapotezea CHADEMA na upinzani kwa ujumla kwa sababu kwanza wanampinga na kukejeri harakati za Hayati JPM.

Na ukweli ambao mama Samia Hassan Suluhu haambiwi, wananchi hawamkubali, wamekaa kimya, wengi wananung'unika, huku wakimkumbuka sana hayati.

Kituko kikubwa ni ndugu zangu UPINZANI kwa sasa imekuwa ngumu kuwarudia wananchi au lile kundi lililowahi kuwaamini na kuwazawadia kura takribani milioni 6+

Kwa sababu UPINZANI umekuwa ukifurahia hayati anaponangwa, wakati huohuo wananchi wengi wanaamini maono na itikadi za JPM zaidi, hivyo meseji inayokwenda kwa hilo kundi ni kuwa UPINZANI na mama Samia pamoja na CCM MASLAHI lao ni moja.

Kwa sasa asilimia kubwa ya wananchi hawana imani ni hii CCM MASLAHI, wala hawana imani na UPINZANI.

Nendeni kwa ground, imani kubwa ni kwenye maono ya JPM, wakiamini yule alikuwa mtu wao sahihi.

Hili kundi linaamini ndani ya system siku moja ataibuka mtu mwenye maono yale yale na atawainua tena.

Ukweli ni kwamba SUKUMA GANG, bado ipo ndani ya system, kwa sasa ipo kimya ,ikisubiri kujipenyeza na kurudi tena.

Kwa sasa kwenye uchaguzi ili upate kura nyingi na kukubalika, ukitembea na itikadi, maono ya JPM, huna mpinzani.

CCM MASLAHI na UPINZANI ni makundi mawili ambayo hayana ushawishi kwa wananchi.

Bado wananchi wanamkumbuka JPM alivyowapenda, alivyowafanya watembee kifua mbele wajione na wao ni wamiliki wa nchi yao, bado wanamkumbuka alivyowavusha kwenye Corona huku akikataa harakati za CHADEMA kutaka tufungiwe lockdown, bado wanamkumbuka alivyowapa fursa za kujiajiri bila kufukuzwa kama wakimbizi.

Twendeni kwa Ground, Wananchi hawamtaki mama, wamewapuuza UPINZANI
Propaganda ya kutukuzwa MTU mmoja miaka mitano yoote unafkiri itafutika kirahisi???

Though ni kweli mama hakubaliki na upinzani unapuuzwa
 
Ujinga tu. Wewe na hao mnaomkubali marehemu wote mko kundi moja.
Mlidanganywa mkadanganyika maana jamaa kwa kujua ni muongo hakutaka mtu aseme. Alifunga watu vinywa akabaki anasema mwenyewe. Sasa wanasema alivyokuwa mwizi na mbabaishaji, mnabwabwaja hapa.
Magufuli hakuwi kuwa clean hivyo mnavyompamba na mkiendelea atazidi kuchafuka zaidi. File lake watu wanalo
 
Ukiachana na mihemko ya humu JF na Twitter kwa baadhi, ukweli ni kwamba kwa ground, SUKUMA GANG, wana mtaji wa watu wengi ambao ni tabaka la chini, kwa utafiti tu mdogo kati ya wananchi 10... wananchi 7 wanaamini maono na itikadi za Hayati JPM, huu ni ukweli ukitembelea wananchi kama mama ntilie, bodaboda, machinga ambao hili kundi lilikuwa mtaji wa CHADEMA.

Hata Lowassa alipata kura milion 6 kutoka kwenye hili kundi, now hili kundi limewapotezea CHADEMA na upinzani kwa ujumla kwa sababu kwanza wanampinga na kukejeri harakati za Hayati JPM.

Na ukweli ambao mama Samia Hassan Suluhu haambiwi, wananchi hawamkubali, wamekaa kimya, wengi wananung'unika, huku wakimkumbuka sana hayati.

Kituko kikubwa ni ndugu zangu UPINZANI kwa sasa imekuwa ngumu kuwarudia wananchi au lile kundi lililowahi kuwaamini na kuwazawadia kura takribani milioni 6+

Kwa sababu UPINZANI umekuwa ukifurahia hayati anaponangwa, wakati huohuo wananchi wengi wanaamini maono na itikadi za JPM zaidi, hivyo meseji inayokwenda kwa hilo kundi ni kuwa UPINZANI na mama Samia pamoja na CCM MASLAHI lao ni moja.

Kwa sasa asilimia kubwa ya wananchi hawana imani ni hii CCM MASLAHI, wala hawana imani na UPINZANI.

Nendeni kwa ground, imani kubwa ni kwenye maono ya JPM, wakiamini yule alikuwa mtu wao sahihi.

Hili kundi linaamini ndani ya system siku moja ataibuka mtu mwenye maono yale yale na atawainua tena.

Ukweli ni kwamba SUKUMA GANG, bado ipo ndani ya system, kwa sasa ipo kimya ,ikisubiri kujipenyeza na kurudi tena.

Kwa sasa kwenye uchaguzi ili upate kura nyingi na kukubalika, ukitembea na itikadi, maono ya JPM, huna mpinzani.

CCM MASLAHI na UPINZANI ni makundi mawili ambayo hayana ushawishi kwa wananchi.

Bado wananchi wanamkumbuka JPM alivyowapenda, alivyowafanya watembee kifua mbele wajione na wao ni wamiliki wa nchi yao, bado wanamkumbuka alivyowavusha kwenye Corona huku akikataa harakati za CHADEMA kutaka tufungiwe lockdown, bado wanamkumbuka alivyowapa fursa za kujiajiri bila kufukuzwa kama wakimbizi.

Twendeni kwa Ground, Wananchi hawamtaki mama, wamewapuuza UPINZANI
Haya waambie wakapige kura ili Jei Pi Em arudi kuwa Rais wao
 
Back
Top Bottom