Wafuasi wa Hayati Magufuli wanakubalika kuliko upinzani na CCM

Wafuasi wa Hayati Magufuli wanakubalika kuliko upinzani na CCM

Mama amepotea njia pale alipokubali kuishi kumtumikia mzee wa Msoga!

Imeisha kula kwake na kundi la walamba Asali.

Cha muhimu ni kujipanga bila Papara!

Wapinzani na Urafiki wao na Kinana wameturudisha 1995-2015.

Wakati wa Kura mnaipigia ccm kote, lakini lawama mnataka kuupa upinzani. Bebeni mizigo yenu wenyewe.
 
M
Chadema bila kujua wamejiingiza kwenye mtego wa kumnanga jpm, matokeo yake wananchi wanawaona wao na mama ni wale wale

Mbona hao chadema walimnanga huyo Magufuli akiwa hai? Leo wamnange akiwa mfu ndio waonekane wabaya. Kwa njia nyingine unasema kwamba mabaya aliowatendea Magufuli hao wapinzani akiwa hai Ni sahihi, na Ni kosa wapinzani kulalamika mabaya waliotendewa ambayo mengine mpaka Leo yanaishi.

Msituletee roho zenu za hofu kwamba muwafanyie vibaya watu na wasiseme kiss kuogopa waking wachache ambao walifurahia wenzao wakiteswa. Leo Mbowe atamsemaje vizuri Magufuli ambapo msaidizi wake mpaka leo hajulikani yupo wapi. Acheni unafiki.
 
Bila shaka wakati utazungumza.
Yaani wanachofanya sasa ni kusafiria nyota ya Magufuli.

Kama wanajiamini wangemuacha na madhaifu yake kwa maana hayupo tena duniani! Wao wangeonesha mema yao kwa vitendo!

Kadri wanavyomkosoa ndivyo wanavyozidi kumng'arisha.
Ipo siku ukweli utajulikana!

Ukweli kuhusu kuuawa kwa been saanane na Azory. Aisee nasubiria ukweli kuhusu waliompiga risasi Lissu.
 
Ukiachana na mihemko ya humu JF na Twitter kwa baadhi, ukweli ni kwamba kwa ground, SUKUMA GANG, wana mtaji wa watu wengi ambao ni tabaka la chini, kwa utafiti tu mdogo kati ya wananchi 10... wananchi 7 wanaamini maono na itikadi za Hayati JPM, huu ni ukweli ukitembelea wananchi kama mama ntilie, bodaboda, machinga ambao hili kundi lilikuwa mtaji wa CHADEMA.

Hata Lowassa alipata kura milion 6 kutoka kwenye hili kundi, now hili kundi limewapotezea CHADEMA na upinzani kwa ujumla kwa sababu kwanza wanampinga na kukejeri harakati za Hayati JPM.

Na ukweli ambao mama Samia Hassan Suluhu haambiwi, wananchi hawamkubali, wamekaa kimya, wengi wananung'unika, huku wakimkumbuka sana hayati.

Kituko kikubwa ni ndugu zangu UPINZANI kwa sasa imekuwa ngumu kuwarudia wananchi au lile kundi lililowahi kuwaamini na kuwazawadia kura takribani milioni 6+

Kwa sababu UPINZANI umekuwa ukifurahia hayati anaponangwa, wakati huohuo wananchi wengi wanaamini maono na itikadi za JPM zaidi, hivyo meseji inayokwenda kwa hilo kundi ni kuwa UPINZANI na mama Samia pamoja na CCM MASLAHI lao ni moja.

Kwa sasa asilimia kubwa ya wananchi hawana imani ni hii CCM MASLAHI, wala hawana imani na UPINZANI.

Nendeni kwa ground, imani kubwa ni kwenye maono ya JPM, wakiamini yule alikuwa mtu wao sahihi.

Hili kundi linaamini ndani ya system siku moja ataibuka mtu mwenye maono yale yale na atawainua tena.

Ukweli ni kwamba SUKUMA GANG, bado ipo ndani ya system, kwa sasa ipo kimya ,ikisubiri kujipenyeza na kurudi tena.

Kwa sasa kwenye uchaguzi ili upate kura nyingi na kukubalika, ukitembea na itikadi, maono ya JPM, huna mpinzani.

CCM MASLAHI na UPINZANI ni makundi mawili ambayo hayana ushawishi kwa wananchi.

Bado wananchi wanamkumbuka JPM alivyowapenda, alivyowafanya watembee kifua mbele wajione na wao ni wamiliki wa nchi yao, bado wanamkumbuka alivyowavusha kwenye Corona huku akikataa harakati za CHADEMA kutaka tufungiwe lockdown, bado wanamkumbuka alivyowapa fursa za kujiajiri bila kufukuzwa kama wakimbizi.

Twendeni kwa Ground, Wananchi hawamtaki mama, wamewapuuza UPINZANI
Mention hao wafuasi wanaokubalika mkuu ili wengine maybe twaweza wakubali!!!
 
Mtoa mada upo sahihi sana tena sana.
Huku mtaani mtu humwambii kitu kuhusu huyu kiongozi wa sasa. Hawataki hata kumsikia. Mbaya zaidi, si tu watu wa hali ya chini, lakini pia hata watumishi wa sekta mbalimbali, hata zile sekta nyeti hawamkubali hata kidogo.
Mimi nimeshuhudia mara kadhaa, watu wanaibusu picha ya
wanaomkubali huyu kiongozi wa sasa ni watu 2 tu.
Mbaya zaidi, wale wasaidizi wake hawataki kumwambia ukweli kwamba hali ni mbaya, yaani hakubaliki hata kidogo, labda uje mwujiza wa Mwenyezi Mungu.
Ndo maana mimi nilileta Uzi unaosema "CCM wasipofanya maamuzi magumu 2025 watashuhudia Historia mpya ikiandikwa"
Unaijua CCM wewe au unaisikia tuu juu juu
 
Back
Top Bottom