Wafuasi wa Hayati Magufuli wanakubalika kuliko upinzani na CCM

Hatutegemei kura zenu kushinda mpige msipige siye tushashinda kwa kishindo muda mrefu uliopita
 
Hatutegemei kura zenu kushinda mpige msipige siye tushashinda kwa kishindo muda mrefu uliopita
Sawa ndg kinana nimekuelewa ndiyo maana umerudishwa plus wale 3boys lazima mtoboe.

This is afrikan.
Ndiyo maana naita black human as our appearance.
 
Sawa ndg kinana nimekuelewa ndiyo maana umerudishwa plus wale 3boys lazima mtoboe.

This is afrikan.
Ndiyo maana naita black human as our appearance.
Sawatu ndugu Bashiru endelea kuteseka
 
Nendeni mkasajili Chama ndo mtajua hamjui. Mpina aliyeshindwa ubunge matokeo yakatangazwa mara mbili usiku tofauti asubuhi tofauti ndo tegemeo la Sukuma Gang? Taja Sukuma Gang mmoja anayeweza kutikisa watu nchi hii, Makonda au Mnyeti?
 
Nendeni mkasajili Chama ndo mtajua hamjui. Mpina aliyeshindwa ubunge matokeo yakatangazwa mara mbili usiku tofauti asubuhi tofauti ndo tegemeo la Sukuma Gang? Taja Sukuma Gang mmoja anayeweza kutikisa watu nchi hii, Makonda au Mnyeti?
Polepole sasa kaenda kutikisa malawi
 
Kwa nini hao sukuma gang usiwashauri waanzishe chama chao na sera yao ikawa "kumrejesha magufuli",nadhani kwa uungwaji mkono huo unaosema watachukua nchi.
Waachane na siasa za ccm na upinzani wasipofanya hivyo basi hamna hiyo nguvu unayoisema.
 
Wanaopewa 5000 wapigie kura chama husika? Au unawasema wananchi wa wapi? Ila ndo bas tena
 
Unasema hwa wahinga kina Sabaya, Makonda, Happi na hilo jinga kubwa lao Msiba ??

Unasemea kina nani mkuu?
 
Na ukweli ndo huo wananchi wa chini mama hawamuelewi ata kidogo.
 
Kura za kwenye vikapu kama zile za Gwajiboi?
 
Mtoa mada upo sahihi sana tena sana.
Huku mtaani mtu humwambii kitu kuhusu huyu kiongozi wa sasa. Hawataki hata kumsikia. Mbaya zaidi, si tu watu wa hali ya chini, lakini pia hata watumishi wa sekta mbalimbali, hata zile sekta nyeti hawamkubali hata kidogo.
Mimi nimeshuhudia mara kadhaa, watu wanaibusu picha ya
wanaomkubali huyu kiongozi wa sasa ni watu 2 tu.
Mbaya zaidi, wale wasaidizi wake hawataki kumwambia ukweli kwamba hali ni mbaya, yaani hakubaliki hata kidogo, labda uje mwujiza wa Mwenyezi Mungu.
Ndo maana mimi nilileta Uzi unaosema "CCM wasipofanya maamuzi magumu 2025 watashuhudia Historia mpya ikiandikwa"
 

sasa hivi wanamtumia CAG kumchafua makufuli kufikisha ujumbe kwa wananchi kuwa jpm alikuwa fisadi. kila mara CAG ripoti zake ni makufuli tu
 
Hao wafuasi kama nani? Waambie waunde chama Chao afu tukutane 2025
CCJ wapi!? Kilishaundwa na kilikufilia mbali! Mfumo WA unafiki ulio ndani ya CCM ni imara Sana. Lowassa ilikuwa aimege na kudondoka na kundi la wanaCCM, lakini aliachwa akinyongeka peke yake na wachache. Ambao walirudi tena Kwa kuomba msamaha!
Jasusi bobevu alishindwa!

CCM ni kama playground bully, ukitoka huruhusiwi kuingia playground, huruhusiwi kucheza bembea, na waliokuwa marafiki ghafla hawakuiti tena mkacheze wala kukuona wewe ni rafiki Yao!
 
Hotuba za Rais Magufuli zinauzwa kama njugu huku mtaani. Ukiuhudhuria vikao vya wana CCM huku chini ndio utashangaa na kucheka. Kila mmmoja anailaani CCM ya sasa, Mwenyekiti wake, Katibu wake na huyo Makamu Mwenyekiti ndio hawataki kumsikia kabisa. Wakati mwingine nahisi Mwenyekiti anaujua ukweli ndio maana alitoa ile kauli Marekani.
 
Kiongozi huzaliwa, Viongozi wanaozaliwa ni wachache, wanaotengenezwa ni wengi, tunahitaji nguvu kuyatambua haya.
 

Mnaiwaza chadema hata kwenye Mambo ya kijinga. Nyie si ndio mnasema mitandao haipigi Kura. Mi katika Marais hovyo kwahi kutokea kwangu Ni Magufuli, alichotufanyia kazini kwetu sitamsahau.
 
Ulit
Ulitaka chadema wamfurahie kisa kafariki? Alipokuwa anapigania na kuwaumiza na kuwafanyia kila dhihaka mbona hamkulaumu. Yani mtu awatese akiwa hai halafu muwalazimishe wamfurahie akifa ili kuwafurahisha.
 
ukwel mama hakubaliki,upinzani wamepuuzwa

Upinzani upuuzwe Mara ngapi?. So mlijaza CCM bungeni na kwenye halmashauri na kwenye vijiji. Sasa upinzani mnauingiza wa Nini?. Bakini na liserikali lenu acheni kuingiza upinzani kwenye Mambo yasiyo wahusu. Yani wananchi waichague CCM full suit halafu uje useme Mambo yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…