Wafuasi wa Magufuli muelewe, siasa zenu hazina nafasi tena nchi hii, ila wapinzani nao wana wajibu

Aibu kwenu wanachadema!

Aibu hii ni kwa MATAGA kama nyinyi. Kitendo cha Mbowe kuitwa Ikulu kuonana na Rais mara tu baada ya kufutiwa mashtaka, ni ushindi kwa Chadema.

Lakini pia kitendo cha Rais kwenda Ubelgiji na kukutana na 'mdogo' wake Tundu Lissu, na kuzungumza mambo mbalimbali ya msingi kati yao! Pia ulikuwa ni ushindi mwingine huu kwa Chadema na viongozi wake.

Hakika MATAGA mmebakia kuwa watoto yatima baada ya kuthibitisha pasipo na shaka ya kwamba mama hayuko upande wenu! Hivyo naamini miaka michache ijayo, hii chuki iliyo asisiwa na yule malaika wenu, itafutika kabisa! Na hivyo Watanzania tutarudi kwenye maisha yetu ya kuishi kama wamoja.
 
Kwa pigo la jana kwenu nyinyi sukuma gang lazima mlijiharishia

Sukuma gang na MATAGA kama hawaamini vile kinacho enda kutokea mpaka sasa! Kwani siasa za chuki, dhuluma, uonevu, ndiyo ulikuwa ni mtaji wao.

Wanatamani huyu mama aendeleze pale mtangulizi wake alipoishia! Ili na 2025 washinde uchaguzi wa wabunge na urais, kirahisi tu na kwa msaada wa polisi kama ilivyo fanyika 2020! Jambo ambalo halitawezekana tena.

Ni vizuri MATAGA wabunge na madiwani wakaanza kuandaa mazingira ya kujiajiri. Maana wengi wao hawataonekana tena kwenye siasa za ushindani baada ya 2025.
 
Jpm alikuwa anagimbana na yeyote anayemkuta barabarani ili mradi amejisikia kugombana bila hata sababu ya msingi. Mfano kuchoma vifaranga vya kenya
 
Sukuma gang ni kundi la hatari na hovyo kabisa kwenye mustakabali wa umoja na mshikamano
 
Msimamo wa chadema ni kutoitambua serikali na matokeo ya uchaguzi mkuu 2020 leo hii aibu yenu kabla jua halijazama mmekana kauli zenu na kuamua kula matapishi yenu!
 
Kudadadeeeki sukuma gang jana mlilala bila viatu.

Mliamini kiboko ya Jiwe mh Mbowe angefungwa na sasa yupo huru.
Mnakiri uchaguzi mkuu 2020 ulioiweka serikali ya awamu ya 5/6 ulikuwa huru na haki na tume ilikuwa huru tuanzie hapo kwanza hebu funguua hicho kibwebwe kwanza umenengua sana!
 
Samia alikuja vizuri, Mbowe akawatuma akina mdude nyagali wamtukane eti wembe walioutumia kumnyoa magufuli watamnyolea SSH, moto waliopelekewa hawatausahau
Sukuma gang hamuamini kinachoendelea
 
Msimamo wa chadema ni kutoitambua serikali na matokeo ya uchaguzi mkuu 2020 leo hii aibu yenu kabla jua halijazama mmekana kauli zenu na kuamua kula matapishi yenu!

😬😬😬😬 Umeshasema msimamo wa Chadema! Sasa mimi ni Chadema!
Wewe Uvccm vipi bhana! 😁😁

Mimi ni Mtanzania tu Mzalendo na mpinga CCM.
 
Awamu hii ili uonekane kichwa sana ni lazima umtusi Magufuli.
 
Reactions: nao
Hili alisemwi na wanna chadema
 
Mbowe ni kiongozi sahihi kuongoza siasa za upinzani za nyakati hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…