Wafuasi wa Magufuli muelewe, siasa zenu hazina nafasi tena nchi hii, ila wapinzani nao wana wajibu

Samia alikuja vizuri, Mbowe akawatuma akina mdude nyagali wamtukane eti wembe walioutumia kumnyoa magufuli watamnyolea SSH, moto waliopelekewa hawatausahau
Sasa mh Mbowe yupo huru tena bila masharti yenu ya kijinga.

Ukitaka kujua umuhimu wa mh Mbowe tazama picha la jana lilivyochezwa yaani anatoka Ukonga anaenda moja kwa moja hadi Ikulu.

Inawezekana wewe kwa umri wako huo hujawahi kuingia ikulu.
 
Mbowe aliishiwa Hela za kulipa mawakili, akaitisha mchango mitandaoni akapata chini ya milioni tano, alijiaminisha Chadema Ina watu watamchangia, hawakuchanga, alivyoona wanachadema wamemtelekeza, akaamua kuomba radhi kwa SSH.

Akaona hana haja ya kujiumiza kukaa gerezani kwa ajili ya Wana Chadema wenye roho ya ubinafsi
Mh Mbowe ni Mandela wa Tanzania kwa sasa.
 
Jana Mbowe kala ugali na samaki pale ikulu, samaki mkubwa, mama ni mama tu, akapewa na posho
Hata angekula migebuka hizo ni fedha za walipa kodi wa Tanzania wala siyo mali ya ccm wala mwenyekiti wao.
 
Hapo kwenye kuhonga wapinzani, hapo mwenye tatizo ni aliehongwa ama aliehonga?

Matatizo ya wapinzani wetu kua wenye njaa na wasio na msimamo ni kosa la Magufuli?

Kugombana na majirani ni kitu cha kawaida pale unapoona maslahi ya nchi yanaingiliwa. Kazi ya rais ni kulinda maslahi ya nchi, rais akiona majirani wanaingilia maslahi yetu lazima akomae, hata Putin ndio maana ameivamia Ukraine kulinda maslahi ya nchi yake, Kikwete aligombana na Kagame kulinda masilahi ya nchi yetu.

Hoja kwamba Magufuli aligombana na majirani haina msingi wowote, hata Nyerere aligombana na Iddy Amin kulinda maslahi ya Tanzania. Ama ulitaka Magufuli awachekee wakenya wanavyoiba nchini kwetu?

Sekta binafsi ipi iliyokufa? Sekta binafsi ingekua imekufa banks zisingekua zinaogelea kwenye faida, ama husomi hata machapisho ya mapato ya mabenki nchini? Banks zisingekua zinafungua matawi kila kona. Hakuna sekta binafsi iliyokufa, huo ni uongo na uzushi.

Mapato ya Kodi yasingefik 2T kama sekta binafsi ingekua imekufa. Hoja ya sekta binafsi kufa haina mashiko.

Vyombo gani vya habari vilifungiwa? Hivi bijigazeti uchwara vinavyopika habari kina Tanzania Daima, Machweo sijui mawio? Hebu kua serious basi. Hakuna taifa linaweza kua na vyombo vya habari ambavyo kazi yake ni kutunga stori na kuzusha uongo na uzandiki kwenye jamii, hakuna Duniani.
Jiwe aliharibu nchi yetu kuanzia kwenye uchumi hadi mahusiano na majirani zetu.
 
Kuna wanaotukana wengi sana lakini kama kuna mtu kichwa chake hakina maneno yenye hekima ni MDUDE CHADEMA au Nyagali.

Naushauri uongozi wa CDM huyu MDUDE asipande kwenye majukwaa ya kisiasa.

Amewagharimu sana kwa yale matusi aliyotoa Tabata Barracuda mwaka Jana mwezi June immediately baada ya kuachiwa toka rumande ya Mbeya
Tapanda sana majukwaani
 
Mbona nyinyi uvccm kuna mwenyekiti wenu aliwahi kuwatukana watanzania haukuhoji?
 
...Wanatamani huyu mama aendeleze pale mtangulizi wake alipoishia! Ili na 2025 washinde uchaguzi wa wabunge na urais, kirahisi tu na kwa msaada wa polisi kama ilivyo fanyika 2020! Jambo ambalo halitawezekana tena.

Ni vizuri MATAGA wabunge na madiwani wakaanza kuandaa mazingira ya kujiajiri. Maana wengi wao hawataonekana tena kwenye siasa za ushindani baada ya 2025.
Umenena vyema mkuu..
Pata kinywaji muruaaa nipo njiani ntalipa😊
 
Hapo kwenye kuhonga wapinzani, hapo mwenye tatizo ni aliehongwa ama aliehonga?
Walihongwa, walizongwa na ukikataa na unababimbikiziwa kesi.
Kugombana na majirani ni kitu cha kawaida pale unapoona maslahi ya nchi yanaingiliwa. Kazi ya rais ni kulinda maslahi ya nchi, rais akiona majirani wanaingilia maslahi yetu lazima akomae, hata Putin ndio maana ameivamia Ukraine kulinda maslahi ya nchi yake, Kikwete aligombana na Kagame kulinda masilahi ya nchi yetu.
Kuchoma vifaranga na kufunga maduka ya majirani zetu nchini nayo ni kulinda maslahi ya nchi, pathetic!
Sekta binafsi ipi iliyokufa? Sekta binafsi ingekua imekufa banks zisingekua zinaogelea kwenye faida, ama husomi hata machapisho ya mapato ya mabenki nchini? Banks zisingekua zinafungua matawi kila kona. Hakuna sekta binafsi iliyokufa, huo ni uongo na uzushi.
👆👆Ona ulivyo mjinga na kujitia upofu.

Nukuu hii ya Waziri wako Mnafiki namba moja katika JMT.

'Ilikuwa haisemwi kwa sauti kubwa lakini ni ukweli usiofichika kwamba mabenki yetu mengi yalikuwa yameishiwa pumzi. Ulikuwa ukienda kwenye counter zao unahesabu wateja wawili watatu na wateja wengi walikuwa wanadefault," Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba.
Mapato ya Kodi yasingefik 2T kama sekta binafsi ingekua imekufa. Hoja ya sekta binafsi kufa haina mashiko.
Kwa zile takwimu za kupika? Mpaka mkaitungia vifungu vya sheria na kufanya maboresho ya kishenzi kabisa ya utoaji Takwimu?!

Vyombo gani vya habari vilifungiwa? Hivi bijigazeti uchwara vinavyopika habari kina Tanzania Daima, Machweo sijui mawio? Hebu kua serious basi. Hakuna taifa linaweza kua na vyombo vya habari ambavyo kazi yake ni kutunga stori na kuzusha uongo na uzandiki kwenye jamii, hakuna Duniani
Harrasment kwa media Tz aliyoifanya Magufuli imeacha makovu kwa waandishi na media hadi leo , ni mpumbavu kama wewe usiyeliona hilo.
 
Walihongwa, walizongwa na ukikataa na unababimbikiziwa kesi.

Kuchoma vifaranga na kufunga maduka ya majirani zetu nchini nayo ni kulinda maslahi ya nchi, pathetic!

👆👆Ona ulivyo mjinga na kujitia upofu.

Nukuu hii ya Waziri wako Mnafiki namba moja katika JMT.

'Ilikuwa haisemwi kwa sauti kubwa lakini ni ukweli usiofichika kwamba mabenki yetu mengi yalikuwa yameishiwa pumzi. Ulikuwa ukienda kwenye counter zao unahesabu wateja wawili watatu na wateja wengi walikuwa wanadefault," Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba.

Kwa zile takwimu za kupika? Mpaka mkaitungia vifungu vya sheria na kufanya maboresho ya kishenzi kabisa ya utoaji Takwimu?!

Harrasment kwa media Tz aliyoifanya Magufuli imeacha makovu kwa waandishi na media hadi leo , ni mpumbavu kama wewe usiyeliona hilo.
Eti ukikataa unapewa kesi, Prof J alikataa alipewa Kesi? Lema alikataa alipewa kesi zaidi ya ujinga na upumbavu wake wa kusema Rais atakufa, yeye anatangaza rais kufa kama nani? Wapinzani gani Tanzania walipewa kesi kwa kukataa kuhamia ccm? Njaa za wapinzani usitake kumlaumu Magu, wapinzani tanzania wamejaa njaa, ni kama mbwa koko, ukimrushia mfupa hawezi kuuacha.

Vifaranga kama vilikuwa na magonjwa ulitaka viingie nchini kuja kuleta hayo magonjwa hapa kwetu? Hivi una akili sawasawa kweli?

Hata kusoma hujui unanukuu tu maandishi ya waume zako unaleta huku, umeambiwa mabenki mengi ila sio yote, sasa bank kama bank ya wanawake ulitegemea ipost faida?

Takwimu za kupika? Zipi? Hivi unaelewa unachokiandika kweli wewe taahira? Uwe unasoma hata report za Bank kuu za kila mwezi, zile kujua hali ya uchumi wa nchi sio umekaa unakalilishwa na mabwana zako huko mtaani unakuja kujiandikia hapa.

TZ nayo ina media ya kusema imekua harassed? Mkapa aliwahi kusema Tanzania hakuna waandishi wa habari, ni makanjanja, watunga stori za uongo na uzandiki, ulitaka watu kama hao waachwe waendelee kutunga uongo na uzushi nchini?

Kajadiliane na mashoga wenzio, sio mimi.

Huna uwezo wala akili ya kujadiliana na mimi.
 
Mbowe aliishiwa Hela za kulipa mawakili, akaitisha mchango mitandaoni akapata chini ya milioni tano, alijiaminisha Chadema Ina watu watamchangia, hawakuchanga, alivyoona wanachadema wamemtelekeza, akaamua kuomba radhi kwa SSH.

Akaona hana haja ya kujiumiza kukaa gerezani kwa ajili ya Wana Chadema wenye roho ya ubinafsi
Yule mzee wa kujipiga kitaulo awe mweupe , Shaka amesafisha panya wote hapo koridoni lumumba mliokuwa affiliated na hayati dikteta, tuambie unacomment huu utumbo ukiwa kichochoro gani hapo ?
 
Lakini Magufuli alikuja na siasa mpya ambazo ziliongeza matatizo ambayo hayakuwepo, siasa za kugombana na majirani na kufungiana mipaka, kugombana na jamii ya kimataifa, siasa za kupika takwimu, siasa za kuua sekta binafsi na kufilisi wafanyabishara, siasa za kufungia vyombo vya habari na kuvitisha visiandike habari fulani, siasa za kuhonga na kulazimisha wapinzani wakuunge mkono, siasa za kuteka na kuua watu wanaokukosoa kubambikiza kesi n.k

Hizo siyo siasa mpya nchi hii. Mengi aliyofanya Magufuli, Nyerere aliyafanya tena aliyafanya kwa muda mrefu sana. Tofauti enzi ya Nyerere kulikuwa hakuna mtandao, hakuna Twitter, hakuna Facebook, hakuna YouTube, hakuna Instagram, hakuna JF ambazo watu wangeanika maovu ya serikali yake.
 
Ninachosema ni kuwa hizo siasa zimepitwa na wakati
 
Hapo kwenye kuhonga wapinzani, hapo mwenye tatizo ni aliehongwa ama aliehonga?

Matatizo ya wapinzani wetu kua wenye njaa na wasio na msimamo ni kosa la Magufuli?

Kugombana na majirani ni kitu cha kawaida pale unapoona maslahi ya nchi yanaingiliwa. Kazi ya rais ni kulinda maslahi ya nchi, rais akiona majirani wanaingilia maslahi yetu lazima akomae, hata Putin ndio maana ameivamia Ukraine kulinda maslahi ya nchi yake, Kikwete aligombana na Kagame kulinda masilahi ya nchi yetu.

Hoja kwamba Magufuli aligombana na majirani haina msingi wowote, hata Nyerere aligombana na Iddy Amin kulinda maslahi ya Tanzania. Ama ulitaka Magufuli awachekee wakenya wanavyoiba nchini kwetu?

Sekta binafsi ipi iliyokufa? Sekta binafsi ingekua imekufa banks zisingekua zinaogelea kwenye faida, ama husomi hata machapisho ya mapato ya mabenki nchini? Banks zisingekua zinafungua matawi kila kona. Hakuna sekta binafsi iliyokufa, huo ni uongo na uzushi.

Mapato ya Kodi yasingefik 2T kama sekta binafsi ingekua imekufa. Hoja ya sekta binafsi kufa haina mashiko.

Vyombo gani vya habari vilifungiwa? Hivi bijigazeti uchwara vinavyopika habari kina Tanzania Daima, Machweo sijui mawio? Hebu kua serious basi. Hakuna taifa linaweza kua na vyombo vya habari ambavyo kazi yake ni kutunga stori na kuzusha uongo na uzandiki kwenye jamii, hakuna Duniani.

Tulia tu maana ukweli wa utawala wa kidhalimu wa Magu tunaufahamu vizuri sana. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika. Usidhani hatujui lolote boss. Kama mnategemea kutokea rais mwingine mshenzi wa kiwango kile basi mtasubiri sana. Sasa hivi wangalau huyu mama anajaribu kuonyesha rais anatakiwa aweje sio lile dubwasha lenu. Naona mnataka kila rais aongeze kwa ushenzi ule, ili ionekane alichokuwa anafanya ni sawa.
 
Hizo siyo siasa mpya nchi hii. Mengi aliyofanya Magufuli, Nyerere aliyafanya tena aliyafanya kwa muda mrefu sana. Tofauti enzi ya Nyerere kulikuwa hakuna mtandao, hakuna Twitter, hakuna Facebook, hakuna YouTube, hakuna Instagram, hakuna JF ambazo watu wangeanika maovu ya serikali yake.

Kwahiyo Magu aliiga mabaya ya Nyerere kwakuwa sio mambo mapya? Magu alistahili kutawala enzi za ujima, lakini hakustahili kuwa kiongozi enzi hizi za wastaarabu.
 
Tulia tu maana ukweli wa utawala wa kidhalimu wa Magu tunaufahamu vizuri sana. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika. Usidhani hatujui lolote boss. Kama mnategemea kutokea rais mwingine mshenzi wa kiwango kile basi mtasubiri sana. Sasa hivi wangalau huyu mama anajaribu kuonyesha rais anatakiwa aweje sio lile dubwasha lenu. Naona mnataka kila rais aongeze kwa ushenzi ule, ili ionekane alichokuwa anafanya ni sawa.
Sawa mama.
 
Back
Top Bottom