Wafuasi wa Magufuli muelewe, siasa zenu hazina nafasi tena nchi hii, ila wapinzani nao wana wajibu

Sawa mama.

Zama za siasa za kishenzi zimeisha, ngoja muonyeshwe na wastaarabu siasa zinapaswa kufanywa vipi. Sio kuokota mishamba na milimbukeni huko bush na kuja kushobokea madaraka.
 
Jpm alikuwa anagimbana na yeyote anayemkuta barabarani ili mradi amejisikia kugombana bila hata sababu ya msingi. Mfano kuchoma vifaranga vya kenya
Vile si vifaranga vya Kenya, ni vya wa wafanyabiashara!
 
Kwahiyo Magu aliiga mabaya ya Nyerere kwakuwa sio mambo mapya? Magu alistahili kutawala enzi za ujima, lakini hakustahili kuwa kiongozi enzi hizi za wastaarabu.
Kama katiba na system inaruhusu, atakuja tuu Magu mwingine.
 
Ndo yale yale alosema mtoa mada watu wa Magufuli mlikua mkipika data na mlizoea uongo...

Alipata chini ya milioni tano?

Nyie ni mashetani ona hii data then uje tena.
 
Uzi umetulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…