Wafuatao siwezi kuwashauri kitu kingine zaidi ya kuwataka warudi shule na kuongeza elimu.

Kama mshahara wako haufiki 1M after Tax rudi shule madfatari hayang'ati ikiwezekana anza kuvaa bukta ya bluu na shati nyeupe ununue na mfuko wa sports uweke kikombe cha uji uende shule Acha mambo ya ajabu nanii
 
Kama mshahara wako haufiki 1M after Tax rudi shule madfatari hayang'ati ikiwezekana anza kuvaa bukta ya bluu na shati nyeupe ununue na mfuko wa sports uweke kikombe cha uji uende shule Acha mambo ya ajabu nanii
Acha kuwatisha watu wakati wewe ni msukule wa mtu😁😁😁
Kama wewe ni kidume kweli, acha kwenda kazini siku 5 kama haujafukuzwa kazi kama mbwa koko😁😁😁
 
Vipi kuhusu wafanyakazi wa halmashauri ambao mishahara ni 580,000/=

Kuna haja kweli ya hawa watumishi mishahara yao ipitie akaunti ya benki

Walipwe tu kwa tigopesa au cash
Bill gate aliacha chuo akaanza kufanya kazi zake mwenyewe na sasa ni tajiri duniani.
Ila wewe umesoma mpaka chuo umeajiriwa na unajiona una akili sana😁😁😁😁😁
Acha kwenda kazini siku 4 bila kutoa taarifa kama haujafukuzwa kama mbwa.
 
Elimu n mshahara una uhusiano gani?
 


Kwa hiyo hayo matatizo yanatatuliwa na Elimu?
 
Afrika ina ujinga mwingi sana. Mtu anajisifia kuajiriwa wakati muda wote huko makazini wanatumwa kama watoto, wengine walipata hiyo kazi kwa kuroga (chale mpaka makalioni) na wengine mpaka wametoa rushwa ya ngono.
 
kwa ulichoandika wewe ndo unahitaji shule zaidi ya hao...jitafakari
 
Kuongeza ujuzi ndio jambo muhimu zaidi. Mtu ukiingia youtube mambomingisana yakujifunza bure na yana uwezo wa kumpa mtu kipato vizuri tu.
Youtube shule bora number 1 duniani. Niwewe ujue nini unatafuta kujua.
Mkuu naona uzi ufungwe kwa hii comment yako. Kuongeza ujuzi hata kupitia YouTube ni sawa na kwenda shule. Mimi nimejifunza kifaransa kupitia App ya Duolingo baada ya kuanza kupata wateja kadhaa wa Burundi na DRC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…