Wafuatao siwezi kuwashauri kitu kingine zaidi ya kuwataka warudi shule na kuongeza elimu.

Wafuatao siwezi kuwashauri kitu kingine zaidi ya kuwataka warudi shule na kuongeza elimu.

nikishawahi kufanya kazi mshahara 75k kwa mwezi (2500 /day). Bro sometimes life linaweza kukuhumble from nowhere na ukaacha kejeli once and for all.
 
Mleta mada hajitambui

Mimi napokea mshahara benki, nakaa nyumba moja na form four failure ambaye Kwa sasa ni fundi mzuri wa magari, pesa anayopata wiki inazidi pesa yangu ya mwezi.



Halafu unazungumzia laki mbili hiyo si pesa ya nauli tu
 
Darasa la saba B shule ya msingi mpiga miti,, sina mpango wa kuongeza elimu na yangu yanakwenda,,, aliekwambia kuwa elimu kubwa ndio kuwa na hela nani?? Ushasikia bilionea profesa?
 
Mkuu naona uzi ufungwe kwa hii comment yako. Kuongeza ujuzi hata kupitia YouTube ni sawa na kwenda shule. Mimi nimejifunza kifaransa kupitia App ya Duolingo baada ya kuanza kupata wateja kadhaa wa Burundi na DRC.
Mbunge msukuma kaishia darasa la 7 lkn ameajiri wasome wenye degree.
Afrika ina ujinga mwingi sana halafu wanaojisifia ni job seeker tu
 
Wananchi wenye hasira wanataka kunichoma moto. 😁
Nani akuchome moto wakati wewe ni job seeker tu.
Kampuni ikifirisika unaenda kuomba ajira sehemu nyingine huku umeweka CV ya kuwafanyia watu kazi.
Ungekuwa job creater hapo ningesema elimu yako imekusadia sana
 
Back
Top Bottom