uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 11,915
- 28,284
Yah Kila jmos na jpiliYule wa azam Tv?
Yah Kila jmos na jpiliYule wa azam Tv?
John mrema ( BAED) 2002- 2006John mrema hapo umechapia, kazi zake kama mwana media hazieleweki
Njoo break point makumbusho utamkuta hapo. Huwa anaenda kupewa lunchnje ya mada kuna huyu bibie wa kuitwa fulani mramba namuonaga kwenye aridhio, huyu shost ametokea kuuteka moyo wangu kwa kiasi kikubwa sana,
cocastic moyo wangu umemdondokea a tv presenter ambaye sijui hata namna ya kumuona live, ni mateso bila chuki wallah
Ili iweje aende akalime mbwea yuleAtaongezewa mkataba
kupewa tena au kupata lunch?Njoo break point makumbusho utamkuta hapo. Huwa anaenda kupewa lunch
Kupata = kupewakupewa tena au kupata lunch?
haya mkuu ngoja nifanye mchakatoKupata = kupewa
Sawa. Mara ya mwisho nilimuona hapo na mwenzie nafikiri walitoka kununuq simu mpyahaya mkuu ngoja nifanye mchakato
Namba 3 hadi 7 hawafai.Rioba anafikia tamati pale TBC wafuatao kaeni tayari.
1. Adv. Cde. Pascal Mayala,
2. Dr Kedmon Mapana (PhD),
3. Salim Kikeke,
4. Albert Msando,
5. Dr Sam Sassali,
6. Chief Odemba,
7. John Mrema,
8. Egbert Mkoko (PhD).
Rioba anafikia tamati pale TBC wafuatao kaeni tayari.
1 Adv Cde Pascal Mayala Pascal Mayalla
2. Dr Kedmon Mapana (PhD),
3. Salim Kikeke,
4. Albert Msando,
5. Dr Sam Sassali,
6. Chief Odemba,
7. John Mrema,
8. Egbert Mkoko (PhD).
Naona ameshaolewa yule ya nini kutafuta mapambano?nje ya mada kuna huyu bibie wa kuitwa fulani mramba namuonaga kwenye aridhio, huyu shost ametokea kuuteka moyo wangu kwa kiasi kikubwa sana,
cocastic moyo wangu umemdondokea a tv presenter ambaye sijui hata namna ya kumuona live, ni mateso bila chuki wallah
Hivi huyo Dr Sam sassali ni dr wa nini?!Rioba anafikia tamati pale TBC wafuatao kaeni tayari.
1 Adv Cde Pascal Mayala Pascal Mayalla
2. Dr Kedmon Mapana (PhD),
3. Salim Kikeke,
4. Albert Msando,
5. Dr Sam Sassali,
6. Chief Odemba,
7. John Mrema,
8. Egbert Mkoko (PhD).
duuu, kumbe kaolewa? mbona sijaona pete ya ndoa kwa mkono?Naona ameshaolewa yule ya nini kutafuta mapambano?
Ukimkuta mtaani hana pete, akikwambia kaolewa mkaushie tu wameshaoa yuleduuu, kumbe kaolewa? mbona sijaona pete ya ndoa kwa mkono?
NeurosurgeonHivi huyo Dr Sam sassali ni dr wa nini?!
wampe eshe muhidini, mwanamke huyo ana uwezo mkubwa kuendesha media hiyoNafasi hiyo anatakiwa kupata gwiji la midahalo na mijadala maana kampeni za mwaka huu zinatakiwa ziendeshwe kwa njia ya midahalo
Mkiona wanawake weupe tu basi akili zinawaruka hata kama baya baya,sasa yule mashavu yamejigawa kama sambusa kakuvutia nini!?nje ya mada kuna huyu bibie wa kuitwa fulani mramba namuonaga kwenye aridhio, huyu shost ametokea kuuteka moyo wangu kwa kiasi kikubwa sana,
cocastic moyo wangu umemdondokea a tv presenter ambaye sijui hata namna ya kumuona live, ni mateso bila chuki wallah