John Wicks Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 7,945
- 17,286
Nafasi hiyo anatakiwa kupata gwiji la midahalo na mijadala maana kampeni za mwaka huu zinatakiwa ziendeshwe kwa njia ya midahalo
Hata akipewa nani bado tatizo litaendelea kuwepo kwenye Taasisi hiyo. Tatizo ni kwamba Taasisi hiyo haipo independent!