Wafuatao wanatajwa kumrithi Dr Rioba Ukurugenzi TBC

Wafuatao wanatajwa kumrithi Dr Rioba Ukurugenzi TBC

wale umbwa hata ali kamwe anaweza kuwaongoza kwani kukaa na kupokea maelekezo kutoka juu kwamba taarifa ya chama flani usitoe nayo inahitaji piihechidii? NCHi ilipofikia kila mtu anaweza kuwa kweye nafasi yoyote ilimradi anavaa makijani.
 
Rioba anafikia tamati pale TBC wafuatao kaeni tayari.

1 Adv Cde Pascal Mayala Pascal Mayalla
2. Dr Kedmon Mapana (PhD),
3. Salim Kikeke,
4. Albert Msando,
5. Dr Sam Sassali,
6. Chief Odemba,
7. John Mrema,
8. Egbert Mkoko (PhD).
Mrema ataripoti kazini na akaunti za CHADEMA za mitandao ya kijamii
 
Back
Top Bottom