Wafuatao wanatajwa kumrithi Dr Rioba Ukurugenzi TBC

Wafuatao wanatajwa kumrithi Dr Rioba Ukurugenzi TBC

nje ya mada kuna huyu bibie wa kuitwa fulani mramba namuonaga kwenye aridhio, huyu shost ametokea kuuteka moyo wangu kwa kiasi kikubwa sana,

cocastic moyo wangu umemdondokea a tv presenter ambaye sijui hata namna ya kumuona live, ni mateso bila chuki wallah
Elizabeth? Mbna Kaolewa na ana familia yake.
 
1.Dr dotto bulendu anafaa sana
2.deodatus balile
3.dr joyce bazira
4.Yahya Mohamed ni bosi pale azam media
5.dr mzuri yupo zanzibar
6.anthony diallo

Doto Bulendu ni Mtu sahihi zaidi, nilitaka kumtaja hapo mwanzo lakini nilisita ili nisije nikamharibia.
Hawa wengine wote kabisa hawafai.
 
Rioba anafikia tamati pale TBC wafuatao kaeni tayari.

1 Adv Cde Pascal Mayala Pascal Mayalla
2. Dr Kedmon Mapana (PhD),
3. Salim Kikeke,
4. Albert Msando,
5. Dr Sam Sassali,
6. Chief Odemba,
7. John Mrema,
8. Egbert Mkoko (PhD).
Ina maana Tanzania hatuna tena kichwa kwenye tasnia ya habari? Namba 1 hapo huyo ngosha ng'wichane ameshachoka mbaya ni above 60. Basi kama ni hivyo bora wampe tu Msigwa! Mbona hujamtaja Shaban Kissu? Yaani hata mule nje kwenye idhaa za Kiswahili hatuna tena Watanzania wanaotuwakilisha vyema! Basi kama ni hawa hawa wacha tumpe tu Zuhura Yunus!
 
Back
Top Bottom