Wafuatao wanatajwa kumrithi Dr Rioba Ukurugenzi TBC

nje ya mada kuna huyu bibie wa kuitwa fulani mramba namuonaga kwenye aridhio, huyu shost ametokea kuuteka moyo wangu kwa kiasi kikubwa sana,

cocastic moyo wangu umemdondokea a tv presenter ambaye sijui hata namna ya kumuona live, ni mateso bila chuki wallah
 
Njoo break point makumbusho utamkuta hapo. Huwa anaenda kupewa lunch
 
Rioba anafikia tamati pale TBC wafuatao kaeni tayari.

1 Adv Cde Pascal Mayala Pascal Mayalla
2. Dr Kedmon Mapana (PhD),
3. Salim Kikeke,
4. Albert Msando,
5. Dr Sam Sassali,
6. Chief Odemba,
7. John Mrema,
8. Egbert Mkoko (PhD).

Mbona wote kabisa hawa hawana hata sifa za kuweza kuteuliwa kwenye Wadhifa huo? Hata anayeondoka naye hakuwa na sifa za kuweza kuwepo hapo alipo.

Mimi binafsi napendekeza hawa waTanzania wafuatao waweze kufikiriwa kuteuliwa kwenye nafasi hiyo:-
1. DOTO BULENDU
 
Naona ameshaolewa yule ya nini kutafuta mapambano?
 
Mkiona wanawake weupe tu basi akili zinawaruka hata kama baya baya,sasa yule mashavu yamejigawa kama sambusa kakuvutia nini!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…