John Wicks Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 7,945
- 17,286
Nafasi hiyo anatakiwa kupata gwiji la midahalo na mijadala maana kampeni za mwaka huu zinatakiwa ziendeshwe kwa njia ya midahalo
Usome neurosurgery huku unabwabwaja clouds kila siku!!?..jiheshimu mzee, neurosurgery siyo sawa na literature sijui phonologyNeurosurgery
George Marato yuko wapi siku hizi jamani?Ongezea hapo George Marato
Acha uongo bwana hapo hayupo hata mmoja atakayemrithi Atubu Rioba.Rioba anafikia tamati pale TBC wafuatao kaeni tayari.
1 Adv Cde Pascal Mayala Pascal Mayalla
2. Dr Kedmon Mapana (PhD),
3. Salim Kikeke,
4. Albert Msando,
5. Dr Sam Sassali,
6. Chief Odemba,
7. John Mrema,
8. Egbert Mkoko (PhD).
kipendacho roho mkuu wangu,Mkiona wanawake weupe tu basi akili zinawaruka hata kama baya baya,sasa yule mashavu yamejigawa kama sambusa kakuvutia nini!?
Huyu ngeli imelala, kichwani yupo vyema, kwenye kuongoza sijui.Tusimsahau pia Agnes Tuniga.
Mwanangu Sana yule, ila hawezi kupata hy nafasiYah Kila jmos na jpili
Huyu huyu aliyefukuzwa pale E fm "eti kwa kinachoitwa kumsema vibaya Bibi Uozo"!? Au kuna mwingine ambaye wamefanana tu majina!?Ongezea hapo Gerald Hando
Huyo anayeenda kumpa lunch, hana wivu kweli!? Jamaa asije kwenda hapo ikawa tabu.Njoo break point makumbusho utamkuta hapo. Huwa anaenda kupewa lunch
Namkubali sanaMwanangu Sana yule, ila hawezi kupata hy nafasi