Mbuli yaza
JF-Expert Member
- May 30, 2023
- 711
- 683
Ndiyo hao hao Leo wapo mtandaoni kusifia kukosa umeme na maji.Nchi hii imejaa wapuuz na wajinga wengi mno bas tu
Siyo Lissu tu,hata huko msata Hilo wanalijua ila wanategemea figisu ziwaokoe,aliye haribu nguvu ya kura kaharibu Kila kitu, watu wanajiweka madarakani,(my vote doesn't count)Nabii Magu ndo kipimo Cha wanasiasa chaguzi zijazo,
Hata Tundu Lisu analijua Hilo.
Miguu yake Bado midogo, ngoja ikue kwanza, asijeburuta viatu na mwendo wake wa POLE POLE atatuchelewesha 😀Kuna kichwa umekuacha, ndugu balozi Polepole ana akili na uthubutu.
Hawawezi kivipi?Namba 2-4 hawawezi hata
Kwani ni nani anaetaka maisha ya shida kuish gizani kama kuzimu? Ni nani anaetaka kuish maisha ya mchongo yakujfanya mnafuraha Kumbe mnaumia !? Wapumbavu ninyiNani anataka mambo ya kutekana na kuuana kama jiwe
Wataje wajomba na shangazi zako waliotekwa!nchi hii waharifu ni wengi sana hawashughurikiwi ndiyo hao wabadhilifu, mkono ukiwafikia wanalalamika na kutaka kumhusisha Kila mtu,hao hawakutekwa walikamatwaNani anataka mambo ya kutekana na kuuana kama jiwe
We mwenyewe hauna misimamo dokta.Kwa Gwajima Hapana..
Gwajima anakosa Misimamo..
Ila hao waliobaki 100%
Anza kwanza na mamako maana alipata mimba yako kwenye mkesha wa mbio za mwengeTatizo malaya wa ufipa huwa hamkubali kuambiwa ukweli. Nyambaff kabisa
Sifa hiyo ya utekaji, haikutajwa hapo juu.Wataje wajomba na shangazi zako waliotekwa!nchi hii waharifu ni wengi sana hawashughurikiwi ndiyo hao wabadhilifu, mkono ukiwafikia wanalalamika na kutaka kumhusisha Kila mtu,hao hawakutekwa walikamatwa
Umeandika kama kumerHapo umepatia mmoja tu Kassim Majaliwa.
Hao wengine ni wachumia tumbo tu
Uko sawa bro, wanasifia kula urefu wa kamba,uzembe kazini,rushwa,wananchi tunashida sana Kwa Sasa Kila kitu kina kwama maofisini.Kwani ni nani anaetaka maisha ya shida kuish gizani kama kuzimu? Ni nani anaetaka kuish maisha ya mchongo yakujfanya mnafuraha Kumbe mnaumia !? Wapumbavu ninyi
Ndiyo ushangae,harifu Kila mara kutetea waharifu.Sifa hiyo ya utekaji, haikutajwa hapo juu.
Ingekuwa ni mtihani, ameshafeli pakubwa😀
Majaliwa huyuhuyu mwizi ambaye dakika za mwishoni chuma kilitaka kumtimua?Hapo umepatia mmoja tu Kassim Majaliwa.
Hao wengine ni wachumia tumbo tu
Jibu HOJA basi!!Yani gwajima awe rais?
Aisee kumbe nchi haina viongozi hii
Gwajima si bora Mtaka A
Bahati Yao wengine hatukupata nafasi,Ndiyo ushangae,harifu Kila mara kutetea waharifu.
Unajua maana ya Mass Drugs Resistance..?We mwenyewe hauna misimamo dokta.
Leo unampa mtu fansida, kesho unasema fansida inaharibu figo. Unamdunga machanjo ya corona.
Ipo siku nitakufukuza kazi.
Unapingana na Lissu na Mbowe waliokiri wazi juu ya Uchapakazi na UZALENDO wa Nabii Magu?Eti magufuli alikua mzalendo. Mtoa mada akili zako zipo matakoni