Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

Nabii Magu ndo kipimo Cha wanasiasa chaguzi zijazo,

Hata Tundu Lisu analijua Hilo.
Siyo Lissu tu,hata huko msata Hilo wanalijua ila wanategemea figisu ziwaokoe,aliye haribu nguvu ya kura kaharibu Kila kitu, watu wanajiweka madarakani,(my vote doesn't count)
 
Kuna kichwa umekuacha, ndugu balozi Polepole ana akili na uthubutu.
Miguu yake Bado midogo, ngoja ikue kwanza, asijeburuta viatu na mwendo wake wa POLE POLE atatuchelewesha 😀
 
Nani anataka mambo ya kutekana na kuuana kama jiwe
Wataje wajomba na shangazi zako waliotekwa!nchi hii waharifu ni wengi sana hawashughurikiwi ndiyo hao wabadhilifu, mkono ukiwafikia wanalalamika na kutaka kumhusisha Kila mtu,hao hawakutekwa walikamatwa
 
Wataje wajomba na shangazi zako waliotekwa!nchi hii waharifu ni wengi sana hawashughurikiwi ndiyo hao wabadhilifu, mkono ukiwafikia wanalalamika na kutaka kumhusisha Kila mtu,hao hawakutekwa walikamatwa
Sifa hiyo ya utekaji, haikutajwa hapo juu.

Ingekuwa ni mtihani, ameshafeli pakubwa😀
 
Yani gwajima awe rais?
Aisee kumbe nchi haina viongozi hii
Gwajima si bora Mtaka A
 
Kwani ni nani anaetaka maisha ya shida kuish gizani kama kuzimu? Ni nani anaetaka kuish maisha ya mchongo yakujfanya mnafuraha Kumbe mnaumia !? Wapumbavu ninyi
Uko sawa bro, wanasifia kula urefu wa kamba,uzembe kazini,rushwa,wananchi tunashida sana Kwa Sasa Kila kitu kina kwama maofisini.
 
Yani gwajima awe rais?
Aisee kumbe nchi haina viongozi hii
Gwajima si bora Mtaka A
Jibu HOJA basi!!

1. Je ni Mzalendo au Sio?

2. Ana maono au Hana?

3. Ni mchapakazi au mbivu?

4. Ana uthubutu na msimamo usioyumba au ni bendera fuata upepo?

Tujadili issues sio personality 🙏

Karibu ndugu yangu.
 
Ndiyo ushangae,harifu Kila mara kutetea waharifu.
Bahati Yao wengine hatukupata nafasi,

Hivi nimepata taarifa na kuthibitisha pasi na shaka kuwa Kuna watu wameshiriki kufungulia BWAWA Ili maji yapungue Ili kutengeneza mgao wa makusudi, hatua ambazo ningechukua, anajua Mungu.

Magu aliwahurumia sana!!
 
We mwenyewe hauna misimamo dokta.

Leo unampa mtu fansida, kesho unasema fansida inaharibu figo. Unamdunga machanjo ya corona.

Ipo siku nitakufukuza kazi.
Unajua maana ya Mass Drugs Resistance..?
Ugonjwa hauko Fixed kama ambavyo Wadudu nao hawako Fixed wanabadilika kutokana na mazingira na kufanya mutation kila mara..
So dawa lazma ifanyiwe research mara kwa mara kama inakidhi utibuje wa wadudu..
 
Eti magufuli alikua mzalendo. Mtoa mada akili zako zipo matakoni
Unapingana na Lissu na Mbowe waliokiri wazi juu ya Uchapakazi na UZALENDO wa Nabii Magu?

Uliwahi kuwa Mwizi before?

Maana wezi Huwa hawawakubali police asilani😀😀
 
Back
Top Bottom