Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

Na Vanance Mabeyo vipi hana sifa hizo?
George Simbachawene naye je?
 
Uliowataja Wana sifa kuu 4 hapo juu?

Uliwahi wauliza Maono Yao juu ya nchi nzuri ya TANZANIA wakakujibuje?
Uliowataja Wana sifa kuu 4 hapo juu?

Uliwahi wauliza Maono Yao juu ya nchi nzuri ya TANZANIA wakakujibuje?
Si kwamba nimewauliza, ni mtazamo wangu, C DF mstaafu Venance Mabeyo kwenye sifa ulizoainisha anafiti.
 
Si kwamba nimewauliza, ni mtazamo wangu, C DF mstaafu Venance Mabeyo kwenye sifa ulizoainisha anafiti.
Kwanini kumhusisha mtu huyo na siasa?

Anafaa katika upande huo wa pili Si katika siasa maana Si mwanasiasa yule.

Kumtaja mtu wa aina Ile kwenye uongozi wa umma kisiasa, unatengeza taswira hasi!!
 
Wataje wajomba na shangazi zako waliotekwa!nchi hii waharifu ni wengi sana hawashughurikiwi ndiyo hao wabadhilifu, mkono ukiwafikia wanalalamika na kutaka kumhusisha Kila mtu,hao hawakutekwa walikamatwa
Ndio maana nalo lenyewe limekufa
 
Kwanini kumhusisha mtu huyo na siasa?

Anafaa katika upande huo wa pili Si katika siasa maana Si mwanasiasa yule.

Kumtaja mtu wa aina Ile kwenye uongozi wa umma kisiasa, unatengeza taswira hasi!!
Wapo wengi tu waliokuwa wanajeshi na sasa wanatumika upande wa pili,
 
Kwamba tangu alipofariki watu wameacha kupotea?

Pia mada inamjadili Magu Kwa sifa kuu nne pekee, 1. Uzalendo, 2. Uthubutu 3. Uchapakazi 4. MAONO.

Jadili HOJA hapo juu , ikiwa huna HOJA nyamaza kimya.
Maono gani? Kuvunja mahusiano ya kimataifa ndiyo maono? Kujenga runway ya kiwango cha International kijijini kwake ndiyo maono?

Kuiba fedha Tsh 2.4 Trllion ndiyo uchapa kazi?

Uthubutu wa kuua wakosoaji, kukandamiza demokrasia na kunyamazisha free press?? Huo ni woga siyo uthubutu

Kaeni na upumbavu wenu kwa vile aliwadanganya na mukakubali uwongo wake.

Wenye akili tunamjuwa kuwa alikuwa mwizi, mwongo na muuaji. Muache DIKTETA aendelee kuungua na moto wa jehanam
 
Basi sawa!!

Mawazo Yako ya kijinga pia yaheshimiwe!!
 
Namba tatu alikuwa ansomba nchi inyimwe misaada au mwingine?
Alifanya hivyo Ili kushinikiza DEMOKRASIA isikandamizwe.

Alikuwa na Nia njema katika Hilo.

Ni kama Sa100 Leo hataki Tume huru ya Uchaguzi, so upinzani ukidai misaada isitishwe Ili kushinikiza Sanduku la kura lililoibwa lirudi mahala pake,watakuwa sahihi.

Lakini in general,

UZALENDO wa Lissu juu ya nchi yetu Si wa kutiliwa shaka hata kidogo.

Karibu.
 
Basi sawa!!

Mawazo Yako ya kijinga pia yaheshimiwe!!
Hivi wewe Rabbon seriously unategemea uandike masifa ya kijinga ya kumpamba Magufuli halafu tukae kimya? Kama wewe alikutendea vyema kumbuka kuna aliowatendea unyama. Lazima vyote viwekwe kwa mizania iliyo sawa ndiyo wasomaji wapime.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…