Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
Hana sifa yoyote kati ya hizo juuKashaleta meli za uvuvi kawe? Watu wa kawe washaanza kwenda birmingham.
Gwaji ni tapeli tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana sifa yoyote kati ya hizo juuKashaleta meli za uvuvi kawe? Watu wa kawe washaanza kwenda birmingham.
Gwaji ni tapeli tu
Na Vanance Mabeyo vipi hana sifa hizo?Salaam, Shalom!!
Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.
Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,
1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.
2. UZALENDO.
3. UCHAPAKAZI.
4. MAONO/VISION.
Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.
1. KASSIM MAJALIWA
2. PHILIP MPANGO.
3. TUNDU ANTIPAS LISSU.
4. JOSEPHAT GWAJIMA.
Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Karibuni🙏
Teh teh teh teh teh kwamba? Duh!!! JF raha sana,kumbe ndo habali ya jijini hiyo!?vp anko Halima ye hafai kisha first lady awe bulaya
Aiseeeee! Dah🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Anza kwanza na mamako maana alipata mimba yako kwenye mkesha wa mbio za mwenge
Uliowataja Wana sifa kuu 4 hapo juu?Na Vanance Mabeyo vipi hana sifa hizo?
George Simbachawene naye je?
Mbona unafurahia Ujinga?Aiseeeee! Dah🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Uliowataja Wana sifa kuu 4 hapo juu?
Uliwahi wauliza Maono Yao juu ya nchi nzuri ya TANZANIA wakakujibuje?
Si kwamba nimewauliza, ni mtazamo wangu, C DF mstaafu Venance Mabeyo kwenye sifa ulizoainisha anafiti.Uliowataja Wana sifa kuu 4 hapo juu?
Uliwahi wauliza Maono Yao juu ya nchi nzuri ya TANZANIA wakakujibuje?
Kwanini kumhusisha mtu huyo na siasa?Si kwamba nimewauliza, ni mtazamo wangu, C DF mstaafu Venance Mabeyo kwenye sifa ulizoainisha anafiti.
Yeye ndiye sababu la hili bunge la kijinga kwa kuwanunua wabungeKwani ni nani anaetaka maisha ya shida kuish gizani kama kuzimu? Ni nani anaetaka kuish maisha ya mchongo yakujfanya mnafuraha Kumbe mnaumia !? Wapumbavu ninyi
Ndio maana nalo lenyewe limekufaWataje wajomba na shangazi zako waliotekwa!nchi hii waharifu ni wengi sana hawashughurikiwi ndiyo hao wabadhilifu, mkono ukiwafikia wanalalamika na kutaka kumhusisha Kila mtu,hao hawakutekwa walikamatwa
Wapo wengi tu waliokuwa wanajeshi na sasa wanatumika upande wa pili,Kwanini kumhusisha mtu huyo na siasa?
Anafaa katika upande huo wa pili Si katika siasa maana Si mwanasiasa yule.
Kumtaja mtu wa aina Ile kwenye uongozi wa umma kisiasa, unatengeza taswira hasi!!
Si Kwa Cheo hicho.Wapo wengi tu waliokuwa wanajeshi na sasa wanatumika upande wa pili,
Magufuli hajafa.Ndio maana nalo lenyewe limekufa
Maono gani? Kuvunja mahusiano ya kimataifa ndiyo maono? Kujenga runway ya kiwango cha International kijijini kwake ndiyo maono?Kwamba tangu alipofariki watu wameacha kupotea?
Pia mada inamjadili Magu Kwa sifa kuu nne pekee, 1. Uzalendo, 2. Uthubutu 3. Uchapakazi 4. MAONO.
Jadili HOJA hapo juu , ikiwa huna HOJA nyamaza kimya.
Basi sawa!!Maono gani? Kuvunja mahusiano ya kimataifa ndiyo maono? Kujenga runway ya kiwango cha International kijijini kwake ndiyo maono?
Kuiba fedha Tsh 2.4 Trllion ndiyo uchapa kazi?
Uthubutu wa kuua wakosoaji, kukandamiza demokrasia na kunyamazisha free press?? Huo ni wpga siyo uthubutu
Kaeni na upumbavu wenu kwa vile aliwadanganya na mukakubali iwpngo wake.
Wenye akili tunamjuwa kuwa alikuwa mwizi, mwongo na muuaji. Muache DIKTETA aendelee kuungua na moto wa jehanam
Namba tatu alikuwa ansomba nchi inyimwe misaada au mwingine?Namba moja na 3 naona wanaweza kabisa
Alifanya hivyo Ili kushinikiza DEMOKRASIA isikandamizwe.Namba tatu alikuwa ansomba nchi inyimwe misaada au mwingine?
Hivi wewe Rabbon seriously unategemea uandike masifa ya kijinga ya kumpamba Magufuli halafu tukae kimya? Kama wewe alikutendea vyema kumbuka kuna aliowatendea unyama. Lazima vyote viwekwe kwa mizania iliyo sawa ndiyo wasomaji wapime.Basi sawa!!
Mawazo Yako ya kijinga pia yaheshimiwe!!
Si muumini wa kulipa Kodi. Anakosa Uzalendo.Pamoja na jitihada zote za makonda lakini...