Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

Jinsi jiwe lilikuwa katili bora wasivivae viatu vyake.

Hatutaki tena habari za watu wasiojulikana, kuokota viroba vyenye miili ya watu waliouawa, kutekana, kutotaka kukosolewa, siasa za visasi
 
Wengne hzo habar ndio tunazitaka ,upumbavu wa kutuweka giza kama tupo kuzimu wa nn!? Maisha kuwa juu ,nchi kuduma ya nn yte hayo bora muokotwe tu kwenye hayo maroba kama ninyi ndio mnatukwamisha
 
Hizo sifa mbaya hazijatajwa hapo.

Zimetajwa 4 tu muhimu,

Uzalendo, uthubutu, Uchapakazi na vision.

Acha nongwa.
 
Wengne hzo habar ndio tunazitaka ,upumbavu wa kutuweka giza kama tupo kuzimu wa nn!? Maisha kuwa juu ,nchi kuduma ya nn yte hayo bora muokotwe tu kwenye hayo maroba kama ninyi ndio mnatukwamisha
Kweli kabisa,

Magu hakuwa hakuwa amejenga JNHP lakini hapakuwa na Giza kama Leo.

Na waliotajwa walikuwa naye na vision yake waliijua,

Apewe nafasi mmoja akamilishe KAZI.
 
Kassimu na gwajima
 
3. TUNDU ANTIPAS LISSU.
Huyu toa kabisa tupa kule.
Hana uzalendo wowote, kujikomba kwa wazungu siyo uzalendo.
Uchapakazi ameutoa wapi? Amechapa wapi kazi tukaona?
Hatuwezi kuwa na rais ambaye utengamano wa uwezo wake wa kufikiri hutegemeana na majira ya mwezi. Mwezi ukiwa kona tunaongozwa na zezeta?
 
Yoh yoh yooh One three one three 1,3,1,3 let's gooo🎶
 
Polepole
 
Unerogwa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…