Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
Hata mmoja... ninatakiwa kuwa na angalau kuku wangapi ndipo nijisajili? Hata 10?
Kwani hizi sheria wanazitungia wapi na wananchi wa kawaida ambao ndio wafugaji wanazijulia wapi?View attachment 1039167
Wafugaji wa kuku wa nyama na mayai wametakiwa kujisajili kisheria ili waweze kutambulika na kufanya kazi ya ufugaji kwa ufuata sheria zilizowekwa.
Imeelezwa kuwa wote ambao hawajasajiliwa lakini wanafanya kazi ya ufugaji kuku , hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Mpaka sasa takwimu zinaonyesha ni wafugaji 41 tu ndio wameshasajiliwa.
Mamlaka zinazohusika zimesema ni lazima kila mfugaji kuku kuwa na kitambulisho, na asiye nacho atachukuliwa hatua za kisheria.
Taarifa hio pia imedai kuwa hata wauzaji pia wa kuku na mayai ni lazima kuwa na vitambulisho hivyo.
inatakiwa kuanisha , maana mwingine anafuga kwa ajili ya kitoweo tu home bado ajisajili? maana ukisikia kujisajiri means ulipe mlolongo wa vibali!!! na kujaza form kama jaji wa mahakama kuu... ninatakiwa kuwa na angalau kuku wangapi ndipo nijisajili? Hata 10?
mkuu kuku ni kuku awe wa asili au wa kuletwa!! kajisajiliSema si tunaofuga wakienyeji poa tu hatuitaji kibali chochote ata uwe na kuku 100.
Kila mtu atafikiwa ni suala la muda tu.Why only wa nyama na mayai? Kwa kuwa wengi ni wa maeneo ya mijini? Vipi na ng'ombe na mbuzi wa maziwa? Siku hizi hata sungura na kware wanafugwa pia! Vipi na hawa? Au kwa kuwa contribution yao ni insignificant? Duh! Tutaanza kufuatiliwa hadi majumbani wajameni. Makuku yenyewe yanavyotesa na kufa ovyo!
Sawa mkuu Maarifa.mkuu kuku ni kuku awe wa asili au wa kuletwa!! kajisajili
Hata kuku wawili unatakiwa ujiandikishe.... ninatakiwa kuwa na angalau kuku wangapi ndipo nijisajili? Hata 10?